Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Wakuu kuna jamaa aliomba accounts za NSSF for the last 3/5 years, nimejaribu kwa siku kadhaa website yao inagoma mwenye kuweza kutuletea details please.
 
Of course lazima NSSF isimamiwe na kuna vyombo vinawasimamia, je SSRA wameshasema kitu, BOT wameshasema kitu? Sasa mnapiga kelele za nini JF pipili ya shamba inawawashia nini nyie?

Vile vile nachoshangaa pia wachangiaji wengi wameshawatuhumu NSSF mafisadi wakati hakuna hata mmoja wenu ambaye na vithibitisho juu ya hilo kama sio chuki nini hizo? Na JK ameingia wapi hapo mkuu.

Inabidi udai hivyo vithibitisho kutoka kwa wachangiaji waliowatuhumu NSSF mafisadi. Kutuhumu atuhumu mwingine halafu mwingine ndio adaiwe ushahidi? Nimekuuliza huko nyuma ni wapi mimi nimewahi hata kudi kuwa Dr. Dau ni fisadi? umeshindwa kujibu! Nimekuuliza ni wapi nimewahi kudai kuwa Dr. Dau ni mdini? hauna hata sentensi ya kusingizia. Lakini umejiaminisha kuwa ninazungumza haya kwa sababu ya udini. It makes absolutely no sense.
 
Of course lazima NSSF isimamiwe na kuna vyombo vinawasimamia, je SSRA wameshasema kitu, BOT wameshasema kitu? Sasa mnapiga kelele za nini JF pipili ya shamba inawawashia nini nyie?

Vile vile nachoshangaa pia wachangiaji wengi wameshawatuhumu NSSF mafisadi wakati hakuna hata mmoja wenu ambaye na vithibitisho juu ya hilo kama sio chuki nini hizo? Na JK ameingia wapi hapo mkuu.

Mkuu usimamizi wa SSRA unaingia mambo yakishakuwa yameborongeka kama sikosei .... ... hao ni regulator au sio? Sasa kazi yao sio kupanga projects and then why now hawa NSSR wanaibuka Je walihusika vipi katika projects zilizotangulia za NSSF? Pili labda nikukumbushe kuna issue ya Daraja la kigamboni natumaini umeona TIC wanawapigia kelele, vile vile kuna swala la watoto waliokufa Tabora ambapo NSSF walihusika na vifo vile kwenye one of their Investment. Bila kusahau jinsi NSSF kwa kushirikiana na Manji kwenye biashara za kitapeli natumaini hilo unalifahamu. Sasa basi katika mazingira kama hayo kwa nini sisi watu wazima na akili zetu timamu tuwakubalie kwenye mradi huu wa umeme wakati mosi tunafahamu hawana uwezo, wamekwisha kushindwa sehemu nyingine. Ooops nimesahau walikuwa na issue nyingine ya kujenga kule Nairobi etc.

Sasa hawa ambao wanashindwa hata kuweka website yao Live kweli tunawahitaji kwenye swala la nishati? Labda utusaidie tuone accounts zao kwa kipindi cha miaka mitano ... ... ... .... ili wachangiaji wa NSSF na walipa kodi wa Tanzania wajiridhishe kama wewe.
 
Guys

Naomba bora tuliangalie hili suala kwa marefu na Mapana maybe for once tungeacha ushabiki na kuwa walau objective kwenye kujibu au kuchangia hii mada. One would have thought kuwa kijireserach kidogo na hasa from someone who post ina forum that prides it members as GREAT THINKERS angeweza kuliangalia hili kwaupana zaidi. Issues za kutazama hapa ni zi fuatazo:

-Current state ya Umeme Tanzania

-Makosa yaliyofanyika wakati wa liberalisation ya sekta ya Umeme

-Role ya NSSF kwenye hili itakuwa ni ipi?

-Je NSSF wanaruhusiwa na stakeholders wao kuingia kwenye hii biashara yak u generate umeme?

-Je kuna faida yoyote itapatikana kwenda NSSF?

-Je wenzetu wan je wanafanya vipi?

