Nitumie whatsapp number 0753 250 877 tafadhariKuna mtu kanirushia kwa whatsap
Ni pm namba yako nikurushie ya nchi nzima kwa what' sapp
Ni pm namba yako nikurushie ya nchi nzima kwa what' sapp
UNAYO ORODHA YA MTWARA MANISPAA ???Nimepata orodha ya watumishi waliohakikiwa kwa mkoa wa Pwani pekee, orodha kama hii ya mikoa mingine zinapatikana wapi?
Mwenyezi ufahamu juu ya suala hili naomba kufahamishwa pia au aliyenazo naomba aweke hapa Specifically ya Mkoa wa Kagera na Kilimanjaro.
wewe ni mzushi..umeipataje na unashindwaje kuiachia...Ninayo ya Tanga ila nmeshindwa kuweka
chukua Komputa yako mkuu weka hii link usafu whatsap kwenye komputa utaweza kuweka kwenye internetSasa nizishe ili iweje mkuu,mi nimetumiwa whatsp kuweka jf nimedhindwa
isend kwenye magroup mengine itatufika mkuuNatumia simu sio komputa