Osama Bin Laden anakula bata Bahamas muda huu

Kwani Bahama kisiwa kinamilikiwa na nchi gani na kuna utaratibu gani wa kuingia?
 
Wewe una uhakika gani? kama aliuwawa na nani? alishuhudia maiti yake kama siyo propaganda za Marekani;maana Nchi za magharibi na kiongozi wao Marekani kwa propaganda ni vinara Duniani
Mwili wa muislamu hauruhusiwi kuonyeshwa hadharani pindi anapofariki. uSA walifanya hivyo kuepusha sparks za vurugu katika ulimwengu wa kiislamu duniani, ambapo wange react kama wangehisi Mwili wa Osama aliekufa kama mwislamu Unaonyeshsa hadharani.

Kaburi lake lilibaki kua baharini kwasababu inaruhusiwa kwa mujibu wa imani ya kiislamu. Ilichaguliwa hivyo ilk kuepusha makundi ya fanatics kuweza kufikia kaburi ake na kuhiji hapo. Ambapo ingechochea harakati zaidi. uSA wana akili sana. Wamecheza na psychology ya magaidi wakawapiga gepu moja mbele.

Last but not least, Timu yake ya Magaidi wa Alqaeda ilikiri kua ni kweli Osama aliuwawa.
 
Sasa kama kuhiji ni rahisi hivyo, ni kwanini tuliovyowaambia hijja iwe ya mzunguko kama kombe la dunia mkapanic?
 
Nadhani Daudi balali anaweza kutupa uzoefu kidogo.., ila nadhani ni nchi inayojihusisha zaidi na financial sector, kufua, kutakatisha na kuanika pesa zilizooza (Laundry & dry cleaning)
Kwaiyo kuna uongozi kabisa ulichaguliwa na wananchi? Ebu ngoja kwanza ni google mkuu nikasome maana naweza kuzamia uko.
 
Mwili wa muislamu hauruhusiwi kuonyeshwa hadharani pindi anapofariki. uSA walifanya hivyo kuepusha sparks za vurugu katika ulimwengu wa kiislamu duniani, ambapo wange react kama wangehisi Mwili wa Osama aliekufa kama mwislamu Unaonyeshsa hadharani.

Kaburi lake lilibaki kua baharini kwasababu inaruhusiwa kwa mujibu wa imani ya kiislamu. Ilichaguliwa hivyo ilk kuepusha makundi ya fanatics kuweza kufikia kaburi ake na kuhiji hapo. Ambapo ingechochea harakati zaidi. uSA wana akili sana. Wamecheza na psychology ya magaidi wakawapiga gepu moja mbele.

Last but not least, Timu yake ya Magaidi wa Alqaeda ilikiri kua ni kweli Osama aliuwawa.
Kwa hiyo wengine wanaouwawa na kuoneshwa siyo Waislam mkuu?,kwa mfano Saddam na Ghaadaf
 
Mwili wa muislamu hauruhusiwi kuonyeshwa hadharani pindi anapofariki. uSA walifanya hivyo kuepusha sparks za vurugu katika ulimwengu wa kiislamu duniani, ambapo wange react kama wangehisi Mwili wa Osama aliekufa kama mwislamu Unaonyeshsa hadharani.

Kaburi lake lilibaki kua baharini kwasababu inaruhusiwa kwa mujibu wa imani ya kiislamu. Ilichaguliwa hivyo ilk kuepusha makundi ya fanatics kuweza kufikia kaburi ake na kuhiji hapo. Ambapo ingechochea harakati zaidi. uSA wana akili sana. Wamecheza na psychology ya magaidi wakawapiga gepu moja mbele.

Last but not least, Timu yake ya Magaidi wa Alqaeda ilikiri kua ni kweli Osama aliuwawa.
Kwa hiyo wengine wanaokufa na kuoneshwa siyo Waislam mkuu?,kwa mfano Saddam na Ghaadaf
 
What I know, huyu bwana alishafariki by the end of 2001,alikuwa na shida ya njia ya mkojo na alikuwa akitembea na mashine ya kumsaidia.
Fake news ni pale Obama aliposema kamuua 2011 pale Abutabad.
It's said kuwa picha yake ya mwisho kupigwa ni 1998,na ndiyo iliyopo till this time,ni miaka takribani 19 tangu picha hiyo mwisho kupigwa,na ndio maana tunaona hazeeki.
 
Mwili wa muislamu hauruhusiwi kuonyeshwa hadharani pindi anapofariki. uSA walifanya hivyo kuepusha sparks za vurugu katika ulimwengu wa kiislamu duniani, ambapo wange react kama wangehisi Mwili wa Osama aliekufa kama mwislamu Unaonyeshsa hadharani.

Kaburi lake lilibaki kua baharini kwasababu inaruhusiwa kwa mujibu wa imani ya kiislamu. Ilichaguliwa hivyo ilk kuepusha makundi ya fanatics kuweza kufikia kaburi ake na kuhiji hapo. Ambapo ingechochea harakati zaidi. uSA wana akili sana. Wamecheza na psychology ya magaidi wakawapiga gepu moja mbele.

Last but not least, Timu yake ya Magaidi wa Alqaeda ilikiri kua ni kweli Osama aliuwawa.
Uandishi wako umejaa sarcasm tupu tupu mkuu hebu kabla hujaandika tafakari kwanza eti hikka unadhani uislam una ujinga kias hicho cha kufanya ibada kijinga mkuu km akili yko inavodhani???
 
hoja dhaifu sana hizi
Vipi Gadafi hakuwa mwisilam?
 
Kwa hiyo wengine wanaokufa na kuoneshwa siyo Waislam mkuu?,kwa mfano Saddam na Ghaadaf
Zingatia kuonyeshwa rasmi na kuonekana umejifia ni vitu viwili tofauti.

Hoja ni pale kumtoa rasmi watu wa mtazame watoe heshima zao za Mwisho kama ishara ya kumuaga. Hii hairuhusiwi kwa mujibu wa dini.

Madai kua Ghadafi alionyeshwa sidhani kama yana ukweli. Kuhusu Saddam anaweza kua alinyongwa hadharani lakini, afterwards hakuonyeshwa mwili wake. Kama walimuonyesha basi hili swala wanapaswa walijibu wa Iraqis official wenyewe. Labda walimlaani na kutomtambua kwa mujibu wa imani zao.
 
Uandishi wako umejaa sarcasm tupu tupu mkuu hebu kabla hujaandika tafakari kwanza eti hikka unadhani uislam una ujinga kias hicho cha kufanya ibada kijinga mkuu km akili yko inavodhani???
Sijasema uislamu nimesema Fanatics kuhiji hapo. Hayo.mengine naona unajiongeza wewe mwenyewe...
 
Hili lina weza kuwa justified na pale tulipo ambiwa jamaa kazikwa baharini. Na ziko habari pia wake navy seal 6 wa kile kikosi kazi cha osama asilomia kubwa waliuwa katika operasheni nyingine baadaye kwa kupitia friendily fire. Kufuta ushahidi huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom