Online competition searching for miss JF 2011!

...Kwa maana hiyo basi, tunapotaka kutafuta missJF inaamisha kuwa thamani ya mchango wa kiakili (intelligence) wa member wanawake hatuupi hadhi sawa na ule wa wanaume kiasi cha kuwa lazima tuwalinganishe wanawake wenyewe kwa wenyewe
I hope kuna mtoto wa kike somewhere, au hata mtu mzima, anasoma ulichoandika hapo juu na anatoka na kitu. Kitamsadia ku push back against the pervasive male chauvinistic world view ailing societies such as ours today. We desperately need that fresh and progressive outlook. I would love to see the daughters of this country grow up and live within a milieu of gender parity that you are envisioning.


 
Jamani mimi nilifikiri hayo mashindano yanahusisha wadada wote waliopo humu Jf kumbe ni wale selected tuu.
Okay basi moderators vigezo na masharti vizingatiwe pasipo kusahau elimu kama sehemu ya hizo qualifications.
na msiwe biased wapendwa, pamoja sana!!
:poa
 
vipi firstlady na kipenzi fais buku? je mayasa na husninyo? vipi rehema na mamndenyi kwanini asiwe mamamia! Mia
 
wapi
kongosho,
feisbuku

kongosho haeleweki kwani nshawahi kumtongoza lakini anatoa majibu ya kidume. so tunashindwa mwelewa. hata mtu ukimchumu hachumwiki. mi nahofia atakuwa ni king'asti alinayetaka kutest zali la kuwa dume. bado naendelea na uchunguzi ikiwemo kusoma majibu na mwandiko wake na kulinganisha na mwandiko wa king'asti. Mia
 
Back
Top Bottom