Order ya simu

Order ya simu

Mrs S, shughulikia wasiwasi wa Chuck j ambao najua wengi wanao. Kumbuka tapeli huwa hana rangi, wala kitambulisho chochote. Watu hawataki kuanza kusikia simu ya mteja huyu haipatikani. Hebu jipange upya, biashara ipo.
Nikweli kaka na mm sio humu tu nipo olx na nimetok mtumia mteja projector yake na anitumia mpaka sasa biashara inachangamoto kaka tena sana inabidi usiwee unakta tamaa kiraisi raisi kaka angu ila kwa sababu nikitu nilichokiamua kufanya biashara natumain ntafika mdogo mdogo tu wachache watako kuamin kutokana n kila mtu alivyopitia kwenye utafutaj wake wa maisha na kwa jinsi nauelewa wake ulivyo
 
Weka kivuli cha leseni yako ya biashara hapa.
Leseni itakusaidia nn jogi my friend kam atuja aminiana jaman naweza nikkuwekea kivuli cha lesen na bado nika kutapeli tu kama nikitu kipo kwenye damu yangu ila binafs hii ndio kaz yangu na ndio inayo nipa kula familia yangu mtu kumuamini mtuni ngumu sana naweza nikaweka lesen hapa na nikwa nimedit na ukaniamini ukanipa pesa yako na bdo nikakutapeli pia na ninaweza nisiweke lesen na bado nikawa muaminifu kwa mteja kaka angu
 
Kitu kinachonishangaza seke seke la Kelvin lilikuwa hivi hivi alivotokomea hakuna ambaye angeamini
Sasa na wewe umejoin JF March 18/2017.... Sijajua umekuja kwa lengo la kuwapiga watu au kufanyabiashara ndo maana mashaka hayaniishi
Watu hawakomi na kuna wajinga watatoa advance
 
Asante jogi unanisaidia sana jaman uwee unaangalia bando au kama ni wifi isiwee hinasumbua unapo kuwa unandika hv wastrabu wananifta na kuniuliza
Mbona huweki kivuli cha leseni yako?
 
Kwani mkuu hyo dental na optometry kwa ngaz ya certificate zpo?

duh... kweli afya imedharauliwa sasa...!! division four.?

Mrs S, shughulikia wasiwasi wa Chuck j ambao najua wengi wanao. Kumbuka tapeli huwa hana rangi, wala kitambulisho chochote. Watu hawataki kuanza kusikia simu ya mteja huyu haipatikani. Hebu jipange upya, biashara ipo.
Kuna MTU alituibia pesa zetu humu,,unatoa 10%ya unachohitaji baada ya mzgo kuja unamaliza malipo,,watu tumelizwa mbaya ,,,yeye anadrma mzigo utafika after 3to5day ,tulisubiri mpaka tukachoka ni ,,tarehe tuuu
 
Watu hawakomi na kuna wajinga watatoa advance
Kila mtu najinsi alivyoumbiwa wewe umtapeli mtu leo siku mkikutana sura utaiweka wapi ndugu yangu na asikuambie mtu jasho la mtu uwez kulila ujui alipotoa ela yake kaka angu walioniamini wao ndio watakaokuwa mashahidi siku za uson na za mbelen uko kaka angu
 
Mbona huweki kivuli cha leseni yako?
Haitakusaidia kitu kaka angu kama nimtu wakukutapeli ntakutapeli tu ila kama sio tabia yangu pia itajulikana pia
 
Kuna MTU alituibia pesa zetu humu,,unatoa 10%ya unachohitaji baada ya mzgo kuja unamaliza malipo,,watu tumelizwa mbaya ,,,yeye anadrma mzigo utafika after 3to5day ,tulisubiri mpaka tukachoka ni ,,tarehe tuuu
Ni kweli unachokisema kaka angu na uhaminifu kwenye biashara ni kitu cha msingi leo kesho nikudhulumu mm siwez endelea maana wewe utakuwa unasononeka kila siku katika maisha yako na uzur Mungualivyo mzur nimekutapel tuankutana uso kwa uso hv unadhan itakuaje na ntakuwa nimeshajiaribia biashara maana wewe ukilala mika nakupost sehemu mbali mbali nimeibiwa nimetapeliwa mm tena kwenye biashara ntakuwa sina nafas nzur kiongoz na watu tumetofautiana boss
 
Biashara ni uaminifu na uaminifu unatengenezwa sio maneno matupu. Jipange upya,tafuta mtaji thenj uwambie watu waweke order unawanunulia simu,ukizifikisha uku wanakulipa.
Nimeleta na zimebak tatu tu na zimechukua muda kutoka ila ukileta kwa order mzigo unakua ukai ela inakua inazunguka maana mtu utegemei simu peke yake kaka angu
 
Ni kweli unachokisema kaka angu na uhaminifu kwenye biashara ni kitu cha msingi leo kesho nikudhulumu mm siwez endelea maana wewe utakuwa unasononeka kila siku katika maisha yako na uzur Mungualivyo mzur nimekutapel tuankutana uso kwa uso hv unadhan itakuaje na ntakuwa nimeshajiaribia biashara maana wewe ukilala mika nakupost sehemu mbali mbali nimeibiwa nimetapeliwa mm tena kwenye biashara ntakuwa sina nafas nzur kiongoz na watu tumetofautiana boss
Aliyetutapeli alikuwa na swaga za aina hii hii.
 
Napokea order ya simu mzigo nachukulia korea nazileta kwa order unaniagizia unalipa advance mzigo ukifika unamalizia pesa unachukua simu yako
Nimefuatilia uzi wako
Naona una mapungufu fulani yanayokufanya uonekane kama tapeli japo yawezekana ukawa sio tapeli
labda nikukumbushe tu kwakuwa wewe ni mgeni humu jf hapo nyuma kulikuwa na mtu alikuja na staili kama yako alikuwa anaitwa kevin isaya yeye alikuwa anachukua 10%ya hela yote then mzigo ukija unammalizia unachukua mzigo wako na alikuwa na ofisi dar na watu wachache wa kwanza walipata mizigo yao akajijengea uaminifu baada ya hapo walioorder raundi ya pili wote walipigwa na ofisi walikuta imefungwa
Ushauri wangu jaribu kutafuta mtaji ununue na kuleta mzigo kwa hela yako pia kama unashindwa jaribu kuweka dhamana ambapo mteja atakuwa na uhakika wa pesa yake kama hatatapeliwa
Usione watu wanalalamika sana wengi wamelizwa humu ndani
 
Nikweli kaka mzigo nimeleta tokea mwaka jana 12 na zimebaki simu tatu na kwasababu uwa nikienda nachukuaga na vitu vingne tofaut na simu ila mzunguko wa simu umekuwa slow mnoo ndio maana nikaona kuziketa kwa order itanisaidia sana biashara kurun fasta na cha msingi ni uhaminifu ata ukiwa na ofs kama sio muamnifu bado niyale yale nisawa ukamuajiri mdokoz akawe benk teller kwa mujinh wa tabia yake lazma atakuwa mdokoz tu ila kama sio tabia yako unafanya kaz kwa uhamifu na unawaletea watu mzigo wao inapendeza sana ndio inakuwa vizur kujenga uhaminifu
 
Kuna MTU alituibia kama we we humu,akasema office IPO moroko Mara ooh mzigo unakuja subiri zikawa nyingi
Mm dhuluma naogopa maana wewe ukiamua kunifanyia kitu kibaya unaweza ndicho ninacho kiogopa sikuzote dhuluma na kudaiwa daah naogopa sana mm
 
Back
Top Bottom