Naomba ushauri kuhusu clinical medicine

ben pol

Member
Apr 23, 2017
12
3
Wana jf mimi nimepata division 4 nahitaji nikasome kozi ya afya,
Je clinical medicine imausu
 
Kaka sikiliza... anza kusoma certificate... the diploma.. ndio ufike degree.....
 
Wana jf mimi nimepata division 4 nahitaji nikasome kozi ya afya,
Je clinical medicine imausu
hiyo clinical medicine kila mtu anaikimbilia hivyo angalia kozi ambazo bado watu hawazielewi alaf mtaani ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa pia huko hutapata comptition na utachaguliwa kwa point zako kozi ni kama , dental, optometry, medical lab,na some how phamarcy
 
kama una C kwenye chemistry na biology we jitose tu.. unachukuliwa mkuu..!!!
 
hiyo clinical medicine kila mtu anaikimbilia hivyo angalia kozi ambazo bado watu hawazielewi alaf mtaani ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa pia huko hutapata comptition na utachaguliwa kwa point zako kozi ni kama , dental, optometry, medical lab,na some how phamarcy
+Physiotherapy....sio mbaya
 
hiyo clinical medicine kila mtu anaikimbilia hivyo angalia kozi ambazo bado watu hawazielewi alaf mtaani ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa pia huko hutapata comptition na utachaguliwa kwa point zako kozi ni kama , dental, optometry, medical lab,na some how phamarcy
Kwani mkuu hyo dental na optometry kwa ngaz ya certificate zpo?
 
Vipi APA
Advanced certificate
Bio D,Geo D chemi f
O level
Bio,Geo,chem,math nlipata B lakin phscs E.......naweza chaguliw CO????
 
kwann mnamkatisha tamaa wakati afya wanachukua watu wenya D 4 ,za sayansi .anzia certificate..lkn kwa ualimu ndo huwezi mwisho ni divission 3
Kweli kabisa mkuu, kozi za afya na kozi zote za sayansi na biashara unaanza ngazi ya cheti mpaka diploma alafu degree
Tena vijana wengi ningewashauri siku izi form five na six zina changamoto sana
 
Chen=d
Biol=d
Phy=d
Math=d
Eng=d
Hist=d
Kisx,geo,civ=F, je napta kwel clinical officer???wadau nixhaulianeni
 
Back
Top Bottom