OS (operating systems) za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

OS (operating systems) za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Wangekuwa na OS yao Mange asimhekuwa anazinyaka.. Na kuzitupa mitandaoni
 
Watu wa IT hao sa sijui munataka mkuu wa majeshi ndio adevelop izo mambo....

Wabongo sisi tuna shiida....
Iyo ni kazi yenu wajuzi... nyie mumesoma na kusoma tena kwa pesa ya serikali afu hakuna os yoyote uliyoigundua .

Afu unauliza vyombo vyako vinatumia nini.

Basi jibu ni hili.

Inatumia JF os. Uliyoigundua majuzi
Boss gunduzi ni pamoja na pesa za kujikimu ziwepo. Unaweza kuumiza akili kwa kitu kitakacho anza kufanya kazi baada ya miaka kumi. umeelezwa kuwa ni vitengo vya majeshi ndio nafanya hivyo au unataka kutetea tu hata kama ni kibaya? Kwenye issue hii hakuna siasa na mtoa mada nimemuelewa hofu yake na mapenzi kwa taifa lake ila wewe unaona kama serikali inakosolewa. Mkuu jiongeze kidogo lengo kuinisuru serikali, wewe na mimi pia. USA wana kitengo ndani ya jeshi pamoja na silicone valey. China wana technology Incubator, Korea ni kama ulivyoambiwa. Kuhusu technology tusiitetee serikali ila tuishinikize shinikizo litakaloisaidia kujiendesha yenyewe kwa mafanikio na kutufaidisha sisi pia. Unauliza kwanini waliosoma hawagundui!!!? Tafuta mhitimu wa chuo aliyefaulu vizuri mpe hilo jukumu wakati anadaiwa mkopo, kula kulala mavazi na kuisaidia familia yake. Kodi zinafanya nini? Wizara inafanya scouting kubaini vipaji na kuviendeleza? Hakuna Hata mwenye idea anachokijua akiwakilishe wapi ili apate support maana tunawaona vijana mtaani wanaonyesha vipaji vyao na wanaonyesha. Kwa msisitizo zaidi iOS haitengenezwi na mtu mmoja ni kundi ila kikundi cha watu wenye wazo moja na ujuzi. Na watu hao tunao ila hawaunganishwi wala kutumika.
 
Hata kama watakuwa na OS yao lazma watadukuliwa tu labla waanze kutumia kompyuta zao walizo tengeneza wao na kuziwekea OS yao
 
Watu wengi sana binafsi na makampuni wanatumia windows, iOS na androids kama operating systems zao kwa vifaa kama simu na computers...mataifa yalioendelea kwa usalama hawazitumii hizi bali wanakua na OS zao ambazo ni za siri na ili kuwezesha utunzaji wa data kwa usiri wa hali ya juu hata cyber attack inakua ni ngumu kutokea...juzi juzi wiki leaks imetoa publication ni kwa jinsi gani shirika la kijasusi la marekani (cia) lilivyoweza kufanya ushushushu na kukusanya data za watu binafsi na pengine mashirika mbalimbali duniani, zaidi ya watu millioni mia tano walidukuliwa data zao bila wao kujua

sasa mimi nimetafakari nikajiuliza hivi, taasisi zetu kubwa za ulinzi na usalama ie. JWTZ , POLICE FORCE na TISS wana operating systems zao maalumu ambazo si rahisi kua spyed au nao bado wanamtegemea microsoft na kina linux??kwa sababu hizo ndio OS rahisi sana kudukuliwa...

kwa wenzetu kama marekani innovations kubwa kabisa zinaanzia jeshini na wana OS systems zao tofauti na mtu yoyote yule duniani, mfano NASA ni sehemu muhimu ya jeshi la US ambapo kila siku tunasikia ugunduzi mpya...kwa hapa kwetu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina vitengo maalum vinavyoweza kussuport innovations mbalimbali kwa ajili ya kuboresha ufanisi na utendaji kwa vyombo husika??

korea kaskazini ni taifa lenye uchumi mdogo sana lakini kwa technolojia wapo mbali sana kiasi kwamba ni vigumu kujua nini kinaendelea nchini mwao

hapa kwetu vipi? maana mpaka Gmail tunatumia

Tatizo wanataka wafanye project ambazo kila mwananchi anaona kama kununua ndege,kujenga reli nk.Lengo ukifika kwenye boksi la kura ufikirie kajenga reli,kanunua ndege hivo unampa kura yako.Tukija kwenye system za security hata wakinunua Hamna mwananchi atakayejua hivo haina tija politically.politics is politricks
 
hizi OS ni rahisi sana kuzichezea, kama ni kweli ndio tunazozitumia bas tuna hali ya hatari, bado sitaki kuamini kama kweli ndizo zinazotumiwa na vyombo vyetu vya usalama na ulinzi
mfano mzuri tazama website ya police force ndo utaamini hiki anachokisema mtoa mada,hata idadi kubwa ya walio kitengo cha cyber pale police ni weupe tupu maranyingi udakuzi wao wanasaidiwa sana na watu wa mitandao ya simu pale nikaktengo tu hakana lolote
 
Jeshi la police zima msomi ni Igp Mangu na kamanda Sirro
 
mfano mzuri tazama website ya police force ndo utaamini hiki anachokisema mtoa mada,hata idadi kubwa ya walio kitengo cha cyber pale police ni weupe tupu maranyingi udakuzi wao wanasaidiwa sana na watu wa mitandao ya simu pale nikaktengo tu hakana lolote

Majeshi ya wenzetu yana majiniasi.Technology nyingi zinaanzia jeshini.
Mfano Department of Defence ya Marekani walikuja Na ARPANET (Advanced Research Project Agency Net)
Hii project ndio ilipelekea kuzaliwa kwa Internet pia project nyingine ambayo Ni matunda ya hii idara Ni GPS
HIzi research project zinaanzaga kuwa TOP SECRET baadae zinakuja kutumiwa Na watu.
Hivo hata OS wanazotumia Ni siri.Inajulikana OS kama windows zina Loop holes hivo crackers na hackers wanaziattack kirahisi na ni sehemu zao za kujifunzia knowledge zao
Hizi system Ni za laymen afadhali hata Linux Na Unix ziko strong than windows.
Mpaka uittack Linux lazima uwe very competent kwenye C au C++ au assembly language programming.
Haya majeshi hata hizo programming langage wanazozitumia sasa kutengeneza OS zao nazo no body can tell Ni language gani wanaitumia japo kwa muda mrefu walikuwa wanaitumia ADA.
Tukija kwa majeshi yetu kazi tu kupiga raia. Mtu mwenye mafunzo kupiga mtu asiye na mafunzo ni ujuha
 
Majeshi ya wenzetu yana majiniasi.Technology nyingi zinaanzia jeshini.
Mfano Department of Defence ya Marekani walikuja Na ARPNET(Advanced Research Project Net)

mfano rahisi tu kwa hawa jeshi la polisi walitakiwa wawe competent kwenye sheria lakini cha ajabu hata raia wakawaida kabisa unakuta anajua sheria kushinda hawa polisi wetu,yaani mtu kitu unachokisimamia bado unaishia kubabaisha tu.kuna muda huwa namuona raisi mstaafu kikwete kuna mahala alikuwa anaonyeshanjia kwa kutambua research na aliipa fedha japo ilikuwa kiduchu pia kuna namna alianza kuyabadili majeshi yetu kuwa yakisomi zaidi lakini this time hatuko tena kule tumerudi kulekule tulikoondoka,ukiangalia kwa upana wake Marekani kupitia jeshi lake anafanya tafiti nyingi sana achilia mbali ungunduzi wa kitechnologia hata kwa upande wa sayansi na upana wake mfano upande wa afya wana CDC,wana Walter reed n.k haya unaweza kuyaita mashirika ya kimataifa lakini kiuhalisia ni part ya US ARMY sisi je tujiulize tunanini kuondoa hiyo sumajkt ambayo nayo ipo ipo tu kisiasa zaidi sio kiutendaji
 
mfano mzuri tazama website ya police force ndo utaamini hiki anachokisema mtoa mada,hata idadi kubwa ya walio kitengo cha cyber pale police ni weupe tupu maranyingi udakuzi wao wanasaidiwa sana na watu wa mitandao ya simu pale nikaktengo tu hakana lolote
yaani unataka kuniambia wazungu ndio wanawafanyia kazi kwenye hicho kitengo???????😱😱😱😱😱😱😱
 
Majeshi ya wenzetu yana majiniasi.Technology nyingi zinaanzia jeshini.
Mfano Department of Defence ya Marekani walikuja Na ARPNET(Advanced Research Project Net)
Hii project ndio ilipelekea kuzaliwa kwa Internet pia project nyingine ambayo Ni matunda ya hii idara Ni GPS
HIzi research project zinaanzaga kuwa TOP SECRET baadae zinakuja kutumiwa Na watu.
Hivo hata OS wanazotumia Ni siri.Inajulikana OS kama windows zina Loop holes hivo crackers na hackers wanaziattack kirahisi na ni sehemu zao za kujifunzia knowledge zao
Hizi system Ni za laymen afadhali hata Linux Na Unix ziko strong than windows.
Mpaka uittack Linux lazima uwe very competent kwenye C au C++ au assembly language programming.
Haya majeshi hata hizo programming langage wanazozitumia sasa kutengeneza OS zao nazo no body can tell Ni language gani wanaitumia japo kwa muda mrefu walikuwa wanaitumia ADA.
Tukija kwa majeshi yetu kazi tu kupiga raia. Mtu mwenye mafunzo kupiga mtu asiye na mafunzo ni ujuha
ni kweli kabisa mkuu mabadiliko yanatakiwa yaanze sasa hivi nafikiri kati ya taasisisi zinazotakiwa kuongoza kwa research ni hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
 
Back
Top Bottom