Online relationships don't run faster than your legs !

Online relationships don't run faster than your legs !

wadada ndio tupo at risk sana kwa hawa wanaume wa mtandaoni wanaojifanya wanataka kutuoa! mtu anakutangazia ndoa hata kwa sura hakujui si majanga haya?

Sasa mtakapoanza kufahamiana si ndio sura zenu mtakapofahamiana! Au inakuwaje? Yaani tangu mwanzo mtu ametanganza ndoa?! Watu waliopo mtaani, kazini, kanisani hata chuoni ni wale wale wapo jf! What's the difference? Just take precaution ndio muhimu, above all wewe mwenyewe unajielewa/ jitambua? Huwezi kulamba dume Kama wewe jokeli!
 
so atleast ndani ya mwaka si mtakuwa mmejuana as wa huko mitaani ndio wako huku
mitandaoni....asante kwa ujumbe wako Himidini

^^
Mwaka ninaousemea si ule wa kuchart tu ihusishe zaidi kuonana,kutembeleana, kufahamiana ndugu, kazi, na itikadi za maisha as you know long distance relationships zina matatizo, tatizo wengi wakifahamiana wanaonjana wanadhani wamejuana, human behaviour is beyond their normal eyes!
Hope umenielewa Heaven
^^
 
Last edited by a moderator:

uwiii nimekuelewa kaka Himidini...............,ikitokea nitafanya hivyo naamini hakuna kitu rahisi
 
asante sana na mimi nawatumia kama jojo
OK, usisahau ule wakati unawatumia kama jojo ndo washaingia mdomoni kwako na wewe ndo unasikia utamu wa jojo... Ukizingatia kusikia utamu wa jojo lazima uiweke mdomoni kwako... Na dno hapo hapo itakapokunatia.... NA ukikaa vibaya inakugandia kwenye nguo
 
^^
Ha ha ha eti kujificha nyuma ya screen, by the way Mitandao ni njia ya kisasa inasaidia kukutanisha watu ila linapokuja suala la mapenzi, hekima ya subira na kupeana muda itasaidia kujiridhisha!
^^
Hapo kwenye red ndio jambo la msingi kwani hatupaswi kuiogopa mitandao. Kwetu sisi wabongo hii kitu bado haijazoeleka. Nafikiri taratibu tutazoea ila yatupasa kuwa makini kama tunavyokua makini mtaani jipe muda , mjue mtu huyo kwa kiasi unachoweza ili hata huko baadae usijilaumu bali utasema ulifanya sehemu yako lkn mengine ilikua vigumu kuyajua kwa sababu ya ubinadamu wetu.
 
OK, usisahau ule wakati unawatumia kama jojo ndo washaingia mdomoni kwako na wewe ndo unasikia utamu wa jojo... Ukizingatia kusikia utamu wa jojo lazima uiweke mdomoni kwako... Na dno hapo hapo itakapokunatia.... NA ukikaa vibaya inakugandia kwenye nguo

aaah wapi mi mtaalamu ya wala ainigandi
 
wewe ndio rafiki yangu kwa hiyo wewe ndio umeniharibu...............

naomba urafiki uishe ili nirudie kama zamani
Kwenye kuomba kuna kukataliwa....

Halafu kama hali ipo kwenye point of no return.... Ndo minakuwa imetoka hiyoo.... ni kama vile umeshakufa umeshaumbika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom