Orodha ya watumishi waliohakikiwa

Orodha ya watumishi waliohakikiwa

Hata mimi nilisikia jana kuna mtu kaangalia mwajiriwa wa mwanza nkatafuta hadi nkachoka sikupata hiyo list
 
Nimepata orodha ya watumishi waliohakikiwa kwa mkoa wa Pwani pekee, orodha kama hii ya mikoa mingine zinapatikana wapi?
Mwenyezi ufahamu juu ya suala hili naomba kufahamishwa pia au aliyenazo naomba aweke hapa Specifically ya Mkoa wa Kagera na Kilimanjaro.
Unataka kuanya research?
 
Cha kushangaza huku Bandarini kwetu watu wanajitapa kuwa hawatolewi eti wanajigamba rais kawasamehe mbona hakuna haki wakati wengne wametolewa wao wakina nani?
 
Cha msingi mwenye nayo aweke ya nchi nzima hapa. ingawa hiki kitu ndo nasikia....
 
Hata chuoni matokeo ya mtihani huwa wanaobandikwa notice board ni wenye supplement au walio disco...
 
Natafuta ya Kilimanjaro
a58eec975f10b60a66f00d011365fa93.jpg
 
Back
Top Bottom