Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Au kuna jambo ambalo hatulijui?

kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF

haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili

Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?

this is the best of your thinking and reasoning!!! ulitaka mwanakijiji ashambulie NSSF, PPF, LAPF kwa mkupuo??? maskini tanganyika yangu!! watu wako ndio wanaokuua kwa sababu mkristo asisemee udhaifu wa kiongozi muislam and vice-versa!!!
 
Sasa tumeanza kumtegemea Mwanakijiji too much! hatujifunzi tu walivyotutenda wakina, Mtikila, Mrema, Lipumba na huyu Kijana. Hili zigo letu wote mwenzio akienda huku wewe unaenda huko, tukija kutana ngoma inogile!
 
Tutamtegea mtu kutokana na umakini wake na akipoteza umakini nasi tunampotezea kama mifano yako ya watu ulioitoa.
 
Mambo haya huwa yananikumbusha bwana mmoja anaitwa Dr Ali S Mcharazo, Director General wa Tanzania Library Services. Kwa jina lake unaweza fikiri ni muislamu kumbe wapi!

Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
 
Mambo haya huwa yananikumbusha bwana mmoja anaitwa Dr Ali S Mcharazo, Director General wa Tanzania Library Services. Kwa jina lake unaweza fikiri ni muislamu kumbe wapi!
Dr Dau ni muislamu swafii kwa maneno ya mjini na ni sala tano kila mtu anafahamu hilo je what is your point?
 
Au kuna jambo ambalo hatulijui?

kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF

haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili

Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?

Hapo kwenye red kunaonesha jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri.... nilidhani na wewe ungechambua mapungufu ya uwekezaji ya mifuko mingine kama MM alivofanya kwa NSSF badala ya kuja na lawama na conclusion zinazoonesha ufinyu wako wa kufikiri!!! Mbona PSPF inawekeza lakini hakuna hata siku moja imekuja mada ya kuihusu, tusiwe wazembe wa kufikiri!!!
 
Dr Dau ni muislamu swafii kwa maneno ya mjini na ni sala tano kila mtu anafahamu hilo je what is your point?

Kwa wewe unayemjua ni sawa ila kwa siye tunaosoma au kusikia jina tu sio rahisi kuhusianisha jina na dini ya mtu kwa uhakika. Na William nae vipi? Unauhakika na dini yake?

My point ni kuwa tumezidi mno kuangalia mambo kutokea kwenye perspective ya kidini/udini!

Kwenye red hapo, 'kila mtu' una maana gani?
 
Labda wewe huishi Tanzania kwa sie tunaoishi jiji hili la joto tunamfahamu sana Dr Dau na kama ushawahi kusali msikiti wa maamur ni mmoja ya watu wanaokuja kusali pale na msikiti mwengine wa katikati mjini jina limenitoka.

Ila SMU you are absolutely right uislamu sio jina bali imani. Swali linaaendeelea what is your point? Mwanakijiji kila kukipambazuka anatubandikia nakala za NSSF na kuwatuhumu mafisadi wakati mafisadi wa kweli wapo kule PPF hawagusi. Sasa huu ni msimamo gani kisomi? Au ndio ule msemo kunya anye kuku akinya bata kahara??? Sipendelei kuwataja majina yao hawa wakuu wa mifuko yetu ila ndio tuseme Dr Dau Bata na kuku ni William Erio??
 
Au kuna jambo ambalo hatulijui?

kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF

haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili

Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?

Mkuu una hoja ya msingi lakini hukua na sababu ya kuzungumzia dini ya dau na erio

sikiliza nikwambie, kuna watu hawalali wanaitafakari PPF na nina imani serikali inaona maovu ya Erio, na vitisho kwa wafanyakazi wake

nadhani MMM anachoksoa ni taarifa au feedback on PPF, wchi me and you can provide kama tunaweza
 
MMM sio Mungu kusema awe na detail za kila mahali. Ukiona upuuzi mahali hebu uanike mwenyewe sio usubiri MMM auone ndio auseme
 
Nadhani athari za NSSF (Umeme Kiwira) zitamua-affect kila MTZ kwenye gharama za umeme ambayo ni input kwenye viwanda, bali za PPF loosers ni wanachama wake kwa kutopewa mafao bora zaidi. Mtazamo wake ni mpana zaidi. My two cents..
 
