HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,545
Watu wengi sana binafsi na makampuni wanatumia windows, iOS na androids kama operating systems zao kwa vifaa kama simu na computers...mataifa yalioendelea kwa usalama hawazitumii hizi bali wanakua na OS zao ambazo ni za siri na ili kuwezesha utunzaji wa data kwa usiri wa hali ya juu hata cyber attack inakua ni ngumu kutokea...juzi juzi wiki leaks imetoa publication ni kwa jinsi gani shirika la kijasusi la marekani (cia) lilivyoweza kufanya ushushushu na kukusanya data za watu binafsi na pengine mashirika mbalimbali duniani, zaidi ya watu millioni mia tano walidukuliwa data zao bila wao kujua
sasa mimi nimetafakari nikajiuliza hivi, taasisi zetu kubwa za ulinzi na usalama ie. JWTZ , POLICE FORCE na TISS wana operating systems zao maalumu ambazo si rahisi kua spyed au nao bado wanamtegemea microsoft na kina linux??kwa sababu hizo ndio OS rahisi sana kudukuliwa...
kwa wenzetu kama marekani innovations kubwa kabisa zinaanzia jeshini na wana OS systems zao tofauti na mtu yoyote yule duniani, mfano NASA ni sehemu muhimu ya jeshi la US ambapo kila siku tunasikia ugunduzi mpya...kwa hapa kwetu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina vitengo maalum vinavyoweza kussuport innovations mbalimbali kwa ajili ya kuboresha ufanisi na utendaji kwa vyombo husika??
korea kaskazini ni taifa lenye uchumi mdogo sana lakini kwa technolojia wapo mbali sana kiasi kwamba ni vigumu kujua nini kinaendelea nchini mwao
hapa kwetu vipi? maana mpaka Gmail tunatumia