Orodha ya watumishi waliohakikiwa

Uhakiki ni end less process. Kuna wanaojiona sasa wamesalimika ambao vyeti vyao sii vya magumashi (MADE IN STATIONARY AND PHOTOCOPY PRINTER MEDIUM SCHOOL) lakini wanatumia vyeti halali vya watu ambao wapo kwenye idara nyingine. Sasa wakija ku link kazi data ya idara zote hata zile binafsi......wolololoooo!!! omera !!!! hakuna rangi ambayo haitaonekana
 
Cha kushangaza huku Bandarini kwetu watu wanajitapa kuwa hawatolewi eti wanajigamba rais kawasamehe mbona hakuna haki wakati wengne wametolewa wao wakina nani?
Wanatoka vizuri tu.. Kuna baadhi ya TPA staff waliitwa makao makuu wapeleke vyeti vyao NECTA. Wengi wao ni wale wenye vyeti vyao halisi lakini walibadili matokeo, hao wanasepa pia.
 
Back
Top Bottom