ONYO kwa wanaonunua simu humu

kwani toka lini JF imegeuka kuwa duka la kuuza bidhaa kama SIMU????, pili pili ule wewe kelele utupigie sisi , kwanini hatufati malengo ya JF????? ndo maana "mjini shule kijijini tuisheni". ni hayo tu kwa leo.
 
Binadamu kutokana na uzito wa vichwa vyetu though wapo wepesi,hatuwezi kukwepa matapeli wa aina yoyote cz usipodakwa hapa utadakwa pengine.Mbn bzness za uhakika zmo humu?mi nmewahi uziwa Tablet na jamaa anaitwa Mabelele na imepga mzgo bila wacwac,bei ya kawaida 2!!!!
chunga pesa yako wewe mnunuzi,muuzaji maintain trustworthy vnginevyo selo mtahusika!
 
kwani toka lini JF imegeuka kuwa duka la kuuza bidhaa kama SIMU????, pili pili ule wewe kelele utupigie sisi , kwanini hatufati malengo ya JF????? ndo maana "mjini shule kijijini tuisheni". ni hayo tu kwa leo.

funga bakuli lako,
m2 mwnyw upo Kwimba sh typ
 
funga bakuli lako,
m2 mwnyw upo Kwimba sh typ
kwikwikwikwikwiiiii....ukweli siku zote unauma .....ila nashukuru kwa kuguswa na ujumbe wangu , natumai umejifunza na utawasaidia watu wakwenu kwimba.
 
user-offline.png
Fidel80 wwe sio hao hao kwli, ona avator yako
 
nashauri jf ktk forum ya matangazo na biashara waandike trade at your own risk ili mwisho wa siku mtu akipigwa huko asije kusema hakutaadharishwa.nimejifunza jambo hapa kumbe hata some of jf members ni wapigaji/wapigwaji!!.duh.
 
mi nafikiri mods wawe wabunifu ktk hili,
wacreate njia itakayofanya wote wanaouza bidhaa zao wachangia kati ya 15%-10%.

Nafikiri hili litasaidia kupunguza vitangazo vya ovyo
Maoni yangu tu
 
Nimekwisha nunua simu mbili hapa Jf aina ya nokia E72 na pia nimeuza E65 sasa inakuwaje hayo maneno yako??
Unashindwa kukagua mali kabla haujatoa hela??
Au unanunua usichokijua??
Nadhan umeshang'atwa na nyoka hata majani unayaogopa. Ugua pole.
 
Mie kwanza huwa nashangaa mtu unanunuaje simu kwa mtu wakati maduka yapo!

Kama ni hivyo ebay isingekuwa ina exist
Kuuza kitu ulichotumia ni kawaida niko sii nataka siii nimeitumia kweli nauza kwa depreciation value tatizo liko wapi?
 
Ahsante mkuu naamini utakuwa naa duka la simu either la kwako ama unafanya kazi humo. na hapa umeamua kujitangaza kwa ujanja. Ila utuhakikishie kuwa duka lako ni la simu orijino kwa sababu ishu sio tu simu mpya bali pia km ni orijino au la ni jambo la muhimu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,naomba uniambie duka lako liko sehemu gani. Ila uwe muwazi kwa sababu ukiniuzia simu kimeo naamini sitapata mawazo ya ghafla km uliyopata wewe na kumwachia huyo jamaa
You know what am saying mem!
 
Sinunui simu dukani, simu zangu zote mazabe.

Sent from my BlackBerry Q10 using JamiiForums
 
Ahsante mkuu naamini utakuwa naa duka la simu either la kwako ama unafanya kazi humo. na hapa umeamua kujitangaza kwa ujanja. Ila utuhakikishie kuwa duka lako ni la simu orijino kwa sababu ishu sio tu simu mpya bali pia km ni orijino au la ni jambo la muhimu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,naomba uniambie duka lako liko sehemu gani. Ila uwe muwazi kwa sababu ukiniuzia simu kimeo naamini sitapata mawazo ya ghafla km uliyopata wewe na kumwachia huyo jamaa
You know what am saying mem!

he!
Matapeli yapo humuhumu hilo halina ubishi,penye wengi pana mengi wanaotetea ngoja wapigwe!
 
Mimi nimenunua simu haina hata mwezi ila naiuza nataka kuongezea ninunue i phone
 
Kuwasaidia wengine, mtaje. Sisi tutaangalia IDs zake zote na kuziunganisha.

Ikibidi, tupe # yake ya simu tutamwanika hadi majina halisi. Threads zake zote zitafutwa na ID itawekewa status ya TAPELI.

Thanks
Ndiyo mkuu watu wa JF tunaheshimiana sana kwa kuwa na uelewa mkubwa na imani hiyo imekwenda kwamba siyo rahisi kumpiga changa la macho mwenzako maana nj kumfanya mjinga.

Nimefurahi sana kwa hatua hii ambayo unataka kuichukua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom