Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Chi
Chilumba ndio nani?Hahahahaha haya bana Cheki wilaya ya Nyasa kwa Chilumba
Chilumba ndio nani?Hahahahaha haya bana Cheki wilaya ya Nyasa kwa Chilumba
Sijaelewa.Najua unawatafuta ubaya wachaga na wahaya..
Wekeni hapa Jf, kwani ni siri?
Chi
Chilumba ndio nani?
KeshoUhakiki bado haujaisha?
Lituhi SONGEA MOJA HIYOBasi utakua sio mwenyeji wa lituhi

MbingaBasi utakua sio mwenyeji wa lituhi
naiomba hiyo mkuu ni pmNimepata orodha ya watumishi waliohakikiwa kwa mkoa wa Pwani pekee, orodha kama hii ya mikoa mingine zinapatikana wapi?
Mwenyezi ufahamu juu ya suala hili naomba kufahamishwa pia au aliyenazo naomba aweke hapa Specifically ya Mkoa wa Kagera na Kilimanjaro.
Nimepata orodha ya watumishi waliohakikiwa kwa mkoa wa Pwani pekee, orodha kama hii ya mikoa mingine zinapatikana wapi?
Mwenyezi ufahamu juu ya suala hili naomba kufahamishwa pia au aliyenazo naomba aweke hapa Specifically ya Mkoa wa Kagera na Kilimanjaro.
mkuu hiyo orodha ndio tunaitaka hapa...hivi mnaipata wapi?Huu uhakiki umeleta Shida nyingine hasa Mwanza, watu wengi wamehakikiwa ila majina yao hayaonekani pande zote, imelazimu kuanzia ijumaa kupeleka vyeti Jiji na kwenye ma Wilaya, watumishi wengi hawajawekwa kwenye ile orodha ya watu waliohakikiwa tuseme ni uzembe wa wachapaji au ??
Nimepata orodha ya watumishi waliohakikiwa kwa mkoa wa Pwani pekee, orodha kama hii ya mikoa mingine zinapatikana wapi?
Mwenyezi ufahamu juu ya suala hili naomba kufahamishwa pia au aliyenazo naomba aweke hapa Specifically ya Mkoa wa Kagera na Kilimanjaro.
Nikutumie ya Mwanza mkuu????mkuu hiyo orodha ndio tunaitaka hapa...hivi mnaipata wapi?