Nilijua tu lazima ukimbilie uko[emoji2] rejea maelezo yangu pale juu unaangaika na mods za Gcam za nn.. kama sim sio kimeo? Magisk modules [emoji38][emoji38] mwanzo nilikua na akili kama zako ila nilipokuja kupata cm nzuri nikajua ule ulikua ni ujinga wa kuangaika na substratum themes,Gcam,magisk modules,custom kernel/roms sijui GSIroms nk kote uku kulikua ni kuifanya simu yangu ionekane ya kiutofauti ila baada ya kuvuta flagship nishaacha kushinda Github na Xda nakula maishaKwanza Wahindi hawanidanganyi mimi,, naongea kwa experience kua kwa sasa Xiaomi ndio iko na developers support kubwa...sasa kesi yako ya kernel ndio useme developers wake uchwara ? Nakupa simple mods tu... hakuna simu yenye gcam support kubwa kama xiaomi hadi sasa, ports zimejaa kama utitili kuliko simu yoyote....
Nenda kweny magisk modules huko ndio utakimbia....
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Sio kuilinganisha inazidiwa kabisa na tecno camon 18 pro[emoji1787][emoji1787] Kwanza global Miui rom inabugs nying tu moja wapo ni kujipunguza sauti yenyeweI bet huna uhakika na hili ulilosema boss! Ninatumia Redmi Note 9, huwezi kuilinganisha na Tecno, trust me!
18 pro na Note 9 ni simu za bei mbili tofauti, 18 pro linganisha na kina MI 11 lite 5GSio kuilinganisha inazidiwa kabisa na tecno camon 18 pro[emoji1787][emoji1787] Kwanza global Miui rom inabugs nying tu moja wapo ni kujipunguza sauti yenyewe
Sasa kumbe unalinganisha flagship na simu za laki 4. Wewe ulitaka simu ya laki nne iizidi ya mamilioni?Nilijua tu lazima ukimbilie uko[emoji2] rejea maelezo yangu pale juu unaangaika na mods za Gcam za nn.. kama sim sio kimeo? Magisk modules [emoji38][emoji38] mwanzo nilikua na akili kama zako ila nilipokuja kupata cm nzuri nikajua ule ulikua ni ujinga wa kuangaika na substratum themes,Gcam,magisk modules,custom kernel/roms sijui GSIroms nk kote uku kulikua ni kuifanya simu yangu ionekane ya kiutofauti ila baada ya kuvuta flagship nishaacha kushinda Github na Xda nakula maisha
Wew ndo unaita ujinga....ingekua mods za gcam sio deal basi kasome uzi wangu wa gcam uone feedback,alafu unachekesha mzee,gcam unasema ya nini? uliskia kuna stock app gani imekua ported kam google camera? kuna mods huwez ishi bila kua nazo..achana na mambo ya substrum themes.Nilijua tu lazima ukimbilie uko[emoji2] rejea maelezo yangu pale juu unaangaika na mods za Gcam za nn.. kama sim sio kimeo? Magisk modules [emoji38][emoji38] mwanzo nilikua na akili kama zako ila nilipokuja kupata cm nzuri nikajua ule ulikua ni ujinga wa kuangaika na substratum themes,Gcam,magisk modules,custom kernel/roms sijui GSIroms nk kote uku kulikua ni kuifanya simu yangu ionekane ya kiutofauti ila baada ya kuvuta flagship nishaacha kushinda Github na Xda nakula maisha
GCam haikwepeki haijalishi una kampuni gani inayotumia AndroidWew ndo unaita ujinga....ingekua mods za gcam sio deal basi kasome uzi wangu wa gcam uone feedback,alafu unachekesha mzee,gcam unasema ya nini? uliskia kuna stock app gani imekua ported kam google camera? kuna mods huwez ishi bila kua nazo..achana na mambo ya substrum themes.
Na aliekwambia ukiwa na flagship ndio umemalza kila kitu nani? Dev support iko pale pale...hakuna flagship iliyokamilika kiasi cha kusema hakuna haja ya mods na ports za devs...
Hata s21 inakula ports za gcam...sjui unataka kusema nini hapa.. Android sio Apple
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ndio namwambia ,yeye anajua mods zote zkitoto tu..sijui ndo alikua anashinda nazo..na uskute kutwa anasaka ports ya simu yake hajapata hadi leo [emoji1][emoji1]GCam haikwepeki haijalishi una kampuni gani inayotumia Android
Bei gani kama unajua. Pengine kwa usawa tutafaidi wengiNitanunua nasikia kuna yenye 108megapixel, 8GB ram na 128GB storage na battery 5200.
Hii inanifaa
Jamaa kasema redmi note 9 yake hakuna tecno anayefua dafu[emoji28]18 pro na Note 9 ni simu za bei mbili tofauti, 18 pro linganisha na kina MI 11 lite 5G
Naona bado unaangaika tyu nimekwambia tafuta simu nzuri ukae kwa kutulia... ununue xiaomi note 9 uiroot,upatch magisk modules,uinstall Gcam uweke na Eu rom halafu iwe kali kuizidi xiaomi note 10 pro izo akili umezitoa wapi?Sasa kumbe unalinganisha flagship na simu za laki 4. Wewe ulitaka simu ya laki nne iizidi ya mamilioni?
Tatizo mnaishi kwa kukalili ukitaka simu yenye camera nzuri nunua simu nzuri gcam itakudanganya ww na simu yako bado kuna point itafika utabadilisha ports za madeveloper wote na bado utafail.. pixels zenyewe ni nzuri ila akikutana na miamba anakaa kwa kutulia[emoji3] sababu camera sio software tyu kumbuka hiloWew ndo unaita ujinga....ingekua mods za gcam sio deal basi kasome uzi wangu wa gcam uone feedback,alafu unachekesha mzee,gcam unasema ya nini? uliskia kuna stock app gani imekua ported kam google camera? kuna mods huwez ishi bila kua nazo..achana na mambo ya substrum themes.
Na aliekwambia ukiwa na flagship ndio umemalza kila kitu nani? Dev support iko pale pale...hakuna flagship iliyokamilika kiasi cha kusema hakuna haja ya mods na ports za devs...
Hata s21 inakula ports za gcam...sjui unataka kusema nini hapa.. Android sio Apple
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kama mods zipi? astrophotography au[emoji1787]Ndio namwambia ,yeye anajua mods zote zkitoto tu..sijui ndo alikua anashinda nazo..na uskute kutwa anasaka ports ya simu yake hajapata hadi leo [emoji1][emoji1]
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
720 ×1600 pixel??
Mediatek ni shida hata Samsung kuna baadhi ta simu wanatumia chips za mediatek ni shida tupu kama tekno.Nikionaga mediatek tu nakosa amani sijui kwanini li oppo hilo a15s!View attachment 2002078
Ulitaka ziwe ngapi ndio iwe simu nzuri720 ×1600 pixel??
Hamna kitu