Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu.
Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko kufikia viwango vibaya kutoka kisiasa hadi kimuungano.
Natoa onyo kwa wazanzibar kujitafakari sana na ubaguzi usio na msingi wowote utawagharimu sana waukomeshe na kuwa kitu kimoja kama waanzilishi wetu wa muungano huu.