Sasa majibu ya hapa yanaweza yakatoa mwanga walau kiasi mkaelewa why I support hawa jamaa kufanya mambo kama haya.
Umeme Tanzania:

Tanzania mwenye jukumu la generate, transmit and distribution ya umeme zamani ilikuwa exclusively TANESCO ambayo kama mjuavyo ni shirika la umma kwa asilimia 100 na wako responsible kupply asilimia 98 ya umeme Tanzania
Statistics zinasema hivi:

- Megawati 381 za umeme ambao tunatumia sasa hivi unatokana na vyanzo vya maji

-Tanzania tuna uwezo wa kuzalisha mpaka Megawatt 5,000 ya umeme

- Per capita electricity consumption yetu ni 46/KWh per annum, ambayo inakuwa kwa asilimia 11-13 au zaidi

Hiyo ni moja kati ya sababu serikali inataka sana secta binafsi ziingie kwenye haya mambo ya kugenerate umeme. Mind you nchi ina watu milioni 40 na ni LESS THAN 10 % wako connected kwenye umeme. Serikali yetu pamoja na madudu mengi yanayotokea huwa ni competent kwa kujua matatizo ila tatizo huwa ni kwenye namna na njia ya kuyatatua hayo matatizo.

Ndio maana kama mnakumbuka miaka ya 90's waliamua kulegeza masharti na kufanya reform kwenye hii sekta ya nishati na kuruhusu wazalishaji binafsi na hapo ndipo walipoingia the Songas na IPTL kwa nia ya kupunguza shedding, Of course it was not without controversy za akina RUGEMALILA (the same dude aliyeingia ubia na TRITEL) na mwishowe wakapelekana mahakamani, yaani IPTL na TANESCO lakini kujua haya yote inabidi uelewe connection kati ya EastCoast Energy v/s Independent Power Tanzania Limited (IPTL) v/s Songas v/s Ministry of Energy and Minerals (Wizara ya Nishati) v/s Parastatal Sector Reform Commission (PSRC) v/s Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) v/s VIP Engineering Limited (VIP), v/s (TANESCO) v/s NETGroup Solutions vs SIDASida) na bila kuwasahau waheshimiwa wa pale World Bank.

Lakini ukiachilia hao wauzaji wakubwa kulikuwa na wauzaji wengine wadogo kwa TANESCO, kama vile Tanwat (2.5 MW), Kiwira Coal Mine (6.0 MW) na bila kuwasahau Kilombero Sugar (2.5 MW) Mindhali humu kuna GREAT THINKERS nashauri mtafute Economic Recovery Program (ERP) ya 1986-1989 kati yetu na jamaa wa World Bank na IMF ndio mtaelewa kiini cha yoote haya ya reform kwenye sekta hiina zinginezo

MAKOSA TULIYOYAFANYA:

1. POOR COORDINATION: Victim mkubwa hapa alikuwa ni ESI nah ii ilisababishwa na poor coordination. Kupitia wizara mabali mbali (jambo ambalo mpaka leo linaendelea) bilakusahau wadau na wahisani wakati uleee wa kujadili mikataba ya Songas na IPTL. Kama taifa we PAID A HEAVY PRICE. Of course itakuwa ni jambo rahisi sana kukaa hapa na kuanza mambo ya finger pointing lakini haya ndio yale yale kuwa hatutaki kutatua mambo madogo madogo kama ya COORDINATION imagine HAZINA vs NISHATI vs TANESCO vs DONORS vs EVERYONE !!!

2.POOR PRIORITIZATION: Tusijindanganye, evitable consequence of poor coordination is that power sector reforms have been neither clearly prioritized nor implemented na Serikali yetu. Mfano mdogo hatuna clear policy framework for private sector investment katika secta hii, issue skama target percentage of private generation, standard investment incentives and contractual norms kwa jili ya PPA. Bila kusahau kuwa hatuna clear and feasible roadmap for how to make the main off-taker financially and technically viable. Matokeo yake Sekta hii ya Nishati Tanzana in the last 20 years has the sector has gone from dealing with crisis after crisis (kwanza kiangazi cha miaka ya 90 then issue ya high capacity charges, na mengineyo), hii yote imepelekea kudelay of the planning and execution of fundamental reforms necessary for the long-term sustainability of power supply and expansion kwenye nchi yetu na mbaya zaidi hatujui hata priority zetu ziko wapi when it comes to alternative energy!!!! Yaani tumekuwa kama motto mkiwa asiye na baba wala mama wala ndugu wa kumtazama.

3. FAIR AND INDEPENDENT REGULATION: Bila hii hatutofika na hakuna investor atakaye taka kuja kuinvest kwenye hiii sektaka kama hatuna transparency . Imagine kama regulator angekuwepo enzi zile IPTL na Songas wameanza it means akina Mhavile and Co wangekuwa wako bize kuzalisha umeme badala ya kushinda Mahakamani na kwingineko. Sasa hivi tunao EWURA lakini hao wamekuwa kama vile PPRA hawana nguvu zozote zile na sote tunajua no one knows or lets just say its unclear when truly independent oversight will commence. This fact may have cost the country past and present investments and may ultimately impact on future investments.

Sababu zingine ni kutokuwepo kwa uwazi kwenye UNFAIR BIDDING PROCESS, ARBITRATION , CURRENCY DEVALUATION na mengineyo bilakusahau kuwa tunashindwa kua attract makampuni ya uhakika kama TATA kwa kuwa we are not interested na pili hawa washazowe mambo ya transparency sie hayo hatutaki...!

ROLE YA NSSF

Kwenye hili as far as I know NSSF itakuwa ni IPP yaani independent power Producer kama walivyokuwa wengine ila kazi ya distribution ni ya Tanesco hivyo kama wataleta ma generator yao au watatengeza wa Jua au upepo au Gesi toka songo songo thats up to them

JE SHERIA INAWARUHUSU NSSF KUFANYA HIVI:

I would imagine NSSF sio PPF so I cant see them getting involved na jambo ambalo liko kinyume au sheria haiwaruhusu kulifanya. Sina sheria Mama ya ambayo naweza ku quote lakini kama kuna IPP zaidi ya 10 Tanzania sidhani kama wameenda kinyume na sheria. Nadhani hii ipo kwenye investment policy yao so this shouldn't be an issue. Pia si vibaya mkajua kuwa shirika hili lina BOARD ambayo wao ndio wenye maamuzi ya mwisho kwenye mambo kama haya na ndani ya bodi wapo wawakilishi wa wafanyakazi sasa sidhani kama maamuzi yanaweza kufanywa na mtu mmoja

RETURNS:

Kama watu wa investment as far as I know ni kuwa kwa Tanzania inasemekana return ya investment kwenye umeme ni 300% sasa surely hapa naona ni win win situation kwa NSSF

WENZETU NJE WANAFANYAJE?

Malaysia, Philipines,Brazil,Vietnam,India, Jordan, Egypt na kwingineko Pension Funds zao wameinvest kwenye umeme na wanapata returns kubwa sana
Btw TANESCO washankatia umeme ntarudi baadae.
 
Nadhani mkuu,

Hujanifahamu ni hivi ikiwa NSSF wana matatizo BOT wako wapi au SSRA au Wizara husika? Kama wako kimya inamaana hawana matatizo mkuu. Kuhusu miradi kama organisation yeyote miradi ni kitu kinakuwa plan ila kama kikiwa kimeonekana hakina faida au natija kwa shirika kinaweza kubakia katika makaratasi tu kama plans za serikali. Umezungumzia utapeli wa Manji huo umebakia ni myth still mpaka leo hakuna kithibitisho kizito kuweka kesi mahakamani. Miradi ya Kigamboni kama umesoma gazeti leo au Jana Dr Dau ametangaza kuwa ujenzi unaanza mwaka huu (sasa sijui kama wameshindwa au ni mipangilio tu kumbuka huu ni uwekezaji mkubwa hawawezi kukurupuka tu kama unavyotaka mtu kujenga nyumba yako).

Kuhusu aacounts zao kweli hilo linatia shaka but katika nchi yetu ambayo hata website ya Wizara ya fedha ina taarifa za mwaka 2005 sishangai NSSF kuwa na website iliyobora ila si uende pale NSSF kuomba financial reports zao (Annual reports). Ikishindikana mnaweza kuwatumia akina Mgaya maana wao si ndio wahudhuriaji wa vikao vya bodi za wadhamini wa NSSF watakuwa nazo tu. Teknolojia Tanzania bado tuko nyuma sana.
 
Mkuu nimekugongea Senksi you are an independent thinker.
 
Nadhani mkuu,

Hujanifahamu ni hivi ikiwa NSSF wana matatizo BOT wako wapi au SSRA au Wizara husika? Kama wako kimya inamaana hawana matatizo mkuu.

what kind of reasoning is this? so ukimya maana yake hakuna tatizo; how do you get from that point to the other one?
 
Nadhani mkuu,

Hujanifahamu ni hivi ikiwa NSSF wana matatizo BOT wako wapi au SSRA au Wizara husika? Kama wako kimya inamaana hawana matatizo mkuu. Kuhusu miradi kama organisation yeyote miradi ni kitu kinakuwa plan ila kama kikiwa kimeonekana hakina faida au natija kwa shirika kinaweza kubakia katika makaratasi tu kama plans za serikali. Umezungumzia utapeli wa Manji huo umebakia ni myth still mpaka leo hakuna kithibitisho kizito kuweka kesi mahakamani. Miradi ya Kigamboni kama umesoma gazeti leo au Jana Dr Dau ametangaza kuwa ujenzi unaanza mwaka huu (sasa sijui kama wameshindwa au ni mipangilio tu kumbuka huu ni uwekezaji mkubwa hawawezi kukurupuka tu kama unavyotaka mtu kujenga nyumba yako).

Kuhusu aacounts zao kweli hilo linatia shaka but katika nchi yetu ambayo hata website ya Wizara ya fedha ina taarifa za mwaka 2005 sishangai NSSF kuwa na website iliyobora ila si uende pale NSSF kuomba financial reports zao (Annual reports). Ikishindikana mnaweza kuwatumia akina Mgaya maana wao si ndio wahudhuriaji wa vikao vya bodi za wadhamini wa NSSF watakuwa nazo tu. Teknolojia Tanzania bado tuko nyuma sana.

Serikali haiongozwi kwa kukurupuka na mipango ambayo haijakamilika. Kwenye hilo la kigamboni Bridge wametoa schedule ya program au ndio funika kombe mwanaharamu apite? Swala la umeme linafahamika sio leo wala jana Songas, IPTL wanakomba mpunga tena bila hata kunawa mikono, Dowans, Richmond kampuni hewa hizi leo mnataka NSSF waje na ngonjera nyingine baada ya miaka minne mnaanza tena hadithi ile ile. Hivi sasa kuna tatizo gani la kuwapa TANESCO uwezo wa kununua magenerator yao mapya ya kuweza kuzalisha megawatt ambazo zinahitajika wakati tunajipanga upya? Hapo hatutakuwa na matatizo kwa sababu pesa bado itakuwa mikononi mwa shirika ambalo 100% ni la watanzania, tuwawezeshe wataalam wetu wenyewe kuendesha shirika hili bila kuingiliwa na wanasiasa.

Kama serikali imeshindwa kupata fedha wawaruhusu TANESCO kuuzwa kwa Watanzania i.e. ku-float shares kwa Watanzania na kupata mtaji wa kujiendesha na hakuna Mtanzania atakayeruhusiwa kuwa na share zaidi ya laki moja, hili ni rahisi sana tusiumizane vichwa hapa kwa sababu ya walafi wachache wanaotaka kujitajirisha peke yao.
 
Najaribu Kufuatilia hii thread lakini kila nikija kwenye michango ya mdondoaji napoteza "trends of thought" na najikuta inabidi nirudi nyuma kwenye hoja ya msingi being discussed!......I think Mdondoaji is very clever, sidhani kama anaamini kweli kwamba Mwanakijiji anamatatizo na Dr. Dau kwasababu ya dini yake..ila lengo lake nikuuchanganya huu mjadala watu washindwe kuufutilia!!!

Mdondoaji please kosoa hoja sio mtoa hoja!!

I think it is sufficient to comment on one sentence that you think Mwanakijiji is discriminating against Muslims(as your opinion), but after that it is only fair if you either don't contribute any further or contribute constructively (criticise/support with solid points) on the substance of the issues being raised!!!
 
Katika haya sihitaji kuyajibu kwani post zako zinaonyesha hoja zimetawaliwa na ubaguzi mwanakijiji. Kwanini kuna sababu mbili naweza kukupa ambazo hazihitaji mwanasayansi wa upasuaji au PhD kufahamu unalenga wapi?

Mosi umeshindwa kutushawishi kwanini tuhofie NSSF zaidi ya PPF au PSPF, LAPF. Hoja kubwa unayoileta jamvini ni ukubwa wa uwekezaji but unasahau kama pension na financial institution inatakiwa kukua kimtaji na kiundeshaji. Hivyo basi kutokana na hilo unasema NSSF inatumika kama mrija wa serikali kukamilisha mipango yao (even though huna ushahidi yakinifu kwa haya uyasemayo).

Pili mashambulizi yako yamelenga mifuko miwili kama ukisoma post zako za nyuma a. NSSF, b. PSPF but mashambulizi katika mifuko mengine umekuwa mchache mno kama sio hakuna kabisa. What do these financial institutions have in common? Wakurugenzi wakuu wote hapa ni waislamu (NSSF ni Dr Dau, PSPF ni Dr Mmanga).

Kama nilivyosema mwanzoni haihitajiki uwe na PhD au kuwa a nuclear scientist kufahamu unalenga wapi. Mifuko mengine je iko hali gani? Vp kule CRDB kwa Dr Kimei? Tushawishi zaidi NSSF wamekosea wapi nitabidili kauli yangu kwasababu awe muislamu au mkristo kama ni fisadi ni vema akemewe na kwa faida ya shirika na tanzania kwa ujumla.

Mdondoaji, tujikite kwenye mada zaidi kuliko wajihi wa watu. Katika nchi kama Tanzania kila kiongozi anakile anachokiamini, huu utamaduni wa kuangalia majina na kufikia hitimisho unatia shaka juu ya uwezo wetu wa kufikiri.
Tumeshalijadili hili katika mada ya Mohamed Said, na tumejiridhisha kuwa jina ni utambulisho wa mtu lakini halina maana zaidi ya hapo. Anayefikri Peter ni Mkristo au Halifa ni muislam ajiulize Baraguza ni dini gani kwanza. Unaweza kuwa John au Mwanaidi na hujui lolote kuhusu dini hizi za mapokeo. Sijui mkurugenzi wa NSSF angeitwa Mlamua kibwengo Mtumangi, mdondoaji ungetueleza nini kuhusu dini.

Hakuna mashambulizi dhidi ya mfuko wowote, ni fikra pevu zinazohitaji mjadala bila kuwa na mshindi au mshindwa.
Ama kwanini NSSF na PPF na sio mingeni, mjadala haujafungwa. Endapo mingine itakuja na 'controversy' itajadiliwa sawia.

Sababu ya kuhofia NSSF kuingia miradi kama kiwira ina ukweli kuwa ni hao hao waliahidi daraja la kigamboni miaka minne iliyopita, hadi leo tunasikia hadithi. Wanapoingia kwa nguvu katika mradi tata wa kiwira ambao hatuna majibu uliuzwaje na umenunuliwa vipi inatia mashaka. Ng'ombe anapouzwa kwa laki mbili ili umnunue ng'ombe yule yule kwa laki nane inafikirisha!!
Hivi nini kinafichwa hapa kwa kutumia NSSF?.
Tatizo si NSSF kama shirika ni mazingira NSSF inayotaka kufanyia kazi. Kamati za bunge, wawekezaji n.k hakuna anayetuambia nini kilitokea kiwira ya Mkapa/ Mbuna na Yona kukawa na madeni yasiyoelezeka.

Uharaka wa NSSF kuingia katika umeme hata kabla ya kutusaidia kwa dharura ya sasa unatia shaka.
Je watafanikiwa kuliko TANESCO. Tatizo la TANESCO sio jina ni uingiliwaji kisiasa. Shirika haliendeshwi na waziri, katibu mkuu au kamati za bunge. Shirika linaendeshwa kitaalamu. Mfano Tanesco inaidai SMZ bilioni 56 lakini kwa mambo ya siasa hili halisemwi. Ni hivyo ivyo kwa taasi za umma na seriakali.Tanesco inaingizwa katika mikataba batili na viongozi wa juu wa serikali na si wataalamu. Mnakumbuka Net-group! Sasa kwa mazingira hayo kwanini Tanesco isishindwe kazi, na je NSSF itaweza kuwa tofauti na Tanesco?
Mkono ukikamata uchafu, je tuna ukata au kuusafisha?
 
Niliuliza huko Nyuma Dr. Dau aliteuliwa na nani kushika nafasi ya Ukurugenzi NSSF na lini? Maana naona tunazungushana tu hapa.
 
eti dolla million 7 zinasamehewa hivihivi tu kwa geresha kwamba wataabsorb deni hilo. wasichoweza kusema specifically ni je hizo dolla ziliingia kwenye account gani kabla ya kupapaswa papaswa na mikono ya TISS kisha kupelekwa offshore
 
well.. ushahidi uko katika hoja.

Hoja? "Mamamia". Pumba, ufataani, roho korosho, unaziita hoja? Unashangaza sana.

Hivi hujuwi kuwa mifuko ya pensheni ndio moja katika wawekezaji wakubwa duniani? Tena katika nyanja mbalimbali, mojawapo hii ya "energy"?

Kama hilo hulijuwi, naona sasa unalijuwa. Na kama hilo unalijuwa, jibu lako ni hiyo "para 1".
 
