Online relationships don't run faster than your legs !

Online relationships don't run faster than your legs !

^^
Ha ha Excel kuna usemi wa Heaven on Earth anasema "In life expect the unexpected"
Ilibidi Kaka hapo akumbuke hilo.
^^
dah... kakaangu nae bana alikuwa mdukuzi mno! hata mi tu japo nilikuwa mdogo lakini nilikuwa namsom namba zake!

imagine mtu ana simcard tano! simu moja! hatari sana! by the way, ndo alikuwa anaenjoy ujana wake!

alipata alichokuw anakitafuta!
 
Huyo lusugo hana tofauti na nabii Tito wa kichina
mwinjilist gani ana access ya jukwaa la wakubwa hana access na jukwaa la dini?
anatuletea ukakasi tu hapa hana lolote...

umejuaje sina access ya jukwaa la dini?
yesu hakuja kwa walio safi ila kwa wenye dhambi.... mtu mzima haitaji daktari ila aliye mgonjwa
 
^^
Ablessed tupo pamoja, kuna mtu mmoja aliwahi kuja humu JF, anaomba mke, kwa madai kuwa mkewe amefariki, kweli tukatoa pole na kuombea dua/sala apate wa kutoka kwa Mungu, miezi miwili ikaja mada ya mdada ambayo ilifutwa ikiwa na post 20 hivi, ikitoa tahadhari kumwepuka huyo mwanaume kwa madai anaambukiza VVU/UKIMWI wadada makusudi na wala hakufiwa na mke, na mleta mada ile akatoa shuhuda kuwa anamfahamu vema.
Sasa, najiuliza, mitandao inahitaji haraka gani?
Cc: Heaven on Earth mimi49 Dinazarde
^^
Khaaaaa kweli huyo muuaji na wapo wengine hatuwajui. Unajua hii mitandao ni kama bahari , humu kuna dizaini zote za watu wenye shughuli mbali mbali. Wengine wapo kikazi zaidi, na vile vile walio wema wapo so ni kama ulivyosema uangalifu ni jambo la busara. Duh bora enzi zetu hii mitandao wala cell phone hazikuwepo, mtu anakufuatilia mpaka kisimani lol. Ilikua ukiletewa barua kuijibu ni mpaka baada ya miezi kadhaaa hahahahahahahaha na bado jibu linakua ngoja nifikirie.
 
umejuaje sina access ya jukwaa la dini?
yesu hakuja kwa walio safi ila kwa wenye dhambi.... mtu mzima haitaji daktari ila aliye mgonjwa

We bana kama unataka kutupa neno weka thread
si thread za watu unakuja kuzidandia na mistari mireeefu hata kuquote tunashindwa
aahhh unantaftia dhambi tu
 
Mh!
Sasa nilikuwa nampango wa kutafuta ka dem ka valentini
So?
Nichape lapa au niendelee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom