OS (operating systems) za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

mbona nchi kama us wanatumia windows tena za kizamani outdated kama win xp. wanafanya kuwalipa microsoft wawape support yao baada ya kusitishwa ya watu wote

Why the U.S. Navy Is Paying Microsoft Millions for Windows XP

china wao wana windows red, special version ya windows ambayo ina security kubwa na source code serikali ya china wanayo.

sijafanya utafiti ila sitashangaa kama 98% au zaidi ya majeshi yote duniani kuwa yanatumia windows xp.

na os unaweza kuihandle ukaeka hiki na kile ukajua kama watu wanakuchunguza ama la, kama kweli unataka security unatakiwa uanze kwenye hardware kwanza, kama umeekewa hdd au cpu halafu inakuchunguza unaweza ukakaa miaka na miaka usijue ndio maana nchi kubwa nyingi kama china na urusi wanahakikisha hardware zinatoka kwao.
 
Security Ile iwe poa na Effectively Cha kwanza cha kucheza nacho ni Hardware Wakuu
Ogopa sans Kama mtu ata link chip ndani ya Hardware Na ikawa ina Transmit data out side ni ngumu Kugundua
 
Wewe popote ulipo jua nchi yako ipo salama na kuhusu tutumie system gani hauwezi kutangaziwa na haikuhusu. Kinachokuhusu ni pale kama raia unapokuwa under attack ndo unaweza kuhoji. Pia jenga mentality kwamba nchi yetu kuna watu wako smart kama unavojihisi upo na wanafanya hizo kazi na kutekeleza hizo ideas unazoona hatuna

Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
 
Watu wa IT hao sa sijui munataka mkuu wa majeshi ndio adevelop izo mambo....

Wabongo sisi tuna shiida....
Iyo ni kazi yenu wajuzi... nyie mumesoma na kusoma tena kwa pesa ya serikali afu hakuna os yoyote uliyoigundua .

Afu unauliza vyombo vyako vinatumia nini.

Basi jibu ni hili.

Inatumia JF os. Uliyoigundua majuzi
mkuu nadhani suala ni kupewa ushirikianao na fursa siamini kama tutashindwa, tukumbuke kila kitu kinaanza kuanzia 0, wao na taasisi zao wanajifungia huko sisi tufanyaje? bado hawajatambua umuhimu wa tech kwa sasa
 
mbona nchi kama us wanatumia windows tena za kizamani outdated kama win xp. wanafanya kuwalipa microsoft wawape support yao baada ya kusitishwa ya watu wote

Why the U.S. Navy Is Paying Microsoft Millions for Windows XP

china wao wana windows red, special version ya windows ambayo ina security kubwa na source code serikali ya china wanayo.

sijafanya utafiti ila sitashangaa kama 98% au zaidi ya majeshi yote duniani kuwa yanatumia windows xp.

na os unaweza kuihandle ukaeka hiki na kile ukajua kama watu wanakuchunguza ama la, kama kweli unataka security unatakiwa uanze kwenye hardware kwanza, kama umeekewa hdd au cpu halafu inakuchunguza unaweza ukakaa miaka na miaka usijue ndio maana nchi kubwa nyingi kama china na urusi wanahakikisha hardware zinatoka kwao.
mkuu kati ya mataifa maongo na yasio aminika marekani anaongoza, huyu jamaa inawezekana kila kitengo chake kikawa na OS yake pekee na msijuie na ndivyo ninavyoamini hivo, windows ziko vulnerable sana yani...japokua hata uwe na os ya kwako peke yako cyber crimes still zitakuepo ila zitamtoa jasho adui mpaka afanikiwe......nahisi sisi tunatumia windows 10 alafu isitoshe microsoft ni kampuni ya US hawawezi kuliangusha taifa lao
 
Halafu acheni kuona idara na vyombo ni watu wasio na uelewa na vitu vinavyoendelea duniani upande wa technology. Think again

Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
hatuoni kama hawana uelewa wapo wenye uelewa....lakini ni kwa kiasi gani jambo hili linapewa kipaumbele kwenye usalama wa nchi yetu??sidhani kama linapewa kipaumbele
 
Wewe popote ulipo jua nchi yako ipo salama na kuhusu tutumie system gani hauwezi kutangaziwa na haikuhusu. Kinachokuhusu ni pale kama raia unapokuwa under attack ndo unaweza kuhoji. Pia jenga mentality kwamba nchi yetu kuna watu wako smart kama unavojihisi upo na wanafanya hizo kazi na kutekeleza hizo ideas unazoona hatuna

Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
naamini sana hichi kitengo kipo lakini siamini kama kinaendana na ksi ya ukuaji wa technolojia
 
Africa kwasehemu kubwa wana - invest kwny uchaguzi ujao kila rais apatapo madaraka halali au isiwe halali
 
Kuna maofisa wa jeshi letu hata kushika mouse ni shida, sembuse innovations za softwares!!
 
Mkuu China hawana source code ya Red OS, isipo kuwa, Source code za Red OS zilifanyiwa review kwenye Microsoft lab ambazo Zipo China, Microsoft sio wajinga kias hicho.
Na red walitoa baada ya China Kuban Windows 8, kwa sababu zao binafs ikiwemo kubana matumizi na issue ya security.