Au kuna jambo ambalo hatulijui?

kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF

haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili

Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?

Hana lolote huyo zaidi ya kusukumwa na UDINI tu

Hivi ndo mahali tulipofika hapa? Matatizo yote tuliyonayo tanzania, taifa likigaagaa kwenye dimbwi la umaskini, akina mama wajawazito wakufa njiani kablaa ya kufika hospitali kwa sababu ya miundombinu mibovu, wazee wanakufa upesi kwa kukosa tiba, watu wanaishi kwa mlo mmoja kwa siku, watu wanaishi kwenye makazi duni mithili ya wanyama wa kufugwa (juzi mama mjamzito katumbukia kwenye choo kibovu na akiwa anaoga na kupoteza maisha)......on and on...and on....
Halafu kuna watu wazima na akili zao, tena wamesomeshwa kwa vikodi vya wanachi hao hao wenye dhiki, wanazungumzia UDINI?.....Yaani UDINI?....Hivi umaskini unabagua dini?...hivi maradhi yanabagua dini?...hivi ujinga unabagua kichwa cha muislamu ,mkristo au mpagani?..Mbona tupo hivi sisi miswahili?! Hii ni LAANA au kitu gani?
MODS; Kwanini tusiweke regulation kwamba mada au post yeyote yenye udini tunaifutilia mbali? Au member wanaoonekana kuendeshwa sana na hii laana wale ban tuu wasije ku-contaminate wengine?
AAAAAAGRRRRR....Inakeraa!
 
....Mwanakijiji kila kukipambazuka anatubandikia nakala za NSSF na kuwatuhumu mafisadi wakati mafisadi wa kweli wapo kule PPF hawagusi. Sasa huu ni msimamo gani kisomi? Au ndio ule msemo kunya anye kuku akinya bata kahara??? Sipendelei kuwataja majina yao hawa wakuu wa mifuko yetu ila ndio tuseme Dr Dau Bata na kuku ni William Erio??

Inawezekana pengine anauwezo wa kupata taarifa nyingi zaidi (za kifisadi) za NSSF kuliko zile za PPF (or PSPF, GEPF, LAPF etc) lakini hili halitakuwa na maana kuwa huko hakuna ufisadi. Kama kuna ufisadi NSSF au kwengineko ni lazima ufunuliwe bila kuangalia kiongozi wake ni wa imani gani.

Tusije tukafika mahala tunashindwa kuwawajibisha viongozi tuliowachagua/tuliowapa dhamana kwa kuogopa eti watu wa dini yake watadhani ni kwa sababu ya dini yake. Tunayaona haya yanaaza kujitokeza sana katika siku za karibuni. Watawala kwa ujanja ujanja wanajaribu kujibanza kwenye kivuli cha udini. Tanzania ni yetu sote.
 
Huyo mwanakijiji sisi tulishamstukia zamani hoja zake. Na mwenyewe anajijuwa kuwa ni fataani.
 
MWANAMJINI,

Acha biashara ya UDINI.

Mwanakijiji anasuburi nimkabidhi madudu ya PPF kwa maandishi na nyaraka sio kwamba hajasikia ya PPF. Kwa sasa hana data in full. Atatoa mara akizifanyia kazi, hawezi kukurupuka kwa sababu tu wewe unataka. Wengi wetu tunatumia majina ya kujificha na hatufahamiki, lakini Mwanakijiji ana fahamika hivyo kila anachoandika lazima kiwe na ushahidi kamili. Keep it up MM.

Nakuandalia nondo za PPF ili watanzania waone inavyofanywa shamba la BIBI

Au kuna jambo ambalo hatulijui?

kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF

haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili

Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
 
Dr Dau ni muislamu swafii kwa maneno ya mjini na ni sala tano kila mtu anafahamu hilo je what is your point?
awe muislamu swafi au chafu we dont care, lakini hela zetu za michango ziwe salama. unaleta ya uislam safi hukumbuki Alhaji Mintanga aliwasakizia mabondia madawa ya kulevya mpaka sasa yuko lupango
 
Back
Top Bottom