HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,616
- Thread starter
- #61
mjanja siku zote ana mjanja mwenzake...kudukuliwa kupo palepale inategemeana na uwezo wa security ulionao ...kutumia OS yako mwenyewe haimaanishi hautadukuliwa ila unaongeza usalama wa materials yakoMbona Urusi inawavunjaga mbavu!?
mkuu jiandaee,ununio sio mbali ujue