Oppo simu Bhana!

Mkuu mimi ni fundi mwenzio naomba usitaje Tools tunazotumia maana kamata kamata iliyopita jamaa walinichukulia Box zaidi ya saba na Desktop yangu

Ukitaja wanaweza kupita tena wakaanza kuulizia tools tunazotumia

Muhimu wajue tu kwamba hakuna simu inayoshindikana ila wasijue vitendea kazi vinavuohusika
 
Aisee kumbe jamaa walikufanya vbaya? Pole sana mkuu...wacha tukae kimya sasa


Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tatizo huyu kijana bado hajawahi amini kua wabongo pia ni kwikwi kuna vichwa viko njema.
Wabongo kwa Modification nimewavulia kofia.

Yani mmbongo kuunda kitu from scratch ndio hawezi ila umpe kitu kilicho kamili akigeuze geuze anavyotaka hapo ndio utampenda πŸ˜… yani!
 
Ndiyo umeanza kumiliki au kuzijua smartphone bila shaka. Km sivyo usingethubutu kusema ikiibiwa inatupwa tu.

iPhone hazitupwi ni hilo kopo. Acha ushamba.
 
Ndiyo umeanza kumiliki au kuzijua smartphone bila shaka. Km sivyo usingethubutu kusema ikiibiwa inatupwa tu.

iPhone hazitupwi ni hilo kopo. Acha ushamba.
Ebu itafute oppo Kwanza afu uje hapa inaonekana tangu uzijue simu ujamiliki simu tofauti tofauti.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja , hata mm natumia Oppo a9 kiukwel cm za Oppo zipo vzr ukitoa iphone nafikir wao ndio wanafuata alafu kingne kweny upande wa charge wako vzr mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…