Jamani,
Ukisema wanasiasa wameiharibu TANESCO,una maana gani?...maana yake ni kuwa TANESCO ni shirka la serikali.Historia inaonyesha kuwa serikali ina maamuzi ya kisiasa mno!
So,why do we want to give kiwira back to the government?...so they can have their cadres make decisions for it?...nah,I dont think it's a good idea.
TANESCO's failure is TANESCO's failure,and if you say politicians ruined TANESCO,thats even worse because we don't want politicians hands in kiwira again....so rule TANESCO out,unless they completely overhaul it!
 
i'm up for that siyo kwa Tanesco bali pia kwa NSSF
 
Hoja? "Mamamia". Pumba, ufataani, roho korosho, unaziita hoja? Unashangaza sana.

Hivi hujuwi kuwa mifuko ya pensheni ndio moja katika wawekezaji wakubwa duniani? Tena katika nyanja mbalimbali, mojawapo hii ya "energy"?

Kama hilo hulijuwi, naona sasa unalijuwa. Na kama hilo unalijuwa, jibu lako ni hiyo "para 1".

MajiMsindo,
Hoja hujibiwa kwa hoja na si kejeli au matusi, hii ni moja ya madhumuni ya jamvi.
Ikiwa unajua jinsi mifuko ya jamii inavyowekeza tafadhali tumia nafasi hiyo kufafanua au kujenga hoja kwa sisi tusioelewa.
Kwa kufanya hivyo utakuwa umetusaidia na kututendea haki au basi kaa kimya. Kinyume chake unatusaidia kutambua mengi kuhusu wewe binafsi jambo lisilo na nafasi hapa JF.
Endapo mada haikupendezi una uhuru wa kusoma zingine au kuacha kabisa, lakini kutuvurugia mtiririko wa mada kama ambavyo imekuwa kawaida yako, ukijinasibu na umahiri wa kashfa hututendei wasomaji na wachangiaji haki hata kidogo. Please!
 
This might help in the general discussion, article was written in 2005....i imagine some of the laws may have changed but i think it is relevant.....

source: Bank Seeking Reforms in Tanzania's Pension Funds
Bank Seeking Reforms in Tanzania's Pension Funds

By J. Mwamunyange, Allafrica.com

Tanzania

July 4, 2005

With a total of six mandatory pension schemes covering only 16 million people, or 5.4 per cent of the labour force, the Tanzanian pensions sector is increasingly facing pressure to liberalize and to invest pensioners' money more transparently.

In an interview with The East African, a senior economist with the World Bank, Philip Mpango, said there was a strong case to change the laws governing the institutions.

"Pension funds can't change significantly in the way they invest because of the legal instruments that are currently in place," he said.

Mr. Mpango said the country should learn from experiences of other countries and adopt arrangements where the management of the funds is more accountable to members and where workers' savings are not put into risky ventures.

"It's time pension funds diversified their investment," Mr. Mpango adding that arrangements needed to be introduced where members can use their savings as collateral for loans.

Under a financial sector adjustment credit from the World Bank, Tanzania plans to reform its financial institutions, including the pensions sector.

Two of the largest pension funds - the National Social Security Fund (NSSF) and the Parastatal Pension Fund (PPF) - have been criticized for engaging in risk concentration, putting too much of the workers' money in real estate and office accommodation. Worse still, there have been occasions where some pension funds have been lending billions of shillings to well-connected businessmen.

A few years ago, there was a public outcry when it emerged that some pension funds had advanced unsecured loans to political parties and senior politicians.

Tanzania has six pension funds - the NSSF, the Public Service Pension Fund (PSPF), the Parastatal Pension Fund (PPF), the Government Employees Pension Fund (GEPF), the Local Authorities Provident Fund (LAPF) and the Zanzibar Social Security Fund (ZSSF).

Unlike Kenya, which has a Retirement Benefits Authority, Tanzania has no regulatory system for pension funds.

Compounding the problem is the fact that all the pension funds report to different ministries, with the PSPF, PPF, GEPF, and ZSSF accountable to the Ministry of Finance, LAPF being under the Ministry of Local Government and the NSSF falling under the Ministry of Labour.

Decision-making on issues such as investments projects go through several levels, including the parent ministry, the board of trustees of each fund, the CEO, and employees.

Like NSSF, PPF is also involved in undertaking multibillion shilling housing projects in Dar es Salaam, Arusha, Dodoma and Mwanza City.

Copyright © Global Action on Aging
Terms of Use | Privacy Policy | Contact Us
 
Back
Top Bottom