mbotoki
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 268
- 116
Sasa Mwokozi anatokea wapi hapo we jamaa?Mpaka kinyaa .... ndio maana hata YESU hakuwahi kula hili dude
Sasa Mwokozi anatokea wapi hapo we jamaa?Mpaka kinyaa .... ndio maana hata YESU hakuwahi kula hili dude
Uharam wake umetoka wapi we jamaa?Ndio maana akawa haramu huyu mdudu
Si ndio nguruweUharam wake umetoka wapi we jamaa?
Wacha kukariri.
Vitu haram hamvisemi.
Ki vipi sasa?Si ndio nguruwe
Nimesoma kwenye bibliaKi vipi sasa?
we umeona wapi?
au nani kakuambia? Hicho ndo nataka kujua.
Wapi na mimi hujajiongeza.Nimesoma kwenye biblia
Kwa hiyo Mungu alikua anatania binadamu kusema Nguruwe haramu hakua serious?Wapi na mimi hujajiongeza.
Haimaanishi hivyo.
Unamkosoa Muumba unavyosema hivyo.
Nimesoma kwenye Biblia.
Kumbuka hata wale wengine wameambiwa wamtumie wakizidiwa na njaa.
Kula wewe.
Matendo yako yote mabaya na memaNdio kitu gani hicho?