Onyo: Mauaji ya kutisha kwa mnyama nguruwe

Onyo: Mauaji ya kutisha kwa mnyama nguruwe

images
inaikumbuka movie inaitwa babe?
 
Hauawi ila kitaalamu anatakiwa apoteze fahamu kabla ya kumchinja na hii pia hufanywa hata kwa ng'ombe.
Me nashangaa watu, wana chuki zao binafsi tu na huyu mnyama. Bora huyu anayepoteza fahamu kwanza.

Overall, machinjio ya wanyama hasa ng'ombe anayeliwa sana yanafanyika kikatili sana. Huko duniani wanapotumia machine kuchinjia ng'ombe, yaani ng'ombe kibao wanapitishwa kwa speed kwenye visu. Baadae wanachunwa wengine bado wanapiga miguu. Very bad

Kuna kipindi niliacha kula nyama baada ya kuona jinsi wanavyochinjwa. Baadae nikasema ah me nitaacha lakini huko porini bado wanaliwa sana tu.

So cha kufanya ni kutetea haki za wanyama. Wachinjwe kwa njia itakayowapunguzia maumivu.
 
hahahhahahhhahahahha....nimecheka sana,huyu mdudu anavyouliwa kwa mbinde sana...ndo maana ni mtamu
 
Duuh..Huyu mjomba ndo ua anakufa kwa mbinde hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom