Online relationships don't run faster than your legs !

Online relationships don't run faster than your legs !

Daima naamini hamna watu wanaokutana kwenye hizi sosho nertworking wakafikishana mbali

Kwanza naona ni vigumu kumantain kule kuheshimiana kati yenu kutokana na mazingira mliyokutana

Love doesnt ask why..hatukatai ila sio mbaya kujiuliza swali la kizembe kama hili; mtaani,kazini,chuoni na jamii zoooote zinamzunguka hakuona wa kumfaa mpaka alipokuona wewe kwenye blog!!!!!

Sanasana either she ataliwa MWILI au he aliwe MALI

Correct me with concrete evidence if am wrong.

Usisahau kuwa huko sokoni,harusini au makazini ni sawa na hapa mtandaoni

Kuna mambo hayakwepeki kabisa kwenye muingiliano wajamii kama huu

Nakumbuka hata wakati wa simu za mikononi kuingia kulikuwa na vitisho kama hivi

Suala la mahusiano linaweza kuanza popote pale,cha msingi ni umakini wa wahusika

Kama ni tapeli unaweza kukutana nae hata kanisani au msikitini

Kuna memba mmoja hapa aliwahi kuniambia kuwa jamaa yake alikuwa ni tapeli na hawakukutana mtandaoni

Suala hapa sio mahali kwani unaweza kukutana na nyoka hata sebuleni kwako

Suala hapa ni kuwa makini na hii kitu kama unatafuta mwenza

Mtu makini anaweza kupatikana popote and so mtu wa hovyo pia!
 
Si unajua valentini inakuja?

Sasa ndo nini kujiuzulu/

Ukijiuzulu na mimi najiuzulu

Tena mimi najiuzulu kuingia JF kabisaaaaa!!!!!!!!!!

sasa Baba Paroko na valentine wapi na wapi

hayo mambo atuachie wanakondoo wake

mie mwenyewe najiuzulu nitakuwa nakuja as guest
 
sasa Baba Paroko na valentine wapi na wapi

hayo mambo atuachie wanakondoo wake

mie mwenyewe najiuzulu nitakuwa nakuja as guest

Basi tujiuzulu wote

Lakini tuwe tuna log in mara moja moja ili tukutane kuleeeeeee!!!!!!!!!!
 
Lakini ni vzr ukikutana na mtu anakwambia ukweli inakusaidia kufanya maamuzi vzr
 
Afadhali kwa kutupa mfano halisi uhusiano chanya kwa njia ya
mtandao. Hiyo ndo maana ya muujiza, kutokea usipotarajia.

Kikubwa kumpima kama unavyopima unaokutana nao sehemu zingine. Mchakato wa maisha umebadilika sana, watu tunaonana na watu wapya hapa zaidi kuliko hata mtaani au kazini.

for sure....kila mtu ana historia yake katika maisha,hata siku moja usitake kufwata historia ya mwenzi.eti kisa alitapeliwa mtandaoni na wewe pia utatapeliwa.unachotakiwa kufanya ni kujipa nafasi umfahamu huyo mtu unaetaka kumkabidhi moyo wako.ukipata amani ya moyo go for it.
 
for sure....kila mtu ana historia yake katika maisha,hata siku moja usitake kufwata historia ya mwenzi.eti kisa alitapeliwa mtandaoni na wewe pia utatapeliwa.unachotakiwa kufanya ni kujipa nafasi umfahamu huyo mtu unaetaka kumkabidhi moyo wako.ukipata amani ya moyo go for it.

^^
"Kujipa nafasi" ndio ina maana inayokaribiana na kutokimbia mbio kuliko uwezo wa miguu yako! Kila jambo linahitajika tiba ya muda, ila la mahusiano ya online yanahitaji muda zaidi na umakini, sisemi wasikutane la! Utulivu wa maamuzi utawale
^^
 
Himidini ushawahi ku-date mtu uliempata online?

^^
Sitaweka wazi jibu la moja kwa moja, ila Ni jambo la busara kujifunza kutoka kwa wengine na ndio maana nimesema, wapo wenye nia njema kinachotakiwa ni subira, kumbuka
Subira ni mwalimu,
Subira hufundisha,
Subira ni dawa,
Subira itakuganga,
Subira kila kabila,
Subira ina maisha,
^^
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom