ONYO kwa wanaonunua simu humu

Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu.

Simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku...
Safi sanaaaa umeongea kitu kimoja kizur sanaaaa tuache tamaaan na kutaka vitu rahis
 
LAPTOP hp notebook
Ram 4gb
Internal Disk 500Gb
Haina Damage yyte
Imetumika only 5 months(Nilinunua Shop ikiwa mpya)
Inakaa na moto sio chini ya 6/7 Hrs

Sababu ya kuiuza-Nimepata kubwa zaidi

Bei ya Kuokota kabisa=350,000
LOCATION-Mwanza

Namba- 0764 372652

Karibuni
 
Mzani 10KG mpya.
120,000 tu.
Location kigamboni mji mwema
0752649984
IMG_20221215_084618.jpg
 
Wireless microphone
Iphone
Android type c
Headphone jack
__________________________
1. Mic moja elfu 40 fixed
Iphone & android
___________________________
2. Mic MBILI elfu 70 fixed
Iphone , android , camera
_____________________________

Tupo UBUNGO
Mawasiliano bus stand
Piga cm 0627417113 au 0713358355
 
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu.

Simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku.

Juzi kuna JF member nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla.

Wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!

USHAURI: Tuache uvivu twende madukani, simu mpya na guarantee bei rahisi. Tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa.
Sawa, asante kwa taarifa njema hasa kwa wanaotoka madongo poromoka: Hii inaonyesha namna ambavyo tunalala kitandani na kuuziwa simu zilizokufa.
 
PICHA LILIKUWA HIVI:
nimekuta tangazo la BB CURVE inauzwa kwa 100k,
kwa sifa zilizowekwa nikawa interested.
Nikamtafuta jamaa ili ninunue simu,
akanambia nimfate kwao TABATA,
kwakuwa mimi naishi SINZA nikamwambia tukutane UBUNGO TERMINAL ili kushare cost.....
Jamaa akafika eneo husika akiwa na bidhaa husika ikiwa ipo ON tayari!
Kama ilivyo kwa mtoto wa mjini mwingine sikutaka kuuziwa mbuzi kwenye kiroba nikaizima na kuiwasha simu,
yan process ya kuwasha tu ilichukua dk10 na charge ikawa imeisha hapohapo hivyo simu ikazima zzzzzz....!
(Kimoyomoyo nikasema biashara hakuna hapa)
MUUZAJI:(kwa kujistukia)dah..!ndo kawaida ya BB ukiwasha inaload sana na sijaichaj toka juz

MNUNUZI: sasa kwanini hukuichaj full leo na unajua toka jana kama kuna biashara?kwnza vitu vyake viko wapi?(charger&earphone)

MUUZAJI: ah!nilijisahau kuichaj ila charger ilipotea mi huwa naazima ya samsung

MNUNUZI: dah!sasa hapo itabidi katika hiyo pesa nitakayokupa itakayokupa itabidi ipungue ninunue charger

MUUZAJI: sawa haina shida,

MNUNUZI: sasa wewe nenda kachaj full,alafu tukutane hapahapa badae sawa?
(tukakubaliana akaondoka,akajua kashaula tayari)
ilipofika badae

MUUZAJI: tayari iko poa hii hapa mkubwa

MNUNUZI: ok!nikaizima nikaweka line yangu na memory card,
simu ilipowashwa ikakata display
(jamaa akawa anaiweka kwa kufichaficha inaelekea ndo tatizo la hyo simu)

MUUZAJI: (baada ya kuhangaika sana bila mafanikio,huku akinichek kwa jicho la wizi)
dah!yan tatizo hili ndo kwanza linantokea leo,itakuwaje mkuu?

MNUNUZI: nakusikiliza wewe unasemaje?

MUUZAJI: mi naona biashara ishakuwa ngumu hapa.

MNUNUZI: kama umelitambua hilo vizuri,
kajipange upya ukiwa na simu nzuri,nzima nitafute()
🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom