serengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 488
- 362
Huu uhakiki umeleta Shida nyingine hasa Mwanza, watu wengi wamehakikiwa ila majina yao hayaonekani pande zote, imelazimu kuanzia ijumaa kupeleka vyeti Jiji na kwenye ma Wilaya, watumishi wengi hawajawekwa kwenye ile orodha ya watu waliohakikiwa tuseme ni uzembe wa wachapaji au ??
