Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
Nilipomuomba Mungu,nilimuomba anipe mume na sio boyfriend,na sikumlimit jinsi ya kumpata huyo mume.as i told him"unanijua kuliko ninavyojijua,utanipatia kilicho chema".
Akatokea huyu mwanaume through social network,he told me he loved me and wants to marry me,i was like this cant be and i refuse his propasal....as time goes by kuna kitu ndani yangu kikaniambia he is the one dont let him go.....well some people thought i was crazy kukubali kuolewa with the man i met on social network.bt nikasema if its a mistake will be my mistake not urs...well i wouldnt ask for anything......he is a blessing,he is my man,my friend,my baby's father.As every single day goes by..I THANK GOD THAT I FIND HIM.he is my life.
hapa tunadiscuss nini? "online relationships" maana yake nini?
hapa tunadiscuss nini? "online relationships" maana yake nini?
Jiuzulu tupumue!Si unajua valentini inakuja?
Sasa ndo nini kujiuzulu/
Ukijiuzulu na mimi najiuzulu
Tena mimi najiuzulu kuingia JF kabisaaaaa!!!!!!!!!!
^^
Sitaweka wazi jibu la moja kwa moja, ila Ni jambo la busara kujifunza kutoka kwa wengine na ndio maana nimesema, wapo wenye nia njema kinachotakiwa ni subira, kumbuka
Subira ni mwalimu,
Subira hufundisha,
Subira ni dawa,
Subira itakuganga,
Subira kila kabila,
Subira ina maisha,
^^
subira inatakiwa kwenye mahusiano yote sio ya mitandaoni tu,hata mahusiano ya mitaani/makazini etc ni busara kujifunza kwa wengine,vilevile popote pale wenye nia mbaya wapo.....tatizo si mmekutana vipi na wapi,muhimu ni nyinyi ni watu wa aina gani.
^^
We are sailing in the same boat
^^
Online relationships we refer to person to person intimate relations that begins for the purpose of marriage
Kwann usubiri kuporwa Kama ni mzigo?!
hehehe!! naona wewe na Heaven on Earth hamjaelewa, kama mpenzi wako unampenda, unamjali na unamuheshimu na kumfanyia yale yote mema (ambayo mie ndio namfanyia), akichoropoka ujue hata huko anakoenda hatotulia, ndio maana nikamwambia HOE akifanikiwa kunipora mimi basi huyo habebeki... atakuwa ni mzigo.:smile-big:
Mh!
Sasa nilikuwa nampango wa kutafuta ka dem ka valentini
So?
Nichape lapa au niendelee?