^^
Kuna mambo makuu mawili uliyafanya yanayokubaliana na mada yangu.
Kwanza, uliomba Mungu
Pili, ulianza kwa kusita/kukataa mwisho ulipojiridhisha ukakubali.
HIVYO NDIVYO INATAKIWA,
Wengi wanapoingia ktk mitandao hawatazami undani wa wao wanataka nini bali huishia sifa za nje tu, ziki match tu anakuambia huyu ndiye! Na mtego huo umeliza wengi.
Wewe, uliwasiliana na mawazo yako ya kina ndipo ukafikia hitimisho kuwa ndiye,, hii ndiyo naiita 'Don't run faster than your legs'.. Usikimbie upesi kuliko uwezo wa miguu yako.
Tulia... Tafakari... Jiridhishe mwisho kubali kuyabeba mengineyo kwa hiari sio uishi kwa majonzi ya moyo eti tu ulikurupuka.
Mungu akupe nguvu ktk ndoa yako
Dillish wa kwetu .
apasome
neno1
^^