mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,838
Kwa mara ya kwanza watanzania wameonyesha upendo wa dhati kwa Raisi wetu Mama SSH, hata kwenye wizi hu wa kuongeza bei ya miamala na mafuta hawataki kumsema, wameamuwa kumbebesha waziri wa fedha Mwigulu Nchembe lawama hi, pamoja na Bunge la CCM ambao halikuchaguliwa na wananchi.
Bado Mama anaupiga mwingi kwa wote wapinzani na wana CCM, sisi tunaamini Mama hakupewa briefing ya kutosha kabla ya kusaini hilo ongezeko ambalo limewashida hatakulielezea, eti tonzo la kizalendo, hamna kitu kama hicho uzalendo ni hiari na kodi ni ya lazima wapi na wapi?
Suali kuu ni kwamba nani wa kulaumu? Katika kumtia dowa kama hili Mama? Na % kubwa hii kodi inaenda kuwa revised completely, kwasabu hata sifa nzuri za kodi haina (features of good tax)lazima iwe progressive, covinient to pay, Easy to hide, nk.