hahahaha, no, she ain't a celeb... ni model. lol
More pictures available on my profile. lol
Kaa huku Chit chat, full kujiachia, leo sikukuu. :eyebrows:
Ndo nini kunitangaza kua makalio yangu fake? :rant:
ha ha ha
sasa uliazima yangu afu hurudishi
nifanyeje?
Ikabidi niombe msaada
PM za nini? kama uhusiano ni halali hakuna haja ya kwenda chembe. lolmwali nasoma PM zako
mwatoana udenda hadharani
sorry nimeropoka
Hapana Gaijini sio kwa mujibu wa kanuni za JF... Ila ni kwa mujibu wa most of your posts.... (Hata hivo naweza kua wrong, maana hivo ndio nionavo mimi)
Unaposema "too critical" lazima kuwe na frame of reference itakayokuongoza kujua "critical" ni ipi na "too critical" ni ipi.
Kama huna ni kwa mujibu wa maoni yako tu, basi kiungwana na kiubinaadamu, unatakiwa uweke wazi kuwa hayo ni maoni yako na sio kuandika sentensi za jumla jumla kana kwamba unachokiandika ni ukweli wenye hakika
Why are you so hard on AshaDii?
Kwa mujibu wa yeye "Gaijin is too critical" on everybody, kwa hiyo suali lako limekosa mantiki kwenye muktadha huu wa leo
Michelle..
Uko wapi tu ? Kila idara umeshika number
Kwa kweli unakubalika hutumii nguvu wala
Kujipendekeza hoja, maoni, ucheshi na mengi
Zaidi umo.. nimekumiss na number moja ,
Mbili na tatu zote zako ... holiday njema ..
Hmmmm haya bana.
Vipi kwani mbona na Hmmmm ndefu!
Muone huyu nae!
Kichwa kama namba 1,2,3. . . .
Usijali...hamna lolote baya.
Nilidhani hujapata zawadi ya Xmass ndio nilikuwa nakutafutia hapa
Nawe usilete za kuleta..
Sikupi hata nukta achilia mbali number..
Ahhhhh sina time na wewe, baki na . . . . zako!!Ngoja nikalale zangu.
Kama unayo ya kunipa we nipe tu.