Order ya simu

Order ya simu

Napokea order ya simu mzigo nachukulia korea nazileta kwa order unaniagizia unalipa advance mzigo ukifika unamalizia pesa unachukua simu yako
Mwizi Huyu Mpigeni Mawe Mtu Mwenyewe ID fake!
 
Unataka upigwe?
Ata kwenye safar ya mafanikio watu kama wewe wapo wewe ita majina unayotaka ukichoka utaacha na itakushika aibu atakao iangizia na ntamwambia apost ili uaibike na kuropoka kwako uko kwa kukariri kila mtu ni tapeli
 
Tapeli huyu
Unapo niita tapeli narudia tena ulisha wai kufanya biashara na mm na nikakutapel au kwasababu umejaliwa kumsema mtu vile akili yako na vidole vyako vinavyokutuma uchape kuandika jitafakar kama ulishawai kufanya biashara na mm ndio urud uandike hapa huyu amenitapeli na sio kuropoka ovyo kaka
 
Mwizi Huyu Mpigeni Mawe Mtu Mwenyewe ID fake!
Sibora mm niandika kianzio cha jina la mume wangu kuliko wewe ulieandika jina la mzizi wa mganga wa kienyeji uko sijui uoni aibu tu mia akili unapo koment sio ukiona uwanja wakutype unaandika vile unavyo fikiria wewe na kuwaza wewe kaka
 
M.S.E.N.G.E nini hilo ndo jina langu liache vivo ivo nani kakuuliza kama ni la mumeo la hawara yako
 
Lak 7 boss
Mkuu yaan
J5 laki 7 wakati huku nilipo wanauza laki 4.5
Lengo la kukuuliza wewe nilijua itakua pungufu ya laki 4.5 ili niangalie uwezekano wa kuagiza mbili at once.

Kwa hiyo bei unanipa mashaka mkuu
 
Mkuu yaan
J5 laki 7 wakati huku nilipo wanauza laki 4.5
Lengo la kukuuliza wewe nilijua itakua pungufu ya laki 4.5 ili niangalie uwezekano wa kuagiza mbili at once.

Kwa hiyo bei unanipa mashaka mkuu
Sawaa kaka kila nchi zinatofautiana ubora wa simu na hata mfanyabiashara wasimu ukimwambia hii original anakuambia embu nione akiangalia tu anajua hii samsung ya nchi gan na ubora gani na ndio maana unakuta chunguza sana kuchukua mzigo korea inabid ujipange kaka maana hawa jamaa malizao sio za kubumba na ukiuza vitu feki tu kunyogwa nje nje ndio maana unakuta wanajitaid vitu vyao ni vizur a price zao pia zipo juu kidogo boss
 
Mkuu yaan
J5 laki 7 wakati huku nilipo wanauza laki 4.5
Lengo la kukuuliza wewe nilijua itakua pungufu ya laki 4.5 ili niangalie uwezekano wa kuagiza mbili at once.

Kwa hiyo bei unanipa mashaka mkuu
Na ndio maana ata nilipo zunguka kariakoo kufanya like kama vile natafuta betri ya lg g3 wakaniambia embu tuione simu wakaangalia akaniambia hii simu ya korea nikamjibu ndio akaniambia hapa betri utapata shidaah cha msingi agizia betri ulipoinunua maana zinatabia kama betri sio lenyewe aziwaki atakido au badala ya kujaa chaji inanyonya chaji tu
 
Eti paipu how comes paipu akili zako kama matope kaka jitadhimin tena kaka rudisha nyuma ukuaji wako utapata jibu uliruka steji gani kaka
Limekubumia
Members tumekustukia hupati wa kumuibia huku.
Korea utaenda kwa miguu umlaumu magufuli.
 
Nakupa pole kama upo kwa nia hiyoo kaka mm sio wa kiivyo na sishangai watu kama wewe mpo wengi na wengi umkatisha tamaa mtu ata tu nilipoanza kufata mzigo uko korea walinikatisha tamaa ila baadae waliona aibu kwa kuwa still na songa mbele kwa hiyooo wewe kama upo kwa kaz hyoo pole sana kaka na upoo kwa ajili ya kukatisha tamaa watu pole mnoo tena pole sana maana unaropoka tu mwenye akili atakuona kama shimo la taka awez kukushangaa unaweza kuta ata ela ya kununua simu una maana mnunuz kaka hayupo kama wewe ulivyo hvyo na akili zako za kupepewa hata familia yako wanapata shida nawewe bora wangekuuza utumwan labda wangepata faida jogi
Sikukatishi tamaa bali nakwambia hivii tamaa yako ni ya mzee fisi.
Mkono wa binadamu hauanguki.

Tafuta cha kufanya.
 
Limekubumia
Members tumekustukia hupati wa kumuibia huku.
Korea utaenda kwa miguu umlaumu magufuli.
Polee mm sipati shidaah nawewe siumesema utanifanya nikimbie sasa kukimbia sikimbii nilipo jua wewe ni mjinga ujawai kufanya biashara na mm unakaz ya kuropoka tu eti tapeli aliekuambia nani uko sitoenda kwenda nitaenda hyoo ndio kaz yangu ila mwenda wazimu kama wewe unipi shida nilisha kuambia mm unirudishi nyuma kama upo kwaniaba ya kunikatisha tamaa pole na unikomee kabsa
 
Back
Top Bottom