Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Biashara ni katibya willing buyer ba willing seller...kama mmoja akighairi hakuna biadhara hapo.
Ni juu ya mnunuzi kujiridhisha na bidhaa anayotaka kununua kama hajaridhika hanunui akinunua amerishika na kama akikuta bidhaa ssio alivotegemea basi ndio risk zenyewe iyo otherwise angeenda kununua mpya dukani na warranty.
Uliona wapi BB ikauzwa laki moja halafu eti utegemee iwe kama mpya?
Kwa maoni yangu ni kwamba ukiamua kudeal na vitu used ukubali pia matokeo na uwr makini.
NA HAINA MAANA KUWA WAUZAJI WA HAPA ETI NI MATAPELI...nimeshawahi kununua iPhone umu na inadunda hadi leo.
Mi nimeona Gerezani Kariakoo BB mpya elfu 50, iPhad mpyaa laki 1 fasta fasta hiyo