Order ya simu

Order ya simu basi kisha tukupe advance...!!!!?weeee weee unacheza kiduku..!!!utakuwa una nia ya kutukumbusha michezo ya kitoto ya kuruka angwele,sio bure.
Ni haki yako useme hivyo kiongoz ila sisi wengine hizo simu ndio biashara zetu kwa hali ya sasa hv bora kuzileta kwa order kuliko mtu uende ulete mzigo alafu ukaenaowee bora kuzileta kwa order na mtu akuagize na akupe advance ukifika mzigo anakuja kuchukua hata ulete chache ambazo unajua watu wamesha lipia ukifika wanakuja kuchukua tuu nasikingne maana hali ya biashara imekua mbaya na mtu unategemea ela izunguke hvyo ufate mzigo mwingne japo wapo walio natabia hizo za kusepa na ela za watu ila uhaminifu nikitu cha msingi sana asikuambie mtu ukisema umdhulumu mtu leo kesho mnakuja kukutana uso kwa uso inategemea itakuaje labda
 
Ofisi iko wapi mkuu pamoja na mawasiliano ya uhakika
Ofisi bado kidogo tu kiongoz tunajichanga changa ili tuwee nayo maana siunajua mbuyu ulianza kama mchicha kiongozi mawasiliano ukiwa tayari niambie aina gani ya simu unayotaka kisha nikuambie bei yake bora kuzileta kwa order kuliko ufunge tu mzigo uje nao alafu ukudodee
 
Tunachokitaka hapa ni mawasiliano yako tyu.maneno yote haya pamoja na uwingi wake bado nia yetu ni nzuri kwako.mawasiliano ya kukupata wewe ili ufanye biashara na sisi n yepi?!!
 
Ofisi bado kidogo tu kiongoz tunajichanga changa ili tuwee nayo maana siunajua mbuyu ulianza kama mchicha kiongozi mawasiliano ukiwa tayari niambie aina gani ya simu unayotaka kisha nikuambie bei yake bora kuzileta kwa order kuliko ufunge tu mzigo uje nao alafu ukudodee
Hapo ndipo mkangany

Hapo ndipo mkanganyiko unapoanza, wewe mwenyewe unalalamika sasa hivi hali ngumu...sasa unategemea mtu aanze tu kukupa advance usawa huu bila wewe kuwa hata na ofisi?!! Utakuwa unatania.
Baada ya hapo nipe bei ya simu hizi:
1. Huawei Mate 9, 6GB RAM 128GB ROM-Black
2. Honor 8 Pro - Black
 
Huyu atakua ni kelvin isaya tu!
Kaka sio wote tunaofanana mm binafs hii ndio biashara inayoniweka mjini na familia yangu inasonga mbele na jua lazma uwaze kudhulumiwa ila mm sipo hvyo kaka nadhamini sana uhaminifu sana maana kuna leo na kesho na biashara za mitandaon muheshimu sana anaekuamini na akaamua kufanya biashara nawewe ukidhulumu mwisho wa siku usongi mbele boss wangu naogopa sana dhuluma
 
Mimi Nina laki mbili naweza kupata tablet nzuri?
Tajiri yangu kwa ukweli kwa laki mbili tablet kwa korea inakua mtihan kupata na simu nyingi kwao ni samsung na iphone na lg zipo kwa wingi Tajiri
 
Saa sawa boss sasa hujanipa bei ya hio iphone 6s Plus 64GB Space grey au Gold
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom