OS (operating systems) za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

OS (operating systems) za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Mkuu unaposema anytime means bado hawajashare source ya Red na China, kwahyo unakuja kubali kwamba China hawana source code ya Red

http://www.itsec.gov.cn/export/sites/itsec/english/
https://news.microsoft.com/2003/09...732l311kbezpugo1yumm6dcd4#ZyH4TxfxqZCjbkOq.97
Mkuu serikali ya China iliisha kubali jamaa wa (CNITSEC) wawe wanafanya kazi ya Kureview na kuanalyse security issues kupitia GSP.

https://arstechnica.com/informatio...-modifies-windows-os-for-chinese -government/

upo serious mkuu? tunaongelea mambo ya 2017, nimekupa link ya 2017 na win 10 imetoka 2015 wewe unaleta link ya 2003
 
Mkuu hizo link za 2003 ni kuhusiana na CNITSEC nimekuambia serikali ya China ilikubaliana na hao jamaa na nikakupa link hizo.
Hiyo transparency ya Microsoft unayotumia kujiguard bado haijaipa uchina source code ya red.
Na Habari ya 2017 unayoitaka nimekupa pale chini, tena nimekupa na quote.,
Narudia tena mkuu China hawana source code ya Windows Red.

JWTZ OS yao inaitwaje?? iligunduliwa lini??? mbona hatuijui na wala hatujawahi kuisikia???? wakati ofisi ya ikulu yenyewe inatumia gmail
Mkuu unapofanya shambulizi ni lazima ujue mazingira ya unae mshambulia na ww utafute ni njia gani fasaha yakumshambulia mlengwa.
OS yeyote inaweza tumika mfano unaweza fanya sniffing vizuri na windows, afu ukatumia booters vizuri na Linux, suala la msingi ni target, kwahiyo hata wamarekani wakikuambia wanatumia XP usije waamini, afu baadhi ya speculation zinaletaga tu assumptions nawatu wanadraw conclusion kama ifanyikavyo hapa.

Sisi hata drone ni utata afu wenzetu ballistic zile ICBW, walianza nazo miaka ya 90, ndio mana mmarekani hataki Korea ainvest.
jiulize pamoja na Red Os, internet ya Korea ilipigwa chini vipi kwa masaa kazaa.
 
Afrimec **Africa online Doctors consultation
Tunatoa ushauri kuhusu afya ya uzazi , watoto , magonjwa mbalimbali katika jamii nk.
@ qualified telehealth service provider
Contact
+255759212578
 
Mkuu hizo link za 2003 ni kuhusiana na CNITSEC nimekuambia serikali ya China ilikubaliana na hao jamaa na nikakupa link hizo.
Hiyo transparency ya Microsoft unayotumia kujiguard bado haijaipa uchina source code ya red.
Na Habari ya 2017 unayoitaka nimekupa pale chini, tena nimekupa na quote.,
Narudia tena mkuu China hawana source code ya Windows Red.
nikuulize swali dogo tu
-china ameban windows 8 sababu anahisi ina backdoors
-china ameikubali windows 10 red

wewe unadai china hana source code ya windows 10 red, kwanini sasa ameikubali?
 
Mnaangaika kuwa wabunifu et mbuni system zenu
Mtabuni nn wakati utotoni mliamkia viporo vya ugali na makande
akili mgando
Mfano mkuria mpaka Leo hii breakfast yake kichuri Supu ya mbuzi na ugali mwekundu asubuhi saa mbili, hiyo akili ya ubunifu atatoa wapi?? Mnachekesha nyie
 
Mkuu unapofanya shambulizi ni lazima ujue mazingira ya unae mshambulia na ww utafute ni njia gani fasaha yakumshambulia mlengwa.
OS yeyote inaweza tumika mfano unaweza fanya sniffing vizuri na windows, afu ukatumia booters vizuri na Linux, suala la msingi ni target, kwahiyo hata wamarekani wakikuambia wanatumia XP usije waamini, afu baadhi ya speculation zinaletaga tu assumptions nawatu wanadraw conclusion kama ifanyikavyo hapa.

Sisi hata drone ni utata afu wenzetu ballistic zile ICBW, walianza nazo miaka ya 90, ndio mana mmarekani hataki Korea ainvest.
jiulize pamoja na Red Os, internet ya Korea ilipigwa chini vipi kwa masaa kazaa.
technonojia zipo ila viwango vinatofautiana ni afadhali tukaanza sasa hivi kuwe na kitengo maalum cha technolojia jeshini ambacho kinaweza kufanya innovations mbalimbali na tukishuhudia na hili kitawatia morali watu wengi wenye ujuzi na wao waweze kushare kitu gani wanacho fikiria wakishirikiana na vyombo vyetu hivi
 
nikuulize swali dogo tu
-china ameban windows 8 sababu anahisi ina backdoors
-china ameikubali windows 10 red

wewe unadai china hana source code ya windows 10 red, kwanini sasa ameikubali?
Suala ni kwamba china hana source code ya red, na wewe mwenyewe ukaprove pale kuwa hana, kwakusema "anytime".
Kiwango cha mwisho cha uelewa ni mtu kujipinga mwenyewe.
 
Suala ni kwamba china hana source code ya red, na wewe mwenyewe ukaprove pale kuwa hana, kwakusema "anytime".
Kiwango cha mwisho cha uelewa ni mtu kujipinga mwenyewe.
mkuu muda kitu kibaya sana, kitendo cha wewe kuchelewa kujibu mambo mawili yametokea
1. ransomware attack ambayo ime affaect karibia dunia nzima na ikiathiri sana pc za xp na kuprove point yangu ya juu

2. microsoft wameizindua rasmi hiyo windows 10 chinese government edition na kuna mambo mawili wameyazungumza

- jambo la kwanza ni kwamba watatumia encryption yao ya china ili isiwe rahisi kuidukua
-jambo la pili ni kwamba hii os imekuwa developed na patnership ya state-owned China Electronics Technology Group

so niambie mkuu kampuni ilioshiriki kutengeneza os inayomilikiwa na serikali ya china nayo haijui source code?

Microsoft’s new ‘Windows 10 China Government Edition’ lets country use its own encryption – GeekWire
 
Back
Top Bottom