Online relationships don't run faster than your legs !

Online relationships don't run faster than your legs !

Hapo naona unakatisha tamaa wote wanaojaribu bahati zao humu.

Mimi naamini hata humu mnaweza kukutana na mkafikishana mbali tu kama wote mna malengo chanya na mnaambizana ukweli. Na mtu kama una heshima utamheshimu tu haijalishi mmekutana wapi.

Cha msingi na sekondari kabisa, ni kuwa na muda wa kutosha kumfahamu huyo mtu

Wakweli ni wachache kwenye mtandao kama sio NIL kabisa wengi ni waongo/matapeli ndugu

Sasa mpaka uje ukatane na huyo mkweli ktk 100 needs miracles
 
Daima naamini hamna watu wanaokutana kwenye hizi sosho nertworking wakafikishana mbali

Kwanza naona ni vigumu kumantain kule kuheshimiana kati yenu kutokana na mazingira mliyokutana

Love doesnt ask why..hatukatai ila sio mbaya kujiuliza swali la kizembe kama hili; mtaani,kazini,chuoni na jamii zoooote zinamzunguka hakuona wa kumfaa mpaka alipokuona wewe kwenye blog!!!!!

Sanasana either she ataliwa MWILI au he aliwe MALI

Correct me with concrete evidence if am wrong.

hehee Toria kwa hiyo huyu kijana wangu wa sosho network ndio kusema...............
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Himidini uko sahihi kabisa kwani sarafu ina pande mbili na kama mtu akiegemea upande mmoja tu wa sarafu na kujifanya upande wa pili hau-exist basi atakua kajidanganya.

Ijapo si mzoefu wa hii mitandao lkn naweza tu kusema haiko mbali sana na maisha ya mitaani kwetu kwani huko nako usipokua makini lazima ile kwako. Kwa ujumla wale wanaotafuta wenza yawapasa kuwa makini na kujipa muda wa kufahamiana. Inasikitisha mno unapoona vijana kwa kukutana siku chache tu basi washapeana mpaka benefits za relationship why? Hivi kama mtu alishapata benefits zote kuna umuhimu tena wa kukomaa na huo uhusiano.

Wadada jioneni kuwa ninyi ni wa thamani mno , sio jitu litoke litokako linakuvamia tu eti kisa lina pesa hapana thamani yako hailingani na kiasi chochote cha mali mtu alichonacho. Wapo waliolizwa na mitandao na wapo waliofurahi kupitia mitandao so be careful not carefree.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wapo things zinao work out vizuri na pia kuna majanga vile vile

mie fursa ikija I wont hesitate trying my lucky WHO KNOWS...........

Sometimes being a risk taker does not only require one to be an entrepreneur

^^
Uko sahihi Heaven, ndio maana nikasema hutakiwi kuwa mwepesi sana wa kukubali, kumpata Mr Right kama alivyowahi kusema Ablessed kunahitaji muda, walau mwaka!
^^
 
Last edited by a moderator:
Tuheshimiane Mashaxizo!!nani kiruka njia?

Khaa! Hukuona nilipoquote?
Hayo maneno nimemwambia Himidini!
...
Labda nikujibu tu swali lako uliloniuliza huenda ukaridhika:
KIRUKANJIA NI MIMI MASHAXIZO!
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuamini katika mahusiano ya mtandaoni, na sitwahai kuyaamini.

Sipendi vya kunyongewa napenda vile ninavyowinda, kuvikamata na kuvitafuna mwenyewe.

Kwa nini kujificha nyuma ya screen wakati uwanja wa mapambano upo wapi???

^^
Ha ha ha eti kujificha nyuma ya screen, by the way Mitandao ni njia ya kisasa inasaidia kukutanisha watu ila linapokuja suala la mapenzi, hekima ya subira na kupeana muda itasaidia kujiridhisha!
^^
 
Kwahiyo nyie wote mliopo hapa kwa mantiki hiyo hamuaminiki?! Maana mpo mtandaoni! Ila Mimi najiamini.
vizuri unajiamini....mimi najiamini lakini si kila mtu wa kumuamini....si kila umuonae hapa ana nia madhubuti au njema...Tuwe makini!!
 
Umeona thatha Himidini unavyokremisha?
Hawa viumbe ni wa kwanza kulalamikia mapenzi, bila kutambua na wao ni viruka njia!


Khaa! Mpaka mimi jamani unanitumia hivyo? Thkupendi tena! Tena uthimdipu tena!


Yamekua hayo? Thkudoei tena!


Khaa! Ubora wote wa mapenzi ya mitandaoni haukuuona? Utadhani hao waliokusaliti wote uliwapata mtandaoni! lol!


Thi majnga beiby! Coz mimi nipo kwa ajili yako, afu mimi ni miongoni mwa hao wachache tuthioumidha!



Thi unaona hapo? Hata hayo mapenzi nje na mitandao ya kijamii Rule yako inapply mutatis mudandis!

^^
Mashaxizo nimejitahidi sana kukuelewa, labda niseme context ya thread yangu ni specific to online relationships, ndio inatokea sana nje ya mitandao, kwani hata mitandao imo ktk jamii. Usisahau usemi Milima ya mbali haina mawe!
Busara ya wakati inahitajika
^^
 
Last edited by a moderator:
Wapo things zinao work out vizuri na pia kuna majanga vile vile

mie fursa ikija I wont hesitate trying my lucky WHO KNOWS...........

Sometimes being a risk taker does not only require one to be an entrepreneur

heheheeh!!! fursa zote hizi. hebu kamata moja fasta fasta, usisubiri ije yenyewe.
 
^^
Uko sahihi Heaven, ndio maana nikasema hutakiwi kuwa mwepesi sana wa kukubali, kumpata Mr Right kama alivyowahi kusema Ablessed kunahitaji muda, walau mwaka!
^^

so atleast ndani ya mwaka si mtakuwa mmejuana as wa huko mitaani ndio wako huku
mitandaoni....asante kwa ujumbe wako Himidini
 
Last edited by a moderator:
sio mbaya kukutana mtandaoni ila peaneni muda wa kufahamiana. tatzo watu wanakurupuka sana. hehehhe ila jf ina vimeo vya hatareeeee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom