Order ya simu

Order ya simu

Eti jitu ulijui ulikabidhi 1M hv hv kirahisrahis na usawa huu.mamaee
Wewe ukiniamini ataukisema tukaandikishane sijui kwa mwanasheria au polisi it fine hapo ndio kwenye trust yako alafu utakapo pata mzigo wako utabak na aibu maana wengine sie sio matapeli kama mnavyo fikiria ukiona mfanya biashara unakosa uhaminfu kwa mteja wako ujue kaz hipo ila mm napendaga sana trust atanikikukabithi mzigo wako ukiniambia unashidaah hii lazma nikusikilize ili muda mwingne uniagize kitu kingine kwa uhaminifu huo huo ulio niamini mimi
 
Embu soma kichwa cha habari uelewe sawa nimekuambia ni mtaji au nazileta kwa order ata kama mtu wakiagiza watano bora najua azito kaa kama nilizoleta mwanzon na zimebak tatu tu sio unasema tu kwa kuwa mdomo umepewa bure kiongoz na hulipi kodi
Hakuna mtu aliyenipa mdomo kuwa na adabu we mtoto!!! Ebo.
Yaani unalipa nauli ya ndege kwenda korea kuleta simu tano? Ambazo nazo unataka uongezewe mtaji (downpayment)
Hakuna mjinga wa hivyo humu.
 
Maneno yako hayana bima.

Ulichoninukuu sicho ulichojibu na ulichokiedit ndicho kimehusika.

Ila huu msamiati wako wa "kukremisha" unaonyesha level yako ya utapeli bado ipo chini kidogo
Pole saaa jogi sawaa mdomo ni mali yako umepewa utamke unachofikiria ataukisema mm ni mtoto mchanga kwenye utapeli sawa hicho nikinywa chako kimenena hvyo ila najijua binafs siwez kumdhulumu mtu ata mara moja na hata siku moja nakuwa najiaribia mwenyewe ila wewe sema unavyo weza hii hali mdomo niwako sema na waza unavyofikiria tu
 
Wewe ukiniamini ataukisema tukaandikishane sijui kwa mwanasheria au polisi it fine hapo ndio kwenye trust yako alafu utakapo pata mzigo wako utabak na aibu maana wengine sie sio matapeli kama mnavyo fikiria ukiona mfanya biashara unakosa uhaminfu kwa mteja wako ujue kaz hipo ila mm napendaga sana trust atanikikukabithi mzigo wako ukiniambia unashidaah hii lazma nikusikilize ili muda mwingne uniagize kitu kingine kwa uhaminifu huo huo ulio niamini mimi
Mnunuzi wa simu sio mteja.
Mteja huja akaenda akaja tena.
Tuondolee upumbavu humu
 
Hakuna mtu aliyenipa mdomo kuwa na adabu we mtoto!!! Ebo.
Yaani unalipa nauli ya ndege kwenda korea kuleta simu tano? Ambazo nazo unataka uongezewe mtaji (downpayment)
Hakuna mjinga wa hivyo humu.
Soma post utaelewa siendi kufata simu tu bali na vitu vingne inaonekana kuelewa kwako nishidaah sana alafu mtu wa sampuli kama yako wapo kwa ajili ya kumkatisha mtu tamaa my friend mm sio wa hvyoo sawaa ata kusoma post nyuma urud unaropoka tu kasome uatelewa alafu tafakar na kichwa nilichokiandika sio unakuja hapaa unaandika tu usichokielewa kaka sawaa
 
Pole saaa jogi sawaa mdomo ni mali yako umepewa utamke unachofikiria ataukisema mm ni mtoto mchanga kwenye utapeli sawa hicho nikinywa chako kimenena hvyo ila najijua binafs siwez kumdhulumu mtu ata mara moja na hata siku moja nakuwa najiaribia mwenyewe ila wewe sema unavyo weza hii hali mdomo niwako sema na waza unavyofikiria tu
Hakuna mali inaitwa mdomo!!!!
Acha kuonyesha kipaji cha uzezeta
 
Mnunuzi wa simu sio mteja.
Mteja huja akaenda akaja tena.
Tuondolee upumbavu humu
Nikuondolee upumbavu mm nilikuita hapa uandike kaka mbona akili yako inakuwa fupi sana unashindwa ata na mtoto wa chekechea kaka jitafakar unapo fka nakuandika sio unaandika kama vile ujielewi sawaa
 
Weweee sikiliza nikuambie ndugu,,,biashara fanya kwa manufaaa na uweledi uliotukuka,,,unataka advance ili nn?ili upate uhakika au ili kuongezea mtaji wako?kama kupata uhakika huku sio vilaza sana kama inst na fb wanakuagiza halaf wanatokomea hii ni jf japo kuna wasanii ila sio kwa kiwango kikubwa kama kwenye hyo mitandao mingine,,

Mwanaume na mfanya biashara kwel huangalia mbali sio kuangalia mbele,,,unatafuta oda yako kwa uhakika,,kwa watu wa uhakika,then unashusha mzigo,,unawapelekea mmoja baada ya mwngine unachukua mpunga wako unasepa,,hao hao unaowauzia ndo watakutangazia soko zaid hapa hapa ubaoni.... We hunijui sikujui nikupe advnc khaaa naanzaje yaan? Namba zako zenyewe mpya hizi za siku hizi siku hizi aiseee... Fanya biashara serious sio kiutan utan kwenye hela??
 
Hakuna mali inaitwa mdomo!!!!
Acha kuonyesha kipaji cha uzezeta
Wewe sindio zezeta ambae atapost ya nyuma kusoma ujasoma uelew unaandika tu kama mtu anaepewa ofa ya bia ndotoni na kuropa tu nipe bia tano hii hali umelala na unajua uwez zimaliza
 
Duuuh biashara ngumu... Yaani unauza simu sisi ndio tukuombe mawasiliano, tukuuliza ofisi iko wapi.... Tangazo la biashara hili au maigizo??
Akili za Kibongo Movie bwana... Full Kolomije...
Umepitia post za nyuma kaka ukaona hayo yote wameniuliza nimewajibu na ofisi sio unaikuta tu kiongoz ofisi inatengenezwa mkuu na uwez kukurupuka ukaitengeneza tu ofisi sawa mdogo mdogo kote uko tunafka kwan wewe ulizaliwa ukaanza kutembea siku ya kwanza uliofka dunian silazma ulipitia stage mbali mbali mpaka hapo ulipo sasa ni mtu mzima unajitambua kabsa na mm ofisi kidogo kidogo msidhan wakariakoo walianza tu walipambana mpaka pale wapo na fremu kwa hiyo na mm mdogo mdogo nafika uko muda sio mrefu kaka na mawasiliano mbona namba hipo nimeshatoa kiongoz
 
Kitu kinachonishangaza seke seke la Kelvin lilikuwa hivi hivi alivotokomea hakuna ambaye angeamini
Sasa na wewe umejoin JF March 18/2017.... Sijajua umekuja kwa lengo la kuwapiga watu au kufanyabiashara ndo maana mashaka hayaniishi
Niwapige nipate faida gani mm najua ela mlipozitolea uko kama mmezisomea kisomo alafu nikudhulumu itasaidia nn au umezitoa kwa waganga uko na mashart kibao itasaidia nn au kutwa nzima ulali unaitafuta hiyo pesa ntapata nn nikikudhulumu mm na utaniamn tena kujoin hiyo tarehe sio tatizo tatizo niwewe kuniamini tu basi utakapo niamn na kunipadhamana ya pesa yako umesha jenga trust kwangu na unanijengea cv nzur na ukipata mzigo wako unakuwa tayar una mashaka na mm tena mm siwez kukutapeli ntakapo kuletea mzigo ukiupata mm nakuwa kwenye nafas nzur ya biashara atatukikutana kwenye mitandao mingne ya biashara inakua rahisi na unaendelea kuniamini na sio kukutapeli alafu nipate nn mm
 
Ushauri wangu bora wewe uagize simu kwa pesa yako ikifika Tz mteja aje kulipia akishindwa bado si shida tutaitangazia huku tulio na shida tutanunua mambo ya kutoa advance ukachukue Mzigo ukija ndo imaliziwe utacheza ndombolo kwa usawa huu na jinsi Ndugu yako Kelvin Isaya alivowapiga watu za USO kwa staili yako hahaha
 
Wewe sindio zezeta ambae atapost ya nyuma kusoma ujasoma uelew unaandika tu kama mtu anaepewa ofa ya bia ndotoni na kuropa tu nipe bia tano hii hali umelala na unajua uwez zimaliza
Wewe sio macho yangu kusema kuwa sijasoma posti za nyuma sijui mbele huko!!!!
Katika mifano yoooooote hukuona isipokuwa "BIA"

Umejipambanua vema na kiukweli kabisa

Nina furaha kubwa kuwa hutapata fala hata mmoja humu.
 
Eti mtu Ana uwezo wa kupanda ndege hadi Korea kufata mizigo
Stil hana ata kaofisi hana ata mtaji wa kuchukua cm kumi aje nazo auze eti anaomba mtu ampe advance looh
Nyie Binadamu maduka ya cm yapo mengi kama huwezi kununua hapa ingea Amazon, eBay nunua online
Mtapigwa za USO hadi muone Dunia Chungu
 
Wewe sio macho yangu kusema kuwa sijasoma posti za nyuma sijui mbele huko!!!!

Nina furaha kubwa kuwa hutapata fala hata mmoja
Kufikiri kwako ndio kuliko ishia hapo mkuu atakwenye safar ya mafanikio watu kama wewe wapo kwa hiyo sto shangaa na akili zako atakwenye familia yako wanatabu sana inaonyesha wazi wewe ndio kikwazo kwa ndugu zako wasiendelee hvyoo sito kushangaa ningekuwa biashara nimeanzia humu hapo sawa ila sikuanzia hapaa kwa hiyo uweez kunikatisha tamaa kwa maneno yako never ever kabsa wewe ongea mdomo mali yako bwabwaja unavyoweza ndio kipaji chako hcho ulichopewa na Mungu na hzo ndizo akili zako
 
Kelvin Isaya Ndo nanii..????
Ndo Tapel wa JF aliyekuja na gia kama ya huyu ya kununua vitu kwa kutoa advance anaagiza nje yaani watu walilizwa balaa naona kaja na ID mpya hapa kuwapata wajinga wengine
 
Ndo Tapel wa JF aliyekuja na gia kama ya huyu ya kununua vitu kwa kutoa advance anaagiza nje yaani watu walilizwa balaa naona kaja na ID mpya hapa kuwapata wajinga wengine
HUYU JAMAA NAE NI TAPELII TUU..!! nikupe advance huna hata ofisi..??? Kaa chini fikiri tenaa kijana... Maisha sio rahisi kama anavyofikiri
 
Back
Top Bottom