Order ya simu

Order ya simu

Ofisi huna nauli ya kwenda korea unapata wapi
Ata hao wenye ofis walianza mdogo mdogo na kupitia nyinyi wateja mm ntafika mbali kutokana na uhaminifu tutakao jengeana mm nawewe kiongoz
 
Atakae kuwa tayari mwingne mnunuzi kabsa anicheki ili nimuaminishie ili awee na aman
 
Wewe tapeli
Sawaa wewe niite utakavyopenda na mm sipo kwa malumbano hapa nipo kwa biashara mnunuz tu ndio aje ili nimuaminishie awee na aman ndio kaz zetu hz
 
Mkuu mi nna huawei mate 9.. RAM GB 4 internal GB 64
nipe 600k tu nakuachia.. Bado mpya
Unaeza nicheki 0659337348
Ya rangi gani mkuu?
Siyo kawaida yangu kununua vitu vya mkononi sku hizi si salama sana, unanihakikishiaje ownership?
 
Huyu mtu nina mashaka naye sana, SANA. Mchunguzeni vizuri anavyoongea kwenye thread nyingine inaonesha ni mwanaume, thread hii pia ameanza kuongea kama mwanaume...lakiini baadaye amebadilika anaongea kama mwanamke! ID anayotumia ni Mrs, kwa maana nimwanamke, then ukiangalia usajili wa namba aliyotoa hapa inaonesha ni mwanaume. Kuweni makini sana.
 
Hahaha nafurai sana kusikia hvyoo soma mm ni mwanamke ntajiandikaje mrs s kama sio mwanamke kaka angu ntakuwa siko timamu na pili usajili nikitambulisho cha mume wangu ambae ndio jina lake umeliona unalingine la kuniuliza
 
Unaelewa kwamba kutumia line iliyosajiliwa kwa jina lisilo lako ni kosa la JINAI?!
 
Namba ya mume wangu hakuna shaka kaka anajua mwenyewe kwann alifanya hvyo na vitu vingne ni personal ishu kaka angu
 
Hahaha nafurai sana kusikia hvyoo soma mm ni mwanamke ntajiandikaje mrs s kama sio mwanamke kaka angu ntakuwa siko timamu na pili usajili nikitambulisho cha mume wangu ambae ndio jina lake umeliona unalingine la kuniuliza
Hivi bado umekomaa kutaka kuwaibia wananzengo?
 
Kaka sio wote tunaofanana mm binafs hii ndio biashara inayoniweka mjini na familia yangu inasonga mbele na jua lazma uwaze kudhulumiwa ila mm sipo hvyo kaka nadhamini sana uhaminifu sana maana kuna leo na kesho na biashara za mitandaon muheshimu sana anaekuamini na akaamua kufanya biashara nawewe ukidhulumu mwisho wa siku usongi mbele boss wangu naogopa sana dhuluma
Samsung J5 prime,32 Gb,yenye fingerprint ntapata kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom