Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?
Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama anayejifungua kwa operesheni na kusababisha miguu na mikono kuoza?
Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??
Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).
Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.