Online relationships don't run faster than your legs !

Online relationships don't run faster than your legs !

^^
Ha ha ha eti kujificha nyuma ya screen, by the way Mitandao ni njia ya kisasa inasaidia kukutanisha watu ila linapokuja suala la mapenzi, hekima ya subira na kupeana muda itasaidia kujiridhisha!
^^

Mkuu, mwanaume ni kama Simba na ili awinde shurti aone windo lililonona fursa ambayo mtandaoni huwezi kuipata.
 
Hapo kwenye red ndio jambo la msingi kwani hatupaswi kuiogopa mitandao. Kwetu sisi wabongo hii kitu bado haijazoeleka. Nafikiri taratibu tutazoea ila yatupasa kuwa makini kama tunavyokua makini mtaani jipe muda , mjue mtu huyo kwa kiasi unachoweza ili hata huko baadae usijilaumu bali utasema ulifanya sehemu yako lkn mengine ilikua vigumu kuyajua kwa sababu ya ubinadamu wetu.

^^
Ablessed tupo pamoja, kuna mtu mmoja aliwahi kuja humu JF, anaomba mke, kwa madai kuwa mkewe amefariki, kweli tukatoa pole na kuombea dua/sala apate wa kutoka kwa Mungu, miezi miwili ikaja mada ya mdada ambayo ilifutwa ikiwa na post 20 hivi, ikitoa tahadhari kumwepuka huyo mwanaume kwa madai anaambukiza VVU/UKIMWI wadada makusudi na wala hakufiwa na mke, na mleta mada ile akatoa shuhuda kuwa anamfahamu vema.
Sasa, najiuliza, mitandao inahitaji haraka gani?
Cc: Heaven on Earth mimi49 Dinazarde
^^
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, mwanaume ni kama Simba na ili awinde shurti aone windo lililonona fursa ambayo mtandaoni huwezi kuipata.

^^
Ha ha Mkuu watu8 umenikumbusha enzi zangu za uwindaji porini, ulikuwa ukimkuta Swala jike anapiganiwa, madume yanatoka jasho, atakaeshinda ndiye anaoa!
Ajabu hata wanawake wanapenda kufuatiliwa kwa muda mrefu ili wapate uhakika, hata ikibidi miaka miwili, sasa msemo wako wa life behind screen, mshale unaweza kulenga pasipofaa!
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Ablessed tupo pamoja, kuna mtu mmoja aliwahi kuja humu JF, anaomba mke, kwa madai kuwa mkewe amefariki, kweli tukatoa pole na kuombea dua/sala apate wa kutoka kwa Mungu, miezi miwili ikaja mada ya mdada ambayo ilifutwa ikiwa na post 20 hivi, ikitoa tahadhari kumwepuka huyo mwanaume kwa madai anaambukiza VVU/UKIMWI wadada makusudi na wala hakufiwa na mke, na mleta mada ile akatoa shuhuda kuwa anamfahamu vema.
Sasa, najiuliza, mitandao inahitaji haraka gani?
Cc: Heaven on Earth mimi49 Dinazarde
^^

haihitaji haraka wala kukurupuka......kisemeo cha Ablessed jipe Muda

na you have to calculate the risks ahead.............maana hata huyo aliekuja JF

na mtaani pia aanatongoza vile vile sema hapa nakuja na style tofauti
 
why do you think mwanaume aliamua kufyeki ni maisha bora, wadada mnashoboka na wanaumewaliofanikiwa....so no waya lazima yawakute maana alwayz mwanaadamu siku zote ni mbunifu...!
^^
DEMBA umesema kweli, wadada ndo wapo ktk mapenzi ya mitandaoni, kuna mdada mmoja mkoani mwanza, walikutana Facebook tatizo alifeki kuwa ana maisha bora, matokeo yake mdada akaingia king, na baada ya mwezi kafika rafiki wa mwanaume, kamnyanganya sofa, tv, kapeti na kitanda kwa madai mkataba wao umeisha. Ilibidi mdada atulizane.. Ukweli upo kiasi sana
^^
 
Nilipomuomba Mungu,nilimuomba anipe mume na sio boyfriend,na sikumlimit jinsi ya kumpata huyo mume.as i told him"unanijua kuliko ninavyojijua,utanipatia kilicho chema".
Akatokea huyu mwanaume through social network,he told me he loved me and wants to marry me,i was like this cant be and i refuse his propasal....as time goes by kuna kitu ndani yangu kikaniambia he is the one dont let him go.....well some people thought i was crazy kukubali kuolewa with the man i met on social network.bt nikasema if its a mistake will be my mistake not urs...well i wouldnt ask for anything......he is a blessing,he is my man,my friend,my baby's father.As every single day goes by..I THANK GOD THAT I FIND HIM.he is my life.

Afadhali kwa kutupa mfano halisi uhusiano chanya kwa njia ya
mtandao. Hiyo ndo maana ya muujiza, kutokea usipotarajia.

Kikubwa kumpima kama unavyopima unaokutana nao sehemu zingine. Mchakato wa maisha umebadilika sana, watu tunaonana na watu wapya hapa zaidi kuliko hata mtaani au kazini.
 
"Tulipo endelea, tuliwaona maelfu ya watu kwenye
mateso,Wakati roho inapo mwona Bwana,
zilijitahidi kumfikia kwa mikono isiyo na
ngozi.Nilimwona mwanamke aliye anza kupiga
makelele alipo mwona Bwana Yesu. Alilia, "Bwana
tafadhali nirehemu! nitoe mahali hapa!" Alikuwa
akiteseka sana na aliunyoosha mkono wake kwa
Bwana.Aliendelea kumwomba Bwana amtoe eneo
lile hata kwa sekundr moja.
Alikuwa yuu uchi kabisa na alifunikwa na tope.
Nywele zake zilikuwa ni chafu na minyoo ilikuwa
ikijongea mwilini mwake .Alijaribu kuiondoakwa
mikono yake lakini kila alipo mwondoa mmoja
mingine ilijizisha zaidi.Minyoo ilikuwa na urefu
karibu inchi 6-8.Neno la Bwana linasema katika
Marko 9:44, "Ambamo humo funza wao hafi, wala
moto hauzimiki."
Ilikuwa ni ya kutisha sana kumwona mwanamke
huyu na kusikia kilio chake kwa jinsi minyoo ile
kwa hasira ilivyo kuwa inaila nyama za mama
huyu. Kulikuwepo na bango la chuma lililo kifuani
mwake ambalo lisingeweza kuharibiwa na moto.
Lilisomeka , "Nipo hapa kwa ajili ya Uzinzi." Kwa
jinsi ile ile ya dhambi yake, mwanamke huyu
alilazimishwa kufanya uzinzi kuzimu na nyoka wa
kutisha mnene..Nyoka huyu alikuwa na miiba
mikubwa kuuzunguka mwili wake, ni kama ya
uerfu wa inchi 6-8 hivi.Nyoka humwingia mama
hyu sehemu zake za siri na kusafiri hadi mwilini
mwale hadi kwenye koromeo lake. Nyoka alipo
mwingilia hivi, alianza kulia kwa makelele .
Alimwomba Bwana kwa nguvu sana amtoe eneo
lile, "Bwana, nipo hapa kwa ajili ya uzinzi,
nimekuwepo hapa kwa miaka 7, tangu UKIMWI
ulipo niua. Nilikuwa na wapenzi sita6, na nipo
hapa kwa ajili ya uzinzi." Kule kuzimu alitakiwa
kuirudia dhambi yake tena na tena.
Hakuna kupumzika usiku na mchana, akiteseka
kwa jinsi ile ile kila mara. Alijaribu kuunyoosha
mkono wake kwa Bwana, lakini Bwana
alimwambi, "Blanca, kwako tayari umechelewa.
Minyoo itakuwa ni kitanda chako, na minyoo
itakufunika." (Isaya 14:11) Wakati Bwana alipo
sema maneno hayo, blanketi la moto lilimfunika,
na siku mwona tena."
TUACHE ZINAA TUFUNGE NDOA NI UJUMBE KWA
VALENTINE DAY
Hii ni nini?
 
hahahaa!! mkuu nimesoma uzi huu nikiwa na tabasam kubwa sana hasa nilipokuwa napitia factor mbali mbali ambazo zilitakiwa kuzingatiwa katika kuchagua mwenza!

kaka yangu alikuwa anajifanya penda penda saana especially kipindi chake cha foolish age, alikuwa yuko tayari afunge safari hata kutoka nje ya mkoa kumfuata tu mwanamke asiyemjua wala kumuona hapo kabla, kisa tu wamekutana mtandaoni..

basi siku moja alikutana na structure ambayo hajawahi kuitegemea kukutana nayo katika maisha yake ya ku-seduce watoto wa kike! alikuwa anawasiliana na binti fulani, binti anamtumia picha zake, picha nzuuuri zenye asili ya wema kwa mfano, brother kavutika bana japo ni mjanja sana..

basi wakapanga kuonana, haoo wkasema tukutane mahali fulani, brother kaenda kwa udadisi wa hali ya juu mno akitaka kuona kabla hajaonwa!! basi ile kila simu anayopigiwa na kuelekezwa jinsi binti alivyo, alikuwa anafuatilia kiundani zaidi ili amuone kabla (actually, yeye alimdanganya kila kitu siku hiyo ya meeting.. jinsi alivyovaa na general appearance was a total lie!! ili asigundulike!)

mmh.. borther ile kufika kwa mbali, akamuona binti!!.. wallahi alichoona kwenye simu, tooofauti na kilichoko mbele yake!! binti ana appearance size ya asha boko! bro kuona vile.. ALIZIMA SIMU GHAFLA NA KURUDI ALIKOTOKA! BAADA YA HAPO NI MATUSI TU KWA BINTI FOR TIME WASTAGE AND LIES! HAYA MAMBO YAPO KABISA!
 
kwenye No. I umesema kuepuka waongo tujipe muda, sikubaliani na wewe kwani wapo waongo wa kudumu, kila kitu kwao ni fake, hana ukweli hata siku moja...sijui njia ya kuwaepuka, usije ukaniuliza labda mtu asipate tu hiyo bahati mbaya

^^
Naunga mkono, kwa baadhi ya watu, uongo ni maisha.
Hata kama umempenda hakikisha hakuachiii jeraha la moyo kwa haraka zako.
Take it slow
^^
 
hahahaa!! mkuu nimesoma uzi huu nikiwa na tabasam kubwa sana hasa nilipokuwa napitia factor mbali mbali ambazo zilitakiwa kuzingatiwa katika kuchagua mwenza!

kaka yangu alikuwa anajifanya penda penda saana especially kipindi chake cha foolish age, alikuwa yuko tayari afunge safari hata kutoka nje ya mkoa kumfuata tu mwanamke asiyemjua wala kumuona hapo kabla, kisa tu wamekutana mtandaoni..

basi siku moja alikutana na structure ambayo hajawahi kuitegemea kukutana nayo katika maisha yake ya ku-seduce watoto wa kike! alikuwa anawasiliana na binti fulani, binti anamtumia picha zake, picha nzuuuri zenye asili ya wema kwa mfano, brother kavutika bana japo ni mjanja sana..

basi wakapanga kuonana, haoo wkasema tukutane mahali fulani, brother kaenda kwa udadisi wa hali ya juu mno akitaka kuona kabla hajaonwa!! basi ile kila simu anayopigiwa na kuelekezwa jinsi binti alivyo, alikuwa anafuatilia kiundani zaidi ili amuone kabla (actually, yeye alimdanganya kila kitu siku hiyo ya meeting.. jinsi alivyovaa na general appearance was a total lie!! ili asigundulike!)

mmh.. borther ile kufika kwa mbali, akamuona binti!!.. wallahi alichoona kwenye simu, tooofauti na kilichoko mbele yake!! binti ana appearance size ya asha boko! bro kuona vile.. ALIZIMA SIMU GHAFLA NA KURUDI ALIKOTOKA! BAADA YA HAPO NI MATUSI TU KWA BINTI FOR TIME WASTAGE AND LIES! HAYA MAMBO YAPO KABISA!

^^
Ha ha Excel kuna usemi wa Heaven on Earth anasema "In life expect the unexpected"
Ilibidi Kaka hapo akumbuke hilo.
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Ablessed tupo pamoja, kuna mtu mmoja aliwahi kuja humu JF, anaomba mke, kwa madai kuwa mkewe amefariki, kweli tukatoa pole na kuombea dua/sala apate wa kutoka kwa Mungu, miezi miwili ikaja mada ya mdada ambayo ilifutwa ikiwa na post 20 hivi, ikitoa tahadhari kumwepuka huyo mwanaume kwa madai anaambukiza VVU/UKIMWI wadada makusudi na wala hakufiwa na mke, na mleta mada ile akatoa shuhuda kuwa anamfahamu vema.
Sasa, najiuliza, mitandao inahitaji haraka gani?
Cc: Heaven on Earth mimi49 Dinazarde
^^
tukio kama hili linapaswa kuwa fundisho kwetu sote!binaadamu ni viumbe dhaifu sana!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom