Online competition searching for miss JF 2011!

Huu mpambano hautakua na maana, na utakuwa umechakachuliwa kwa kiwango cha juu kama tu mshindi hatakuwa My Wife- FF
 
Smile sawa ila mimi Mwali... sidhani. si umeona vigezo hapo? sio kuchangia tu, nikuchangi point! alafu kuonekana unafata habari zinavoenda... MI nimekalia kuuliza maswali tu (nimekaa ki-learner zaidi, sio great thinker)
Ok, vipi kuhusu bata mrembo?Oops sori, mwali...lol
 
mwali una mambo
wewe sio great thinker?
Basi utakiwa sim tank no sorry naamanisha 'think tanks'

Unamuona great thinker Jmushi1 alivo changia hapo? ni sababu anajua akichangia point siwezi kuelewa, kwa hiyo anachangia michango ya level yangu mie...
 
Unamuona great thinker Jmushi1 alivo changia hapo? ni sababu anajua akichangia point siwezi kuelewa, kwa hiyo anachangia michango ya level yangu mie...
Mwali please acha madongo!lol

I beleieve you are one of the great thinkers bibiye, just chit chatin...

Pia avatar sio siri...
 
Mwali please acha madongo!lol

I beleieve you are one of the great thinkers bibiye, just chit chatin...

Pia avatar sio siri...
Just chit chatting too Jmushi, na nilitaka nikupe deserved reverence kwa kututembelea chit chat leo. tunakuona huku mara chache.
Asante kwa kunipongeza kuhusu avatae.

hii avatar inahusu sana
basi tu
Kumbe? ngoja niigeuze dili. lol
 
Kwani mwali uko std ngapi vile?
Unamuona great thinker Jmushi1 alivo changia hapo? ni sababu anajua akichangia point siwezi kuelewa, kwa hiyo anachangia michango ya level yangu mie...
 
Just chit chatting too Jmushi, na nilitaka nikupe deserved reverence kwa kututembelea chit chat leo. tunakuona huku mara chache.
Asante kwa kunipongeza kuhusu avatae.

Kumbe? ngoja niigeuze dili. lol
Hivi kweli mwali hiyo avatar ni wewe? Please tell me it is...lol!

Niongopee tu basi , mradi tu unisuze moyo!lol
 
Hivi kweli mwali hiyo avatar ni wewe? Please tell me it is...lol!

Niongopee tu basi , mradi tu unisuze moyo!lol
Why bother kujua kama ni mimi au sio mimi? kwa JF huyo ndie mimi, and that's all that matter. lol
 
Why bother kujua kama ni mimi au sio mimi? kwa JF huyo ndie mimi, and that's all that matter. lol
Thank you Mwali, i am acceptin it as it is...lol

Yani kwa JF, yote yote sawa tu, ni jambo la maana kabisa.

What matters is the combo, aagt, if you know what i mean?

Thats why may be i bothered lol!

Mfano mimi avatar yangu ni Lawarence Fishburne, is one of ma favs, je inawezekana labda wewe hapo kwenye avatar ni clebrity flani, ama picha tu?

Just curious, btw its the combo of avatar and your contributions, that shit sometimes turns me on, i aint gonna lie about it, huoni niko huku chit chat kwa mida?

Cant you see?lol
 
hahahaha, no, she ain't a celeb... ni model. lol
More pictures available on my profile. lol
Kaa huku Chit chat, full kujiachia, leo sikukuu. :eyebrows:
 
hahahaha, no, she ain't a celeb... ni model. lol
More pictures available on my profile. lol
Kaa huku Chit chat, full kujiachia, leo sikukuu. :eyebrows:
With this i aint goin nowhere, ili iweje?lol
 
Payuka Genuinely.... Kuna kitu nimejileleza in relatiion na thread mpaka niwe qualified kua nimejieleza?
 
"too critical" kwa mujibu wa kanuni gani za JF?

Hapana Gaijini sio kwa mujibu wa kanuni za JF... Ila ni kwa mujibu wa most of your posts.... (Hata hivo naweza kua wrong, maana hivo ndio nionavo mimi)
 
Asha Dii you know i love you too!lol

And I know you know that Love is reciprocated....lol... (I guess the effect of that first conservation in this forum has landed with thunder.....)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…