Habari wanajamvi,usiku wa manane nimeota nipo na zuchu nimemshika mkono tukitembea kimadaha sana,sijui wakuu hii ndoto ina maana gani hasa ukizingatia imenijia saa nane za usiku
 
Nenda parokia iliyokaribu uliza ofisi wanakoandikisha nia za misa, andikish nia ya misa ya kumuombea marehemu mdogo wako, hiyo hali haitajirudia. Misa inasaliwa kila siku hivyo siyo lazima uende jumapili. Nimeandika kwa kutambua kupitia mwandiko wako kuwa wewe siyo mkatoliki ila kwa vile binadamu wote tukishakufa dini tunakuwa dini moja nenda kaweke nia ya misa kwa ajili yake.
 
Mods washauunganisha huu uzi.. dah!
 
Mods wakati mwingine wanasababisha usumbufu usio wa lazima, wafuatiliaji wengi wa uzi wa tafsiri za ndoto wananiijia PM kuuliza kulikoni uzi nimeufuta kumbe mods washafanya yao.
 
Mods wakati mwingine wanasababisha usumbufu usio wa lazima, wafuatiliaji wengi wa uzi wa tafsiri za ndoto wananiijia PM kuuliza kulikoni uzi nimeufuta kumbe mods washafanya yao.
Msaada tutani, mtu ameota ndoto kua aliyekua mwanaume wake ameuawa kwa kunyongwa, kastuka usingizini analia vibaya kwa sababu ya ndoto hiyo, nini tafsiri ya ndoto hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto inajaribu kuongelea uhalisia wa hisia zake za ndani juu ya mahusiano yaliyopita na muhusika kwa kuwa kuna kiashiria cha haja ya mapenzi hayo kukoma na kusauliwa (kuuawa/kunyongwa) lakini hisia ya kujali (kilio cha uchungu) bado inaonesha kuwa mwotaji bado ajaamua ku-move on completely.

Jawabu;
1. Kumzika moyoni na kumsahau kabisa na uanze maisha yako mapya ya kimahusiano pasipo yeye.
2.Kuufata moyo na kutafuta uwezekano wa kuyajenga upya au kuamua kutengeneza ukaribu nae wa kirafiki, chaguo ni lako.
 
Ukiotaa ndoto Inahisisha Baharii..Mto..Ziwa yani kitu chenyr majiii...!! USIPUUZEE...USIPUUZE. hasa kama ilikuwa ni jambo bayaaa kama kuzama maji au kupata ajali ya chombo cha maji.
Haujelezea maana sasa chief..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…