Je AKIANZISHA OPERESHENI YA KUMFANYA MAGUFULI AWE RAIS WA MILELE utamweka kwenye kundi gani? mbavu zangu.............😉😉😵Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Huo sasa ni UHAINI,subiri kibano maana unatafuta kiki za kijinga...!!!Kuna kampeni imeanza,inaitwa "MAGUFULI BAKI"
Hii inalenga kuwaaminisha watanzania kwamba hakuna mtu mwingine wakuiongoza Tanzania milele Magufuli.
Na kampeni hii inaonekana haivunji sheria yoyote ya nchi.
Wakitokea watu tofauti kuipinga hiyo kampeni wataonekana wanavunja sheria na wengi wataozea ndani.
HII TANZANIA HII
watu wanaamini kila linalotokea ni mpango wa Mungu.
Hawajui kwamba mengi yanayotokea ni yale tunayopanga na kuamua wenyewe kwa utashi tuliopewa.
MIMI NAANZISHA OPERATION NG'OA MAGUFULI TUONE KAMA KUNA SHERIA NIMEVUNJA
By mjinga mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe huyu binti ndoa imemshinda mkuu!?Kama wewe Rose ndoa inekushinda, utaweza kumuondoa Rais Magufuli madarakani? Tehetehetehe. Kick zingine bana!
POLE XANA NDUGU YANGU. INAWEZEKANA UFUKUZWA KAZI KWA KUKUTWA UNACHETI CHA DARASA LA SABA.
ILA KWA TAARIFA YAKO MAGUFULI HATOKI MPAKA MAFISADI WOTE MNYOOOKEE.
HUKO KWA KWENYE CHAMA CHENU MUMEBAKIA WAKUMBATIA MAFISADI NA WALA RUSHWAAA. SISI HUKU MAFISADI NI MWIKOOOO.
KAENI KUWATETEA TU HAO MAFISADI. ILA MWISHO WAO UMEFIKAAA.
TUNAE JPM MUNGU KATUSHUSHIA TULIA TU MAENDELEO NDO HABARI YA MJINI.
MAJUNGU NA MATAMKO HEWA PELEKA KWENYE LICHAMA LAKO.
Vyombo vya dola vimkamate huyu mtu haraka analeta uchochezi
Nakuapia waliomchagua in 20%Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Sisi wasukuma ndo tuko karibu milioni 8 naturaly tu kwa kura zote hizo inapaswa tutawale milele
FOR LIFE AKIFANYA NINI?? HIVI ANAVYOHARIBU??Mtang'oka nyie mtamuacha Magufuli for life madarakani
Na kumshawishi abaki na kukiuka masharti ya katiba ni kosa gani inakuwa?Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Kwenda kule wewe! unamtisha mtu kwa kuweka mawazo yake hadharani? tena mtu verified user? nyie mnaokuja na kuleta mawazo ya kuvunja katiba kwa nini ndio msiitwe wahaini? maana kumuweka kiongozi zaidi ya muda uliowekwa kikatiba ndio makosa lakini kumuondoa kwa kufuata utaratibu sio makosa. Ndio maana hata bungeni kuna kipengele kinachosema wabunge wanaweza kuanzisha motion ya kutokuwa na imani na Rais na akaondolewa madarakani na kurudi Chato kulima ulezi.Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Aje awatawale tu uko chato....huku kwingine tutamtafuta rais wetuSisi wasukuma ndo tuko karibu milioni 8 naturaly tu kwa kura zote hizo inapaswa tutawale milele
Nani asiyeisoma. Kila mtu anaisoma tena bora yao wanaolia hadhani kuliko wewe unayelilia ndani subiria siku ya kupasuka tu ndio utaujua. Mapenzi mabaya sana.Kuna mdau alianzisha uzi wa maneno hayo tayari...
Hamna jipya ni mnaisoma namba tu