Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Diversified investment is not the problem here,is it efficient? Will that additional project(kiwira) on that portfolio increase the value of nssf for the benefits of contributors including(may be) you?

Why not? Have you, any figures? Or rather study, research on the matter? To dismiss it?

If not, just stay put and let them do their job.
 
Kujua uko sahihi haiitaji unyenyekevu wa uongo. My position is better that part I know so I will not cover myself under the pretense of false humility. Are you ok?
Big hommie!...you are entitled to your own opinion,BUT you are not entitled to your own facts!
The govt need to heavily invest in TANESCO,just to attract investment at least in distribution...and stay out of NSSF for a min.The govt is nothing but a big a*s bureaucracy,DO NOT ENCOURAGE TRANSFER OF KIWIRA TO TANESCO!!
 
EPA mmewabania, TANESCO nako mmebana, NSSF is their last resort. Mwisho wa siku mtaambiwa aliyeshinda hiyo tender ya kununua hizo power plants za NSSF ni dowans. Kwa nini wanachama wasiwezeshwe kuwa na sauti kwenye akiba yao? Hata kukopeshwa hawaruhusiwi.
 
Labda nadhani miaka hii yote hujanielewa vizuri. Ya Mjomba wa Mkapa (Erio) ninayajua kwa kiasi ambacho kitakushangaza. Lakini nitakuwa si mpambanaji mzuri kama nitapigana bila mikakati. Sihitaji hata kidogo kumthibitishia mtu suala la "dini" haliko katika fikra zangu maana nikikubali kuangalia la Dr. Dau kwa mwanga wa udini (kama wewe na wengine mnavyoamini) itabidi mnieleze vipi niliwang'ang'ania:

Robert Mboma
Ben Mkapa
Ed Lowassa
Peter Msolla
Peter Noni
John Magufuli
Gov. Ndulu

Na wengine? Au hawa wote nao ni Waislamu na hivyo niliwang'ang'ania kwa sababu ya dini zao? Kwa mfano nikianza (na linakuja) suala la PPF ina maana niliachilie la NSSF au linafanya hoja dhidi ya NSSF/Kiwira ambazo nimezitoa hazina nguvu? Leo ukisikia naanza kuchambua ufisadi wa PPF utaridhika kwamba "mwanakijjiji kweli haangalii udini"? Unajuaje? Nadhani mna kazi nyinyi ambao mnapomuangalia Dau mnamuangalia kama "muislamu kwanza" halafu mko tayari kutokutaka awajibike yeye mwenyewe na wenzake kwa sababu ni sehemu ya Umma wa Waislamu.

Dhana hii ni ya hatari sana kwa uongozi wa taifa letu. Maana itabidi tujiulize kama wale wanaotaka NSSF ipewe Kiwira nao wanafanya hivyo kwa sababu ya udini hasa kama dini zao zinafanana na ya Dr. Dau, sivyo?

Siasa tu hizi na mie niliwahi kukuuliza swali lipi bora NSSF kuwekeza katika development projects kwa ajili ya maendeleo ya jamii au wale wanaotuhumiwa kuchukua pesa mifukoni mwao? Binafsi sijakutuhumu wewe ni mdini ila nadhani mada zako zengine zimetawaliwa na dhana ya udini hasa katika hili la NSSF kwani unashindwa kubainisha faida na hasara za NSSF kuwekeza katika hizi investment. Unachokileta hapa jamvini ni risks exposure kwa pension funds kuwekeza too much katika hizi projects. Unasahau vitu vifuatavyo katika mijadala yako:-
a. Risk exposure hiyo unayozungumzia with respect to kitu gani (liabilities, assets or default ).
b. Unazungumzia systemic risk ya pension katika uchumi (kuna kipindi ulileta articles fulani) but huwezi kuzungumzia systemic risk bila kwanza kuzungumzia mustakabali wa pension funds nchi nzima ukoje na je ukicollapse impact yake ikoje.
c. Umezungumzia miradi mbali na ukubwa wake ila umesahau NSSF wanaregulation zinazofuatwa ni vema kwanza ungelitupatia ni kwa kiwango gani wamevunja sheria, ukubwa wao miradi na kama hiyo miradi wamepewa kiupendeleo.

Na mengineyo mengi ila unaacha mambo ya msingi kama PPF ambazo ufisadi unaua mfuko pasina mtu kulikemea. Unakuwa hoja yako haina mshiko mkuu zaidi ya kuna lako nyuma ya pazia unalitafuta au kuliwakilisha.
 
POOR THINKING POOR ARGUMENT POOR DECISION AND your poor quetions and your comment poor too. PL- CRITICAL THINKING AND ARGUMENTATION- Ulipata F?
And where is your argument? full and mellow in tone, may it be political, economical, social or rather pious? seems none had a chance to perceive it to acknowledge your true value, other than the reek spewed from your dumdum simpleton you call a brain.
 
Unachokileta hapa jamvini ni risks exposure kwa pension funds kuwekeza too much katika hizi projects. Unasahau vitu vifuatavyo katika mijadala yako:-
a. Risk exposure hiyo unayozungumzia with respect to kitu gani (liabilities, assets or default ).
b. Unazungumzia systemic risk ya pension katika uchumi (kuna kipindi ulileta articles fulani) but huwezi kuzungumzia systemic risk bila kwanza kuzungumzia mustakabali wa pension funds nchi nzima ukoje na je ukicollapse impact yake ikoje.
c. Umezungumzia miradi mbali na ukubwa wake ila umesahau NSSF wanaregulation zinazofuatwa ni vema kwanza ungelitupatia ni kwa kiwango gani wamevunja sheria, ukubwa wao miradi na kama hiyo miradi wamepewa kiupendeleo.
And,I think NSSF is being audted by Audit General's office,but I don't mind an independent audit.
Having said that,don't you think the same should be done to TANESCO?...and STAMICO?...and NDC?,for a social security fund NSSF doesnt have that many investments,those are just petty investments!
My point is,I would really hate to see TANESCO take over Kiwira,and suprised to see Mtei's party that was established on the basis of MArket economy,turned out to be the biggest proponent of nationalization of previously failed parastatals! PLEASE KEEP THE GOVERNMENT OUT OF THESE PROJECTS!
 
Kwa taarifa yako sikutaka kulisema hili nadhani hoja za MMwanakijiji zimetawaliwa zaidi na udini kuliko mantiki alipinge hilo kama anaweza.

Mdongoaji wewe umesema hapo: Nakupa ChANGAMOTO HII:

1. Tafuta mahali popote katika maandishi yangu kuhusu NSSF au katika hoja nilizoandika mahali popote ambapo panaweza kuashiria nimeshambulia dini ya Dr. Dau au hata kusema kuwa NSSF isipewe kwa sababu inaongozwa na udini?

2. Tafuta mahali popote katika maandishi yangu kuhusiana na NSSF au Dr. Dau ambapo nimewahi kudai kuwa yeye ni fisadi au hata mahali ambapo panaweza kuashiria kuwa nimeashiria hivyo.

3. Tafuta mahali popote ambapo nimegusia suala lolote la kitaifa kwa mtu yeyote aidha katika kuunga mkono au kulipinga ambapo nilitumia kigezo cha dini yangu au ya mhusika na kufanya ndio msingi wa hoja yangu aidha ya kumuunga mkono au kumpinga.

Ukipata lolote kati ya hayo kauli yako hapo juu itakuwa ni ya ukweli vinginevyo ukikosa inabidi uje na kuifuta kauli hiyo.
 
Siasa tu hizi na mie niliwahi kukuuliza swali lipi bora NSSF kuwekeza katika development projects kwa ajili ya maendeleo ya jamii au wale wanaotuhumiwa kuchukua pesa mifukoni mwao?

Nilikujibu wakati ule kuwa unatengeneza a fallacy of false dilemma, kwamba uchaguzi ulikuwa ni wa aina mbili tu. Nadhani hukunielewa naweza kurudia kwa kina juu ya fallacy hiyo.

Binafsi sijakutuhumu wewe ni mdini ila nadhani mada zako zengine zimetawaliwa na dhana ya udini hasa katika hili la NSSF kwani unashindwa kubainisha faida na hasara za NSSF kuwekeza katika hizi investment.

Nimeonesha hapo juu kuwa ndio umenituhumu bila ushahidi wowote hata wa kimazingira. Unless mtu mwingine aliingia na kutumia jina lako. Na kauli yako ambapo unapinga hujanituhumu umeisindikiza na tuhuma nyingine.

Unachokileta hapa jamvini ni risks exposure kwa pension funds kuwekeza too much katika hizi projects. Unasahau vitu vifuatavyo katika mijadala yako:-
a. Risk exposure hiyo unayozungumzia with respect to kitu gani (liabilities, assets or default ).
b. Unazungumzia systemic risk ya pension katika uchumi (kuna kipindi ulileta articles fulani) but huwezi kuzungumzia systemic risk bila kwanza kuzungumzia mustakabali wa pension funds nchi nzima ukoje na je ukicollapse impact yake ikoje.

Hapana.. wala haihusiani na hilo peke yake bali na mfumo mzima wa kisheria - labda ufuatilie mfululizo mzima wa makala zangu juu ya NSSF ambapo nilichambua mambo mbalimbali ya kwanini NSSF ilivyo sasa isipewe Kiwira. It is not all about the risk exposure.. it is about the system!

c. Umezungumzia miradi mbali na ukubwa wake ila umesahau NSSF wanaregulation zinazofuatwa ni vema kwanza ungelitupatia ni kwa kiwango gani wamevunja sheria, ukubwa wao miradi na kama hiyo miradi wamepewa kiupendeleo.

TAfuta ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya 2007/2008 na ya 2008/2009 itakupa mwanga kidogo.

Na mengineyo mengi ila unaacha mambo ya msingi kama PPF ambazo ufisadi unaua mfuko pasina mtu kulikemea. Unakuwa hoja yako haina mshiko mkuu zaidi ya kuna lako nyuma ya pazia unalitafuta au kuliwakilisha.

kwani lazima miye nizungumzie kila ufisadi wa kila taasisi Tanzania? Kwanini wewe usifanye hilo au mtu mwingine? Itakuwaje mtu mwingine wa PPF naye akaja (nikifanya hivyo) na kudai kuwa kwanini Mwanakijiji haangalii ufisadi wa Wizara ya Afya; na nikifuatilia la Afya mwingine wa afya akaja juu na kusema "mbona ameacha ufisadi wa DAWASA". Mtu mmoja kasema "mwanakijiji si Mungu".. haiitaji kufikiria sana kukubali na hilo. Sina uwezo wa kufuatilia kila kitu, kumfurahisha kila mtu wakati wote. Ninachangia kidogo ninachoweza na wengine nao wachangie wanachoweza. Kwanini wewe badala ya kutetea NSSF (waache wenyewe wajitetee) usiende kufuatilia na kufunua la PPF? Kinakushinda nini ambacho unafikiri mimi nina uwezo nacho?
 
Naskia kwamba NSSF wana mpango wa kuzalisha umeme kwa kutumia makaa ya mawe huko kiwira Ileje Mkoani Mbeya. kinachonishangaza ni kwamba wamepata wapi expertise na uzoefu wa kufua umeme.
Ingeweza kueleweka kama NSSF wangeweka wazi kama wana strategic investor mwenye uzoefu na expertise ya kufua umeme.
 
Wana mtaalamu mshauri juu ya generation...however..I would be hasty in gas generation when TPDC is yet to confirm availability, there is supressed capacity in gas fired plants already unless they get tht assurance ...n fast!
 
System?...what do you mean its about the system? Plz Mwanakijiji if you can shortly explain to us who dont see the problem with the existing Social Security System.And if you can come up with an idea on how kiwira can better be revived for power generation.
Why don't you give us solutions?
Too many complaints!....thats so 90s!!
 
Big hommie!...you are entitled to your own opinion,BUT you are not entitled to your own facts!
The govt need to heavily invest in TANESCO,just to attract investment at least in distribution...and stay out of NSSF for a min.The govt is nothing but a big a*s bureaucracy,DO NOT ENCOURAGE TRANSFER OF KIWIRA TO TANESCO!!

Why not ? TANESCO is wholly owned by GoT and indeed by having TANESCO generate through Kiwira even tarrif will be down, think of capacity charge and cost of production tht will be computed to u mwananchi should it run thru IPP (independent power producer )even by the recent rentals TANESC0 might ask for tarrif change,,,,,
 
I am not saying is a bad idea for NSSF to generate 300MW. What buffles me is that when you make a decision to give Kiwila Coal Mine to NSSF what could be the evidence that they are capable of producing power?. It sounds NSSF are hiding something especially on the person behind the project. Huwezi kuwapa mradi wa kiwila ili wajifunzie uzoefu na itakuwa ni makosa kisheria.
 
System?...what do you mean its about the system? Plz Mwanakijiji if you can shortly explain to us who dont see the problem with the existing Social Security System.And if you can come up with an idea on how kiwira can better be revived for power generation.
Why don't you give us solutions?
Too many complaints!....thats so 90s!!

Kobello.. inaonekana hujasoma unadandia treni kwa mbele tu:

a. Rudisha Kiwira serikalini - bila kuwalipa kina Mkapa; ikiwa ni pamoja na kuwafikisha mahakamani kina Mkapa na Yona kwa uvunjaji wa sheria ya Maadili ya Viongozi.

Option ya kwanza:
b. Tanesco wapewe uwezo wa kuendesha, serikali ilipe madeni ya Kiwira (likiwemo la NSSF na mengine)
c. Tanesco ipate mwekezaji wa kimkakati (ambaye ni China - wapo tayari na fedha zipo dola milioni 400).
d. Umeme utakaozalishwa hakutakuwa na capacity charge wala nini kwani ni mgodi wa Tanesco.. kutakuwa na malipo ya management n.k kwenda kwa Wachina.
e. Kiwira itakuwa ni mali ya Tanesco kama ilivyo Kidatu, Hale, n.k

Option ya Pili:
b. Tanesco/Stamico wanaunda kampuni ya holding yenye hisa za wananchi na mashirika hayo na za serikali - say 50/49/1
c. Shirika hilo litasimamia miradi yote ya serikali ya umeme na uzalishaji wake na kutoa gawio kwenye faida
d. Kiwira itakuwa bado ni mali ya serikali na vile vile suala la capacity charges na mambo mengine yataangaliwa kimkataba mzuri.
e. CAG apitie mahesabu na portfolio ya makampuni hayo kuona kama yako katika mazingira ya kuweza kupewa mgodi huo
x,y

Option ya tatu
b. NSSF ifanyiwe mabadiliko ya kisheria kwanza - kuweka suala la uwekezaji wake chini ya Panel of Investment kama wanavyofanya Malaysia na sehemu nyingine
c. Iunde kampuni tanzu ya Holding ambayo itasimamia uwekezaji wake wote - kampuni iwe ya hisa za kwanza za wanachama na katika mfumo wa matching shares.
d. Shirika hilo la uwekezaji la NSSF - nje ya uongozi wa NSSF ndio itawajibika na kusimamia miradi yote ya uwekezaji ya NSSF na kusimamia ugawaji wa faida - huku wanufaika wa faida kwanza kabisa wawe ni wanachama wa shirika hilo na wanahisa wake. Litasimamia kukusanya madeni yote kwa kiwango chote kinachowezekana kisheria.
e. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali apitie mahesabu ya uwekezaji mzima wa NSSF hadi hivi sasa kuona kama kuingia kwenye uwekezaji wa Kiwira kuna faida - hasa ukizingatia maneno ya Rais Kikwete leo kwenye hotuba ya kuzindua Bodi ya Usimamizi wa Mifuko ya Pensheni

Option ya nne:
b. Serikali ibakie na umiliki wa Kiwira
c. Itangazwe tenda ya uendeshaji wa Kiwira kwa mkataba mzuri na NSSF na taasisi nyingine ndani na nje wagombanie
d. Mshindi katika uendeshaji apatikane kwa mkataba mzuri na mnono utakaopitiwa na POAC na Mdhibiti Mkuu (or whatever have you)
e. Uwe ni mkataba ambao unakuwa ni reviewable katika kila kipindi fulani ukiwa na measured goals.
f. CAG apitie hesabu za kampuni yoyote ya umma itakayotaka kuingia kwenye mradi huu.


Chagua mojayahapo.. na ninaweza kuendelea na options nyingine nyingi na bila ya shaka watu wengine wanaweza hata kumodify hizo ooptions kuwa zifae zaidi.
 
Why not ? TANESCO is wholly owned by GoT and indeed by having TANESCO generate through Kiwira even tarrif will be down, think of capacity charge and cost of production tht will be computed to u mwananchi should it run thru IPP (independent power producer )even by the recent rentals TANESC0 might ask for tarrif change,,,,,
I know TANESCO is owned by the govt,thats why it's been bankrupt...or to be conservative,running on negative returns.
TANESCO failed to run on Hydroelectricity!!,failed to run a profitable power supply chain amid huge subsidies from the government,failed to invest in coal,gas,wind,solar and other renewable sources.
TANESCO failed to pressure the government on investing in protection of our water sources leading to power rationing and heavy dependenceY on non renewable sources coupled by lousy/bogus contracts with IPPs.
TANESCO failed to maintain its infrastructure,something that few people talk about.The infrastructure is obsolete and needs overhaul!
TANESCO failed to collect debts from you know who.
Honestly,TANESCO is bogus! and I blame the government on this.But,it can be revived through investment in its infrastracture,that will attract private partnership in transmission and distribution.
Till that is done my sister,TANESCO should never be allowed wananchi's moneys to play with!...they should be included in the Ngeleja's ministry's budget as a parastatal that needs heavy investment starting next budget year....i mean,HEAVY!
 
Mzee Mwanakijiji,
Nadandia treni kwa mbele?...plz man,that was a low blow!
But anywayz,option ya tatu,is that what you meant by a broken system?You seem to doubt NSSF competence on this may be because it's not made up of geologists and electrical engineers,or at least you doubt their financial capability.
I don't realy see why are you so negative when it comes to NSSF investing in power generation,apart from your paranoia over corruption(which here is a constant,since all those other options are susceptible to it).
Your solutions are the solutions lying at ngeleja's desk right now with the exception of AGs involvement and formation of those lousy holdings.
Let's look at these things from the financier's point of view,are you really gonna mess with TANESCO,as a private/independent banker?..NO
Are you going to mess with GOT?...no,they had it and failed.And,if the government wanted kiwira,they could have it...just pay NSSF their money.
And,just as a hint...President Hu Juntao is kinda reluctant with his 400m$,and the
Hunan's deal is kind crappy too,and it's mainly focused on coal production.
I THOUGHT YOU HAD SOME REAL ISH!....But nah,you are just an independent corruption watchdog blogger who loves his country and I commend you for that.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom