Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

fix hizo maofisi siku hizo karibu yote yana cctv camera huo mchezo labda ofisi za serikali! au vioski
 
Inasikitisha sana...

Mazoea yaliyopitiliza... Watu kutokuheshimu maneno yao ya kazi... Uzinzi uliopitiliza...

Ni tabia mbaya sana...


Cc: mahondaw

Mbona uandishi wako hausadifu kilicho moyoni na akilini mwako!?
Maana Mimi ni , forensic scientist yaani nikaangalia uandishi wako naona kabisa "mahondaw" anapigwa changa la macho la makinikia.
 
Daaah kaz ipo
 
Na Muda pia,wengi ni wake au waume za watu ambao ndoa zinawabana wanaamua kuutumia Muda na kisingizio cha ofisi
 
Kuoa muhimu ila ndio hivyo mkeo akiwa mfanyakazi wa watu, mabosi wanamaliza juu kwa juu, unaletewa kiporo tu usiku!
Nacheka kama mazuri!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akirud ukiomba mzigo ooh nimechoka na kaz
 
Kwani wanaowabinua na wao si wana wake zao? Akifika nyumbani mpole kumbe kamalizia huko kwenye kochi na meza za ofisi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] relax ndugu relaxx...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…