Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Maisha ni magumu kwa mliokuwa mmezoea wizi,utapeli,ulaghai kwa kujipatia kipato bila kufanya kazi.maisha magumu sana mtaani.natamani huyu rais hata kesho aondoke madarakani. hakuna faida tuipatayo watanzania tulio wengi kwa utawala huu...
Huwezi kusikia mtu anayepata kipato chake kihalali analalamika awamu hii kwa kuwa hakuna kilichobadilika zaidi ya kubana na kuziba mianya na matundu ya Panya kwa kutumia titanium na sio kutumia mikate kama mlivyozoea mapamya buku.
Fanya kazi upate ujira wako stahiki.