Online competition searching for miss JF 2011!

Online competition searching for miss JF 2011!

I think am the sexiest quintessential romantic lady of all times with added beauty of 2 in 1.

Payuka umeniacha??
Anyway tunaanza kupiga kura saa ngapi maana mshindi wangu lazima aibuke kidedea

sitacheza rafu.
 
-Humbled- :humble:



my my my..... Hashy this coming from you.....

-Enchanted-:hug:

clear as Crystal with no even a chembe of unafiki with my shirt under my pants yaani with too much love in it!
 
please Kingasti, ongeza chaji kwenye vocha yako. Tunatakiwa kumpigia kura mla cha Arusha mmoja hapa.

Oooh am loving this.
 
Sasa nataka criticism za bila majungu ili tuipangue list! Tumeshaona Gaijin yupo against na special seats za MP's. Lakini bado nadhani huyu dada ana strong arguments kwanini hataki special seats.
Swali dogo: hamuoni special seats bado zinapeleka watu wasio na sifa? Wanaounga mkono kila hoja kwa asilimia 100?



Ooh' Payuka you have misunderstood.... Gaijin is one of the most strong willed and minded person with intelligent inputs but just too critical hapa at JF....
 
Mwee!! I am so dissapointed nimekosa.... :crying:


Haya basi ngoja nijikaze na kumpropose Mwanajamiimoja.

Usiogope, no. 4 mpaka 6 zote zake wewe ndo maana kashindwa kuandika. Hapa bado hatujaanza kupiga kura, mbona taji lako
 
Kwa upande wa Mods PAW has my vote and Members Mwaita25 within 1 month anapost 2500 kijana apewe taji.
 
Payuka

Naamini umeanzisha shindano hili kwa nia njema kabisa lakini kwa upande wangu sikubaliani na mashindano ya aina hii. Kwa nini basi?

Kwa sababu ninaamini kuwa wanawake ni sawa na wanaume katika kila kitu isipokuwa masuala yanayohitaji nguvu za mwili (Hata hapa kuna school of thoughts zinazosema kuwa usawa uko wakati wote, na ndio maana watoto wakike na wakiume hawana tofauti kwenye ubora katika michezo)

Kwa maana hiyo basi, tunapotaka kutafuta missJF inaamisha kuwa thamani ya mchango wa kiakili (intelligence) wa member wanawake hatuupi hadhi sawa na ule wa wanaume kiasi cha kuwa lazima tuwalinganishe wanawake wenyewe kwa wenyewe, wakati kimsingi jambo hilo si kweli na ndio maana huwezi kuta vyuo vikuu vinatoa tunzo ya mwanafunzi bora wa kike kwa sababu ni kuwavunjia heshima
 
Kwa vigezo ulivyoweka sidhani kama inapaswa kuitwa Miss JF....
 
Mshindi atapatikana kutokana na jinsi posts zake zinavyomuelezea yeye alivyo, vigezo vya msingi tutakavyoangalia ni kama vifuatavyo:
1. Sense of humour, love, kindness etc
2. Level of maturity
3. Special skills in certain fields ( hawa wanachangia vizuri zaidi kwenye threads zenye kuhitaji utaalam mf. Sheria, udaktari, uchumi, saikolojia n.k)
4. Someone never uses abusive language to stress her points.
5. Ability to post relevant topics in specific forums.
6. General awareness of different things ( anasoma magazeti, anasikiliza redio, ana watch TV, ni member wa social networks n.k)

Kwa kuanza napendekeza wafuatao wapigiwe kura ( mtanisamehe na kunisahihisha kama wengine atakuwa si wanawake, ila nimejitahidi kufuatilia posts zao ili kutambua jinsia zao)

1) Gaijin
2) Miss Judith
3) Preta
4)
5)
6)
7) Maria Roza
8) Neema
9) Chauro
10) Faiza Foxy
MKUU U-MISS SI UNA VIGEZO?? SASA YA NINI TENA WAZEE, NA WAMAMA KUCHNGANYA KWENYE U-MISS

AU ??:eyebrows:
 
payuka

naamini umeanzisha shindano hili kwa nia njema kabisa lakini kwa upande wangu sikubaliani na mashindano ya aina hii. Kwa nini basi?

Kwa sababu ninaamini kuwa wanawake ni sawa na wanaume katika kila kitu isipokuwa masuala yanayohitaji nguvu za mwili (hata hapa kuna school of thoughts zinazosema kuwa usawa uko wakati wote, na ndio maana watoto wakike na wakiume hawana tofauti kwenye ubora katika michezo)

kwa maana hiyo basi, tunapotaka kutafuta missjf inaamisha kuwa thamani ya mchango wa kiakili (intelligence) wa member wanawake hatuupi hadhi sawa na ule wa wanaume kiasi cha kuwa lazima tuwalinganishe wanawake wenyewe kwa wenyewe, wakati kimsingi jambo hilo si kweli na ndio maana huwezi kuta vyuo vikuu vinatoa tunzo ya mwanafunzi bora wa kike kwa sababu ni kuwavunjia heshima

yuhuuuuuuuuuuuu, kuna mtu alitabiri ujio wako, khekhekheheeeeeeee

btw, nadhani kuita miss si sahihi, we'd rather use maneno kama lady, dada na sister maana wengine hapo wamekula mileage kama mie
 
yuhuuuuuuuuuuuu, kuna mtu alitabiri ujio wako, khekhekheheeeeeeee

Huyo ninaamini aliona msimamo wangu wakati kama huu mwaka jana. Ambapo nilipinga mchakato mzima kwa sababu hizi hizi nilizozianisha hii leo.

Kwa upande wangu tatizo si jina, tatizo ni mantiki
 
Gaijin asante sana kwa kujitokeza na kujipambanua, binafsi napenda michango yako maana huwa inanifanya nitafakari. Japo umekwazika lakini naamini hii post yako inazidi kukupa credits za kuchukua hili taji. Mpaka sasa nadhani ni wewe na ashadii mliojieleza. Tutaweka timeline hadi juma 3 ili mmalize kujieleza nasi tupate muda wa kupiga kura. Mpaka kufikia tarehe 27 tutakuwa tumepata mshindi wetu.
Payuka

Naamini umeanzisha shindano hili kwa nia njema kabisa lakini kwa upande wangu sikubaliani na mashindano ya aina hii. Kwa nini basi?

Kwa sababu ninaamini kuwa wanawake ni sawa na wanaume katika kila kitu isipokuwa masuala yanayohitaji nguvu za mwili (Hata hapa kuna school of thoughts zinazosema kuwa usawa uko wakati wote, na ndio maana watoto wakike na wakiume hawana tofauti kwenye ubora katika michezo)

Kwa maana hiyo basi, tunapotaka kutafuta missJF inaamisha kuwa thamani ya mchango wa kiakili (intelligence) wa member wanawake hatuupi hadhi sawa na ule wa wanaume kiasi cha kuwa lazima tuwalinganishe wanawake wenyewe kwa wenyewe, wakati kimsingi jambo hilo si kweli na ndio maana huwezi kuta vyuo vikuu vinatoa tunzo ya mwanafunzi bora wa kike kwa sababu ni kuwavunjia heshima
 
afu wee husny, naskia yale makalio yangu ya kubandiaka AshaDii alikupa wewe.
Namtoko kesho yatume haraka

we makalio yako ya mchina mi yangu ya mzungu. Lol. Preta aliyachukua kabla hayajafika ila anasema kalio moja limetoboka.
 
Back
Top Bottom