Pia asilimia 98% hata kama umekadilia ni kubwa sana mkuu, fuatilia Hao Hao China wanao Kylin OS ambayo mwaka 2013 ndio imekuwa Ubuntu based.
Indonesia wanayo IGOS Nusantra
Turkey wanayo Pardus
Linux
India wanayo Bharat
Iran wanayo Zamin, if ain't mistaken.

mbona nchi kama us wanatumia windows tena za kizamani outdated kama win xp. wanafanya kuwalipa microsoft wawape support yao baada ya kusitishwa ya watu wote

Why the U.S. Navy Is Paying Microsoft Millions for Windows XP

china wao wana windows red, special version ya windows ambayo ina security kubwa na source code serikali ya china wanayo.

sijafanya utafiti ila sitashangaa kama 98% au zaidi ya majeshi yote duniani kuwa yanatumia windows xp.

na os unaweza kuihandle ukaeka hiki na kile ukajua kama watu wanakuchunguza ama la, kama kweli unataka security unatakiwa uanze kwenye hardware kwanza, kama umeekewa hdd au cpu halafu inakuchunguza unaweza ukakaa miaka na miaka usijue ndio maana nchi kubwa nyingi kama china na urusi wanahakikisha hardware zinatoka kwao.
 
Mkuu China hawana source code ya Red OS, isipo kuwa, Source code za Red OS zilifanyiwa review kwenye Microsoft lab ambazo Zipo China, Microsoft sio wajinga kias hicho.
Na red walitoa baada ya China Kuban Windows 8, kwa sababu zao binafs ikiwemo kubana matumizi na issue ya security.

Pia asilimia 98% hata kama umekadilia ni kubwa sana mkuu, fuatilia Hao Hao China wanao Kylin OS ambayo mwaka 2013 ndio imekuwa Ubuntu based.
Indonesia wanayo IGOS Nusantra
Turkey wanayo Pardus
Linux
India wanayo Bharat
Iran wanayo Zamin, if ain't mistaken.
Microsoft's Beijing Transparency Center gives Chinese government access to Windows source code - Myce.com

angalia hapo microsoft anaonesha source code kwa serikali ya china anytime kupitia hizo ofisi zake na sio china tu kuna ofisi nyengine kwa ajili ya nchi nyengine.

wanachokatazwa serikali ya china ni kubadili hio source code.

na hizo os haimaanishi kama nchi ina os yake basi isitumie nyengine, jeshi moja linaweza kuwa na maelfu ya computer yenye os tofauti tofauti.

nipe muda hapa nikuchekie hizo nchi maarufu zote
 
Mkuu China hawana source code ya Red OS, isipo kuwa, Source code za Red OS zilifanyiwa review kwenye Microsoft lab ambazo Zipo China, Microsoft sio wajinga kias hicho.
Na red walitoa baada ya China Kuban Windows 8, kwa sababu zao binafs ikiwemo kubana matumizi na issue ya security.

Pia asilimia 98% hata kama umekadilia ni kubwa sana mkuu, fuatilia Hao Hao China wanao Kylin OS ambayo mwaka 2013 ndio imekuwa Ubuntu based.
Indonesia wanayo IGOS Nusantra
Turkey wanayo Pardus
Linux
India wanayo Bharat
Iran wanayo Zamin, if ain't mistaken.
1.india na windows
Microsoft to share Windows OS source code with Indian Army

2. uingereza na windows
UK’s Army Still runs Windows XP for Submarines Amids Global Tension

3. iran na stuxnet
mkuu ni miaka michache tu imepita toka iran wawe attacked na stuxnet na sababu ni jeshi lilikuwa linatumia windows xp.
Stuxnet Worm Attack on Iranian Nuclear Facilities

4.nchi nyengine za stuxnet
hapa eka brazil, vietnam, indonesia, algeria, india na nchi nyengine ndogo ndogo ambazo zinazidi 100 waliathirikia na stuxnet wote hawa inaonesha wanatumia os ipi,

Stuxnet infections spread to 115 countries | ZDNet
 
Tukiwapelekea teknologia zetu hatupewi ushirikiana sasa tuwaelewe nini?
Ni shida, ukiwapelekea system tu ukawaambia wakupe 50m wanakuona chizi, ila akipeleka muhindi akaomba 150m system inayofanya kazi ile ile wanatoa bila shida na kumnyenyekea juu
 
Yan hatari tupu!
 
Sisi ni ngumi mkononi.

Nchi yoyote ikileta fyoko inapewa kibano.
 
8f080a95710e0b2e982a0cff54108ae7.jpg
9cf73a6b2da50f8fdbb174eaba65bf50.jpg
security department ya N Korea
 
Nchi nyingi za Africa zinatumia nguvu nyingi sana kwenye mambo ya kisiasa baada ya kuivest kwanye mambo ya msingi kama technology n.k.
wakati mwingine hua nashawishika ngozi nyeusi tuna IQ ndogo, unachozungumza ni kweli
 
Back
Top Bottom