Operation ng'oa Magufuli inakuja

Operation ng'oa Magufuli inakuja

ILI MPATE UHURU WA KUFANYA UFISADI NA KUPIGA MADILI??

TUNAANDAA MKAKATI AONGOZE MDA USIOJULIKANAAAA.
MAFISADI TULIENI HUU NDO MWISHO WENUU
MAGUFULI HANG'OKI ATA KIDOGO. HADI MSHIKE ADABUUU.
MUMETUIBIA WANYONGEEE, INATOSHAAA.
KAENI PEMBENI NA TENA PISHENI KABISAAA
Mafisadi ni wapi hao?
 
umeshapata wapambe operation ng,oa magufuli sasa imeshafika mahali pale lazima ang,oke 26-april kwa amani kabisa
 
Kweli ccm ina vijana magarasa jamani, hata kujenga hoja ktk hili wanashindwa wanaongea upuuzi kwelikweli! kwa hoja hamuwezi kabisa upinzani.
 
ILI MPATE UHURU WA KUFANYA UFISADI NA KUPIGA MADILI??

TUNAANDAA MKAKATI AONGOZE MDA USIOJULIKANAAAA.
MAFISADI TULIENI HUU NDO MWISHO WENUU
MAGUFULI HANG'OKI ATA KIDOGO. HADI MSHIKE ADABUUU.
MUMETUIBIA WANYONGEEE, INATOSHAAA.
KAENI PEMBENI NA TENA PISHENI KABISAAA
Kwani walioifikisha hii Nchi hapa tulipo si hiyo ccm?
wezi wote si wako ccm?
Mikataba mibovu si nyie ccm?
Kweli wewe ni mbulula wa akili.
 
muwe mnaficha

jitahidi kuficha upumbavu wako,onyesha busara zako ,hao wanaokusupport ukipelekwa kisutu ata chai watashindwa kukuletea.Ni wengi tu hatukubaliani na utawala wa magufuli ila hatuvuki mipaka kama wewe
siasa za mitandaoni zinawaharibu sana vijana wa chadema,mimi naziita ni siasa mfu hasa ktk awamu hii ya tano
hao wanaosema Magufuli abaki wanatofauti gani na sisi tunaosema Lowassa 2020?

Akili za wapi hiziz?
 
MK
hot_girl_on_fire-wallpaper-1600x1200.jpg
Gfp-red-hot-fire.jpg
 
Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Shida hawa akina dada wameverugwa sana enzi hizi vile vya bure walivyokuwa wanavipata havipo sasa mtu kama huyu kweli ni wa kumsikiliza,huyu si sawa na yule sijui Kimamvi wa Marekani,yule dada mlevi Shyrose ,Maria na wengine wengi wanaojifanya wanajitambua kumbe wana stress za kukosa wanaume wa kuwaoa na ukiangalia wote hawa walikuwa ni akina dada wa mujini ,siku hizi wamekosa hata wa kuwapigia simu na kusema ''mornin' honey''
 
ILI MPATE UHURU WA KUFANYA UFISADI NA KUPIGA MADILI??

TUNAANDAA MKAKATI AONGOZE MDA USIOJULIKANAAAA.
MAFISADI TULIENI HUU NDO MWISHO WENUU
MAGUFULI HANG'OKI ATA KIDOGO. HADI MSHIKE ADABUUU.
MUMETUIBIA WANYONGEEE, INATOSHAAA.
KAENI PEMBENI NA TENA PISHENI KABISAAA
Kadanganye wajinga, ufisadi upi wakati watoa rushwa na wauaji wanapewa vyeo? Upuuzi mtupu. Dc Arumeru alipokuwa anahonga madiwani wa upinzani ile ilikuwa kazi takatifu siyo? Acheni kuwadanganya watanzania.
 
Back
Top Bottom