Onyo / Tahadhali......

Onyo / Tahadhali......

Hahahah hahaha hahha,
Swaiba ndoa yangu iko imara kupita kiasi,
Jiulize tangu asubuhi sijaonekana hapa nilikua wapi,
Ngoja nipumzike kidogo maana cha mchana kilikua cha ukweli lol!
Nani kakupa cha mchana wakati cha mchana wakati Rejao yuko Dodoma???
 
Hahaha hahahha,
Mie sijataja jina aisee,
Nimerusha jiwe gizan nikisikia kilio najua limeshampata mtu lol!
Haaaa mbona ni kama linampata papaaa mukuru musee ya sisiemu
 
Haaaa mbona ni kama linampata papaaa mukuru musee ya sisiemu
Papaa hali chipsi mayai na ndio maana nimetulizana kwake lol!
Ni mwengo wa ugali nyama choma mboga mboga kwa wingi na badae jion tutakua pale chako ni chako,
Ni ugali na kuku choma na biere kidogo then kulala!
 
Hahahah hahaha hahha,
Swaiba ndoa yangu iko imara kupita kiasi,
Jiulize tangu asubuhi sijaonekana hapa nilikua wapi,
Ngoja nipumzike kidogo maana cha mchana kilikua cha ukweli lol!

Umeathirika na CCM, kujifariji kuwa chama lao liko imara kupita maelezo.
Nipe moyo wako mrembo, nakuhakikishia kuwa hutajuta... Acha kukumbatia mbuyu.
 
Umeathirika na CCM, kujifariji kuwa chama lao liko imara kupita maelezo.
Nipe moyo wako mrembo, nakuhakikishia kuwa hutajuta... Acha kukumbatia mbuyu.
CCM haihusiki na ndoa yangu bana,

BTW,moyo wangu nimemkabidhi Rejao he is one and the only,
Labda usubiri nikiachika kitu ambacho sikitarajii kwa maraha tunayopeana kwa sasa!

Swaiba nawe!ndio nn kunitongoza live mke wa mtu tena hata woga huna lol!
 
Mbwa kuchezea ngozi muda mrefu ni hatari sana, mwishowe huila. (Source: Konnie)
 
CCM haihusiki na ndoa yangu bana,

BTW,moyo wangu nimemkabidhi Rejao he is one and the only,
Labda usubiri nikiachika kitu ambacho sikitarajii kwa maraha tunayopeana kwa sasa!

Swaiba nawe!ndio nn kunitongoza live mke wa mtu tena hata woga huna lol!

Suala la wewe kuachika (God forbid) halina ubishi. Sasa ni bora ukaacha wewe ili aibu isiwe kubwa...
Kuhusu kukutongoza hadharani wala usiwe na shaka, nikishakupa moyo wangu mapenzi yetu yatakuwa hadharani, thats why kumpindua Rejao kunahusika kipindi hiki, si unajua kama kula nanasi kwataka nafasi'
 
Back
Top Bottom