POLE XANA NDUGU YANGU. INAWEZEKANA UFUKUZWA KAZI KWA KUKUTWA UNACHETI CHA DARASA LA SABA.
ILA KWA TAARIFA YAKO MAGUFULI HATOKI MPAKA MAFISADI WOTE MNYOOOKEE.
HUKO KWA KWENYE CHAMA CHENU MUMEBAKIA WAKUMBATIA MAFISADI NA WALA RUSHWAAA. SISI HUKU MAFISADI NI MWIKOOOO.
KAENI KUWATETEA TU HAO MAFISADI. ILA MWISHO WAO UMEFIKAAA.
TUNAE JPM MUNGU KATUSHUSHIA TULIA TU MAENDELEO NDO HABARI YA MJINI.
MAJUNGU NA MATAMKO HEWA PELEKA KWENYE LICHAMA LAKO.
Mkuu;
Katika ma GT nawe umo atii. Hivi nikuulize, hii serekali yetu ndiyo dhaifu kuliko zote duniani au?? Hivi, yawezekanaje, Serekali iunde mahakama ya kuwasulubu Mafisadi, serekali ina dola, serekali iseme haitamuacha salama hata fisadi mmoja tu, halafu ishindwe kumkamata fisadi anayekimbilia kujificha CDM?? Hii inaingiaje akilini?? CDM imekuwa ndiyo inawapa kinga kukamatwa?? Huenda kuna kitu tunafichwa au tunakijua ila tunafichana hapo. Halafu, hao wote wanatoka huko huko kwenye chama chetu. Naogopa kukupongeza. Fikiri kwanza