Onyo / Tahadhali......

Kula tu bila kufanya mazoez ni hatari kwa afya yako . . . . . ! Kuangalia picha za utupu ni hatari kwa utu wako . . . . !
Hahahahahaaa
Wengine huwa wanatafutia stim huko...
Lol
 
Kushindia 'bugger' kila siku, ati kisa uzungu ni hatari kwa haja kubwa yako...
LOL!
 
Kujiendekeza kula chipsi mayai kwa wanaume ni hatari kwa viwango vyao vya kula kitumbua.
 
mi nilishakuambia kuwa ndoa yako iko mashakani.
I am here to rescue you baby...
Hahahah hahaha hahha,
Swaiba ndoa yangu iko imara kupita kiasi,
Jiulize tangu asubuhi sijaonekana hapa nilikua wapi,
Ngoja nipumzike kidogo maana cha mchana kilikua cha ukweli lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom