Order ya simu

Order ya simu

Kufikiri kwako ndio kuliko ishia hapo mkuu atakwenye safar ya mafanikio watu kama wewe wapo kwa hiyo sto shangaa na akili zako atakwenye familia yako wanatabu sana inaonyesha wazi wewe ndio kikwazo kwa ndugu zako wasiendelee hvyoo sito kushangaa ningekuwa biashara nimeanzia humu hapo sawa ila sikuanzia hapaa kwa hiyo uweez kunikatisha tamaa kwa maneno yako never ever kabsa wewe ongea mdomo mali yako bwabwaja unavyoweza ndio kipaji chako hcho ulichopewa na Mungu na hzo ndizo akili zako
Hupati mtu hata ukimtumia mganga wa bashite.

Maduka ya simu yalivyojaa eti mtu atoe oder!!!!!!
 
Ndo Tapel wa JF aliyekuja na gia kama ya huyu ya kununua vitu kwa kutoa advance anaagiza nje yaani watu walilizwa balaa naona kaja na ID mpya hapa kuwapata wajinga wengine
Mi nampa za uso mwanzo mwisho, mpaka aukimbie uzi wake.
 
Kaka heshima nikitu cha bure sawa ulishawaigi kufanyabiashara na mm kiasi ufikie kusema maneno kama hayo eti watu tuko tofauti sawa wengine kuuza vitu mitandaoni hii nikaz yetu sijaanzia na simu mm na uwa sinaga hizo habari sawaa kaka usiishi kwa kukremisha sawa watu tumetofautiana sisi mm naelewa ukimdhulumu mtu what next sawaa usiwee unapenda kuropoka sawaa kaka
Wewe ni tapeli mkubwa mlianzia huko instagram mkajifanya mpo Zanzibar kumbe uongo mtupu watu waliwatumia advance mkala kona

Nyie ni matapeli na ipo siku yatawatokea puani
 
Hatununui simu kwenye duka la mfukoni!!

Weka hapa receipt za malipo ya kodi tuanzie hapo.
 
Wewe ni tapeli mkubwa mlianzia huko instagram mkajifanya mpo Zanzibar kumbe uongo mtupu watu waliwatumia advance mkala kona

Nyie ni matapeli na ipo siku yatawatokea puani
Watapigwa paipu!!!
 
1.6 mil mkuu. Unatoa advance ya mil 1. Ukipatia mzigo wako unamalizia iliyobaki. Na utakapotoa advance unapewa dhamana ili usifikiri kuna wizi hapa
Galaxy S7 haizidi 1.1 M duh we Jamaa unatisha
 
Ofisi bado kidogo tu kiongoz tunajichanga changa ili tuwee nayo maana siunajua mbuyu ulianza kama mchicha kiongozi mawasiliano ukiwa tayari niambie aina gani ya simu unayotaka kisha nikuambie bei yake bora kuzileta kwa order kuliko ufunge tu mzigo uje nao alafu ukudodee
Mkuu hauko serious hata kidogo. Mzigo unatoka nje ya nchi na ofisi huna!! Inamaana hela ya kukodi chumba ni kubwa sana hata mara mbili ya nauli ya kwenda na kurudi toka korea+matumizi+procedure za kupata vibali???
 
Unadhan kiongoz biashara unafungua ofs kizembe zembe kaka kunakujipanga kaka vitu vingi ukamilishe ofisi kaka sio kaz raisi asikuambie mtu
 
Wewe ni tapeli mkubwa mlianzia huko instagram mkajifanya mpo Zanzibar kumbe uongo mtupu watu waliwatumia advance mkala kona

Nyie ni matapeli na ipo siku yatawatokea puani
Masikini ya Mungu kweli unachokiongea kama ujui kinakupa tabu sanaa yaani zanzibar ndio nakusikia wewe kaka mm nipo moro makaz home dar kwa wazazi kaka hayo ya zanzibar nakusikia wewe na hata account yangu ya instagram utakuta nimepost simu powerbank na dawa za kupunguza mwili kaka na hata humu nimeshapost sana simu za lg g3 black pamoja na gold na lg prada kaka usimuhukumu mtu kwa kutokumjua
 
Ni kweli kaka sawaa basi kama uneona nibei waweza chukua uko kwenye unafuu kaka angu sawaa
Wewe ni tapeli mwenzio mwizi wa magari kadakwa huko msakuzi bado nyinyi na ile nr nyingine mlotumia kutapeli watu ipo on track just wait and see
 
Masikini ya Mungu kweli unachokiongea kama ujui kinakupa tabu sanaa yaani zanzibar ndio nakusikia wewe kaka mm nipo moro makaz home dar kwa wazazi kaka hayo ya zanzibar nakusikia wewe na hata account yangu ya instagram utakuta nimepost simu powerbank na dawa za kupunguza mwili kaka na hata humu nimeshapost sana simu za lg g3 black pamoja na gold na lg prada kaka usimuhukumu mtu kwa kutokumjua
Wewe ni tapeliiii
 
Mi nampa za uso mwanzo mwisho, mpaka aukimbie uzi wake.
Nakupa pole kama upo kwa nia hiyoo kaka mm sio wa kiivyo na sishangai watu kama wewe mpo wengi na wengi umkatisha tamaa mtu ata tu nilipoanza kufata mzigo uko korea walinikatisha tamaa ila baadae waliona aibu kwa kuwa still na songa mbele kwa hiyooo wewe kama upo kwa kaz hyoo pole sana kaka na upoo kwa ajili ya kukatisha tamaa watu pole mnoo tena pole sana maana unaropoka tu mwenye akili atakuona kama shimo la taka awez kukushangaa unaweza kuta ata ela ya kununua simu una maana mnunuz kaka hayupo kama wewe ulivyo hvyo na akili zako za kupepewa hata familia yako wanapata shida nawewe bora wangekuuza utumwan labda wangepata faida jogi
 
Hupati mtu hata ukimtumia mganga wa bashite.

Maduka ya simu yalivyojaa eti mtu atoe oder!!!!!!
Umekatazwa kwenda ulewa wako tu nisawa sawa na wadudu wa choon hvyo sitokushangaa na walaa unipishidaah mm nakuahd kama upo kwa kunirudisha nyuma am not your level tometofautiana sana mm na wewe ata kwenye uelewa
 
Napokea order ya simu mzigo nachukulia korea nazileta kwa order unaniagizia unalipa advance mzigo ukifika unamalizia pesa unachukua simu yako
Mambo ya kelvin isaya haya, watu walilia sana, bado hawajasahau
 
Hatununui simu kwenye duka la mfukoni!!

Weka hapa receipt za malipo ya kodi tuanzie hapo.
Wewe umelazishwa kwanza ela yenyewe una makele mengi ndio wale wale dume suruali una aibu muone kama uko kwa ajili ya kunirudsha nyuma unikome kabsa mm sio hao ulio wazoea kaka sawaa
 
Watapigwa paipu!!!
Eti paipu how comes paipu akili zako kama matope kaka jitadhimin tena kaka rudisha nyuma ukuaji wako utapata jibu uliruka steji gani kaka
 
Shubuutuuuuuuu juuzi tuu ndio nimepigwa Changa la macho nyooo chukua tuuu oder kwa wengine
 
Back
Top Bottom